Aibu sana kwa taifa langu Olympic 2024. Kenya ilipekeka wanamichezo 72, Uganda 24 sisi walienda 7 na delegation ya watu karibu 20 + waziri

Aibu sana kwa taifa langu Olympic 2024. Kenya ilipekeka wanamichezo 72, Uganda 24 sisi walienda 7 na delegation ya watu karibu 20 + waziri

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Kama kuna kitu kinaudhi nchi hii ni namna mambo yanavyofanyka kiajabuajabu ukiachikia mbali yale mataifa yanayotuzidi sana kiuchumi hata hawq jirani zetu unagundua wako serious sana na mambo yao.

Wenzetu wamepekeka wanamichezo wengi sana ambao ndo wahusika hasa lakini sisi tunepeleka watu ambao kwa sehemu kubwa wameenda kutalii.

Mimi nilihoji tangia mwanzo kwani kule mheshimiwa waziri kafuata nini!?

Nilimtegemea awe bize kurekebisha sera zilizotufelisha ili 2028 ikibidi tupeleke wanamichezo wengi kuliko wenzetu wote lkn naona haumizwi na hilo.
 
Nchi na uongozi bado wa majaribio
 
Back
Top Bottom