Aibu sana, Tanzania (Taifa Stars) Hatuna Utamaduni wowote

Wala sijalalamika mkuu.
Nimeandika ili Wizara husika ishtuke.

Tuanze kudroo attention zao mapema.

Kumbuka next tournament inapigwa kwenye ardhi yetu 2027.
Three years to come.
Sio vibaya.
Next tournament ni 2025 boss
 
Hatuna utamaduni wa mavazi kama taifa. Siyo kila nchi inatakiwa iwe nao
 
Yuko wapi waziri wa kuona hayo?Yule ambaye anasema katiba Kwa sasa haina maana hadi miaka 50 [emoji1787] ,halafu Katibu ni Yule anayeshinda Instagram[emoji1787]
Tanzania vitu vingi vimelala inahitajika juhudi zako,zangu na wengine tutafute njia za kusikilizwa tukatoa mapendekezo hayo ambayo tunadhani yanafaa, (platform)
 
"A Man without his Culture is like a Tree without its roots"

By Marcus Garvey

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Culture sio kuvaa mavazi kinafiki, culture inakuwa damuni, hapa Tz wote tunavaa nguo za Mzungu, then tukiwa tunatoka ndio tuokoteze vazi la kabila moja kujifanya watu wa culture? Huu ni unafiki wa grade A+
 
Next tournament ni 2025 boss
Hata ikija hakuna kitu kipya maana wanajua utamaduni wa nchi ni akina diamond ,alikiba na konde. Watawachukua hao warukeruke uwanjani na kuwaachia wanyaturu na ngoma ya mawindi, wasukuma wa magu kikundi Cha mwanalyaku ambao wakiingia uwanjani kutumbuiza kama Kuna watoto wadogo wanalipa jinsi walivyovaa, wahadzabe wa Arusha ambao Sasa wanatilisa dunia nk. Wao wakishaqeka like jukwaa la udwara na hao wasanii wakija pale mbele wao wamemaliza
 
Kamati ya Vazi la Taifa ilitumia milioni Bilioni 2 na hakuna walichofanya zaidi ndio hayo majumba wanajenga na kuwachamba wengine, akina mwijaku na wengine?

Mdundo wa Taifa wametumia milioni 900. na hakuna kitu, wanatuchamba tusio na hela na wameishia kuja na miso misondo ndio mdundo wa Taifa, upuuzi mtupu.

KAMATI YA MDUNDO WA TAIFA
Wajumbe wa Kamati ya Mdundo wa Taifa wakiongozwa na Katibu Mtendaji wa BASATA Dkt.Kedmon Mapana ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa Kamati hiyo leo tarehe 12 Dec.2022 wamekutana jijini Dar Es Salaam ambapo kamati hiyo ilikuwa na kazi ya kuandaa na kuchakata vionjo vyenye asili ya kitanzania.

Baadhi ya wajumbe waliokuwepo ni pamoja na Dkt. Herbert Makoye(Katibu) Masoud Masoud,Zahir Ally Zorro,Chifu Aron Mikomangwa,Fatma Hassan(Dj Fetty) kutoka Clouds Media, Abdallah Othman Abdallah kutoka Zanzibar,Dkt.Gervas A.Kasiga kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Humphrey Domoka kutoka Wanene Studio.
 
Yale maburudani mfano NGOMA za kitamaduni zinazosheresha wakati wa ufunguzi wa michuano Huwa za Nini!? Kwa nini wasianze TU Moja Kwa Moja na filimbi ya Refa kuashiria kipute kuanzia!?
 
Hii Nchi ina mambo mengi sana aisee
 
Yale maburudani mfano NGOMA za kitamaduni zinazosheresha wakati wa ufunguzi wa michuano Huwa za Nini!? Kwa nini wasianze TU Moja Kwa Moja na filimbi ya Refa kuashiria kipute kuanzia!?
Huyo Mwamba nimemwambia Aangalie nguvu ya Utamaduni kwa mataifa mengine
 
Ngozi za nyani mtaambiwa huo ni ukatili wa viumbe.
 
Tanzania vitu vingi vimelala inahitajika juhudi zako,zangu na wengine tutafute njia za kusikilizwa tukatoa mapendekezo hayo ambayo tunadhani yanafaa, (platform)
Until CCM is Down
 
Yale maburudani mfano NGOMA za kitamaduni zinazosheresha wakati wa ufunguzi wa michuano Huwa za Nini!? Kwa nini wasianze TU Moja Kwa Moja na filimbi ya Refa kuashiria kipute kuanzia!?
Wanachezaga zile ngoma wachezaji wa football? Zile huwa sherehe, na kuna watu wa utamaduni wameandaliwa kwenda kucheza hizo ngoma,

Sasa watafute hao waulize kwann hawajavaa nguo za utamaduni, ila wachezaji wao watavaa nguo za kazi yao,
 
Umekomaa
 
Si wangeweka hata picha ya mlima kilimanjaro
 
Hizi kamati zote hata ya Hamasa AFCON ni wizi na ulaji, pale hela zinapokaa na hazina matumzi ndio wahusika huja na vijitu kama hivi.
 
Vazi la Kitanzania lipo miaka na miaka na hakuna kabila isilolivaa. Kaznzu ya darzi, Kofia ya mkono na Koti. Kwa wanaume.

Hata bungeni linatambulika. Labda viongozi wa team ni mapoyoyo tu.
 
Vazi la Kitanzania lipo miaka na miaka na hakuna kabila isilolivaa. Kaznzu ya darzi, Kofia ya mkono na Koti. Kwa wanaume.

Hata bungeni linatambulika. Labda viongozi wa team ni mapoyoyo tu.
Sasa hiyo kamati ya vazi iliundwa kutafuna pesa za maskini au ilikuwa kuna ka hela kama kale ka EPA pale BOT hakana shughuli wakaamua katumike?
 
Vazi la Kitanzania lipo miaka na miaka na hakuna kabila isilolivaa. Kaznzu ya darzi, Kofia ya mkono na Koti. Kwa wanaume.

Hata bungeni linatambulika. Labda viongozi wa team ni mapoyoyo tu.
Waoh!! Tunaomba picha please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…