GE2025 Aibu kwa Zitto: Tume yamtangaza BabaLevo kuwa Mshindi Kigoma Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mm nmesababisha mauaji yapi hayo?
Mm nmeshinda kwenye shindano lipi?
 
Mm nmesababisha mauaji yapi hayo?
Mm nmeshinda kwenye shindano lipi?
Sasa hili nalo unataka tuwe na mjadala juu yake?
Kwani wewe mwenyewe msimamo wako unaoonyeshwa na michango yako humu JF inakueleza vipi?
 
Sasa hili nalo unataka tuwe na mjadala juu yake?
Kwani wewe mwenyewe msimamo wako unaoonyeshwa na michango yako humu JF inakueleza vipi?
Nngekuwa n ccm, nisingeandamana.
 
Nngekuwa n ccm, nisingeandamana.
Huwa nakutazama tu, watu kama wewe, sijui akili zenu zimekaaje hasa! Unao undugu wowote na Paskali?

Leo ni siku mbaya sana kwangu baada ya kuangalia zile picha za vijana walio uliwa. Kwa hiyo nakuomba tuachanie hapa.

Nawe nakusihi uziangalie tu, hata usiposema kitu ni sawa.
 
Paskali ndo nani?
 
Una la kutuambia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…