The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kama kuna kitu kinaudhi nchi hii ni namna mambo yanavyofanyka kiajabuajabu ukiachikia mbali yale mataifa yanayotuzidi sana kiuchumi hata hawq jirani zetu unagundua wako serious sana na mambo yao.
Wenzetu wamepekeka wanamichezo wengi sana ambao ndo wahusika hasa lakini sisi tunepeleka watu ambao kwa sehemu kubwa wameenda kutalii.
Mimi nilihoji tangia mwanzo kwani kule mheshimiwa waziri kafuata nini!?
Nilimtegemea awe bize kurekebisha sera zilizotufelisha ili 2028 ikibidi tupeleke wanamichezo wengi kuliko wenzetu wote lkn naona haumizwi na hilo.