Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo sio ukarabati hiyo picha ya kwanza ni eneo walikua wanachanganya cement kwa ajili ya ujenzi unaoendelea kwenye kituo pembeni hapo na hiyo picha ya pili inaonekana dhahiri ni mchanga umemwagika kutoka kwenye lori la mkandarasi, tuwe wakweli na kuacha kuleta taharuki kwenye masuala ya msingi, pita leo utuletee ushahidi wa kina kwamba zege imevunjwa na inajengwa upya. Barabara ikishasafishwa kabla ya kukabidhiwa utaona upotoshaji ulioleta.Leo, naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hali ya barabara ya mwendokasi iliyojengwa kutokea Kariakoo Gerezani kuja Mbagala Rangi Tatu.
Kwa taarifa, barabara hii inakaribia kukamilika kwa asilimia 95, na majaribio ya kutoa huduma kwa wananchi yalifanyika hivi karibuni kwa takribani wiki 2.
Lakini kwa kusikitisha, barabara hii sasa inaonekana imeharibika kabla haijaanza kutumika, na inazibwa viraka kila mahali.
Hali hii ni aibu kwa serikali yetu, na inazua maswali kuhusu uaminifu wa mkandarasi na wasimamizi wa ujenzi.
View attachment 2713249View attachment 2713250
Watasingizia mchanga hauna uboraLeo, naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hali ya barabara ya mwendokasi iliyojengwa kutokea Kariakoo Gerezani kuja Mbagala Rangi Tatu.
Kwa taarifa, barabara hii inakaribia kukamilika kwa asilimia 95, na majaribio ya kutoa huduma kwa wananchi yalifanyika hivi karibuni kwa takribani wiki 2.
Lakini kwa kusikitisha, barabara hii sasa inaonekana imeharibika kabla haijaanza kutumika, na inazibwa viraka kila mahali.
Hali hii ni aibu kwa serikali yetu, na inazua maswali kuhusu uaminifu wa mkandarasi na wasimamizi wa ujenzi.
View attachment 2713259View attachment 2713260
Halafu si mkandarasi huyu huyu kapewa na tenda ya gongo la mboto?Leo, naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hali ya barabara ya mwendokasi iliyojengwa kutokea Kariakoo Gerezani kuja Mbagala Rangi Tatu.
Kwa taarifa, barabara hii inakaribia kukamilika kwa asilimia 95, na majaribio ya kutoa huduma kwa wananchi yalifanyika hivi karibuni kwa takribani wiki 2.
Lakini kwa kusikitisha, barabara hii sasa inaonekana imeharibika kabla haijaanza kutumika, na inazibwa viraka kila mahali.
Hali hii ni aibu kwa serikali yetu, na inazua maswali kuhusu uaminifu wa mkandarasi na wasimamizi wa ujenzi.
View attachment 2713259View attachment 2713260
Hawajaanza leo, walianza kwa kukata vipande na sasa wanaipiga ribiti ili iwe ngumu.Leo, naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hali ya barabara ya mwendokasi iliyojengwa kutokea Kariakoo Gerezani kuja Mbagala Rangi Tatu.