Lengo hapo ni mkuu wa JESHI ,akishatangazwa maana yake ataapishwa ,akishaapishwa maana yake ....... wake upHivi hawa watu wanavichwa vigumu kiasi gani wanatangaza matokeo kwa uchaguzi gani
Na kwa Tanzania hii ya hawa vijana waliyokwishakunawa maji ya kuwasha nakujifuta na Moshi wa mabomu 🤣🤣 asithubutuHivi kweli unategemea Maza ataapishwa kwa huu uchaguzi ulioharibika. Mfano, Dar kwa ujumla hakukuwa na uchguzi wowote. Unless ana mpango wa kujiapisha na kuongoza kwa nguvu.
Actually, kama tume wangtumia busara tu kidogo, huu uchaguzi walitakiwa watangaze kuufuta. UMEHARIBIKA!!
Ya mama yake, au hukusikia kwamba na yeye ni mwanae?
Mama alikiri ni mwanae. Hivyo atampa hifadhi.
Huyo Mama yupo nchini kweli?
Hajiamini. Jeshi limegawanyika sana. Nadhani hataki wajue yuko wapi.... na kuna uwezekano hata ndani ya Tanzania hayuko...Namshangaa kwanini haongei na taifa kutuliza sintofahamu inayoendelea?
Wewe unajitambuaje hasa kuwa tofauti na Zitto!Zito Fala tuu
Wewe unajitambuaje hasa kuwa tofauti na Zitto!
Angalau Zitto anao uwezo wa kujenga hoja katika maswala ya kiuchumi, wewe je?
Sijamtetea Zitto kwa lolote juu ya "maswala ya kisiasa"..kuna wachumi wengi wazuri kuliko ZItto Kabwe.
..Zitto yuko upande usio sahihi wa siasa za Tanzania.
..aina za siasa anazotaka kuzifanya hazihitajiki katika zama tunazoishi.
Anasubiri uteuzi kama wa David kafulila
bora amepoteza ila hamna uchaguzi
Utakavyoniona ww ndio sahihi.Wewe unajitambuaje hasa kuwa tofauti na Zitto!
Angalau Zitto anao uwezo wa kujenga hoja katika maswala ya kiuchumi, wewe je?
Mkuu 'Mbaga' naomba tuyaache haya mengine sasa hiviUtakavyoniona ww ndio sahihi.
Haya akajenge hoja kwake.