Aibu: Polisi yatuhumiwa kudukua simu ya Wakili Mwabukusi na kumuwekea maudhui Instagram ili impe kesi

Nyie polis,mbona ni watoto wetu,baba zetu,wajomba zetu ,majirani zetu,marafiki zetu,waumini wenzetu,mmeamua kuwa vibaraka wa kundi dogo tu la wahuni wanaotaabisha nchi hii?
 
Na
Na huyu Wakili wa Mwambukusi nae akamatwe akathibitishe kama ni kweli Polisi wamedukua simu ya Mwambukusi na kupost mambo hasi. Nasisitiza, Polisi msimuache. Waovu wataamini ni kweli mkikaa kimya.
 
Sibishani na wajinga na next you quote me hakikisha unakua sober mentally. Sisomagi ujinga please 🙏
 
Hivi ulikuwepo wakati wa kesi ya ugaidi wa mbowe? Au ulikuwa mtoto tukusimlie yaliyo wasibu hao jamaa? Hadi Leo Mimi nikiwaona huwa nahisi aibu.
 
Udukuzi mweupe huo dah!
Kwahiyo polisi wammenyang'anya simu kisha wakaidukua Instagram account yake kwenye hiyo simu waliyomnyang'anya halafu wakamrudishia simu right😳?
 
Hii ni kudhihirisha kuwa kwenye simu ya Mwabukusi kuna mauudhui ambaye hakutuma kabla na yatumwa sasa. Unless video zinazotumwa muongeaji ni cloned Mwabukusi.
 
Ameanza kuliaalia baada ya kuona mteja wake kesi imemkalia vibaya!

Atulie tu. Si walikuwa wanajifanya watabe? Haya sasa Sheria inachukua mkondo wake
 
Hii ni kudhihirisha kuwa kwenye simu ya Mwabukusi kuna mauudhui ambaye hakutuma kabla na yatumwa sasa. Unless video zinazotumwa muongeaji ni cloned Mwabukusi.
Voice note.
Wanasema ni kikao chao kupitia Club House.

Hiyo clCH ilikuwa baina ya watuhumiwa au ilikuwa publicly?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…