Aibu sana, Tanzania (Taifa Stars) Hatuna Utamaduni wowote

Imagine wangeingia na vazi la Kimasai pale Cote D'Ivoire.
wangetisha sanaaa...
Lakini kumbuka hatukwenda kwenye maonyesho ya mavazi wala mitindo, hivyo me naona hakuna kosa hapo.

NB. Ila nasisi wabongo kila kitu ni kulalamika tu.
 
Lakini kumbuka hatukwenda kwenye maonyesho ya mavazi wala mitindo, hivyo me naona hakuna kosa hapo.

NB. Ila nasisi wabongo kila kitu ni kulalamika tu.
Wala sijalalamika mkuu.
Nimeandika ili Wizara husika ishtuke.

Tuanze kudroo attention zao mapema.

Kumbuka next tournament inapigwa kwenye ardhi yetu 2027.
Three years to come.
Sio vibaya.
 
Kamati ilisahau hili , wangepiga vazi la kimasai au msuli na kikoi km watu wa panic Zanzibar
Sure!
Nafikiri hata hizo nchi nyingine wanafanya hivyo pamoja na kuonyesha utamaduni wao lakini pia, kupata attention ya mashabiki na kuteka media za huko Duniani.

Kama Ghana na Nigeria wametisha sana.
 
Hao wa_Naija wameua Aisee! Safi sana. Sisi kipaumbele chetu labda ni wahamasishaji.
 
Tanzania ni taifa la watu wengi kwa hiyo hatuna utamaduni wa taifa , na hii ndo imejenga utamaduni wa nchi kuwa na aman
 
Sure!
Nafikiri hata hizo nchi nyingine wanafanya hivyo pamoja na kuonyesha utamaduni wao lakini pia, kupata attention ya mashabiki na kuteka media za huko Duniani.

Kama Ghana na Nigeria wametisha sana.
Wenzetu wako makini sana , kila fursa wanaitumia , usikute ni mtu/mdau kaamua kuwavesha hao wachezaji
 
Wizara husika, fikra zao zinawaza maokoto.
Bila kujua Mashindano yajayo yanapigiwa kwetu.

Wanatakiwa waanze kututambua mapema kabisa kabla ya hiyo 2027.
Sasa tulitakiwa kuwapata tension waone kuwa next tournament ni Tanzania, kwa kuwavalia kimasai , kanzu au msuli na kikoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…