Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

Haya yote wanasheria wa Feisal hawayajui? Unaamini kabisa wanasheria akina Fatma hawafahamu process za kuvunja mkataba?

Huoni kuwa Feisal anawekewa vigingi na sababu everyone anaweza kununulika mwisho wa siku atakosa haki yake, atapoteza muelekeo, kipaji kitazeeka, ndicho mnachotaka?

Nimeuliza huko juu ni kifungu gani cha sheria kimeshindikana kutafsirika? Kuna room ya discussion kama kweli yanga wanataka kumrelease Feisal? Wewe binafsi, kama mtu akiwa hataki kuendelea kufanya kazi kwako unafanyaje?

Unamkandakiza huyo dogo hivyo, je wewe ni shabiki tu au ndio nyie mabwana wakubwa wenye maslahi ya moja kwa moja na yanga? Kwenye hiyo audio ambayo binafsi naamini ni genuine, kuna chochote umekisikia cha ajabu kiasi iletwe kwenye jamii as if ni habari kubwa au ni jinai?
Unaongea kisomi afu wenzako wanaongea kishabiki ndo shida ilipo...
[emoji120]
 
fatma karume hajui. kwa wasio wanasheria,fatma alisoma ufaransa shule zake, akamalizia uingereza, na akawa anapractice sheria uingereza, alipokuja hapa akafanya kazi na kina imma, bado hakuadopt sheria na practice ya hapa kwetu vizuri. ni mojawapo wa wanasheria wnaaojua kuongea siasa tu na vitu ambavyo kwenye sheria zetu havipo kabisa. no wonder hadi leo anasapoti ushoga na anaamini mashoga wana haki ndani ya katiba ya Tanzania kufanya ushoga, wakati kuna sheria wazi zinasema mtu anayefira na anayefirwa miaka 30 jela. huyo ndio unategemea amsimamie fei toto? hapo alienda tu kuonyesha uzanzibari, ili watu watakapoona uzanzibari umeibuka wamwachie fei ila sio hoja za kisheria za mahakamani. fei hata akienda kuzimu hiyo kesi hawezi kushinda. labda waamue tu kumwachie atakufa njaa.
 
Amesema alisha kutana na hao viongozi wa Yanga kuhusu yeye kuondoka wakakataa, baadae yeye alitumia kifungu cha mkataba kuvunja km kinavyo dai, bado wao yanga hawataki.

Na anasema alikutana na Hersi ili wazungumzie hatma yake, yeye alijibiwa kuwa arudi kambini kwa team kuendelea na majukumu yake ya uchezaji, na fei hataki hilo. Sasa afanyeje?

Hebu muwe mnafuatilia jambo bila muhemko. Lol
Unamlisha Fei Maneno
 
Interview inakuwa na behind the scenes kama movie, tatizo igizo lao kwenye scripts, story wamechemka kwani hawana mtu makini kwenye continuity.

Haya endeleeni kumchangia tunasubiria CAS, tunaenda nae kisheria yy acha aendelee kutafuta huruma kwa public.
Inaonekana hujawahi kabisa walau kushuhudia kabla ya Live Interview nini huwa kinafanyika kabla ya kuruka hewani.Yanga wanapaswa wajikite kwenye kile alichokisema ni cha uwongo au la? Hii kutafuta vichochoro vya kujifichia hakusaidii lolote.Yes Feisal anakwenda CAS kuitafuta haki yake na wala siyo dhambi kwa yeye kwenda huko.
 
Masoud kipanya ni mshikaki wake Hersi kavujisha hii kitu mapema.
Kipanya ni Snitch alafu linajifanya linajua dini sana si hajabu hapo lishapewa fungu na GSM.

Feisal unatakiwa uwe makini sana wakat huu maana unaopambana nao Wana ukwasi wa kutosha na unawajua wabongo tena mbele ya pesa wako radhi wavuliwe hata boxer ili mradi mkono uende kinywan
 
fatma karume hajui. kwa wasio wanasheria,fatma alisoma ufaransa shule zake, akamalizia uingereza, na akawa anapractice sheria uingereza, alipokuja hapa akafanya kazi na kina imma, bado hakuadopt sheria na practice ya hapa kwetu vizuri. ni mojawapo wa wanasheria wnaaojua kuongea siasa tu na vitu ambavyo kwenye sheria zetu havipo kabisa. no wonder hadi leo anasapoti ushoga na anaamini mashoga wana haki ndani ya katiba ya Tanzania kufanya ushoga, wakati kuna sheria wazi zinasema mtu anayefira na anayefirwa miaka 30 jela. huyo ndio unategemea amsimamie fei toto? hapo alienda tu kuonyesha uzanzibari, ili watu watakapoona uzanzibari umeibuka wamwachie fei ila sio hoja za kisheria za mahakamani. fei hata akienda kuzimu hiyo kesi hawezi kushinda. labda waamue tu kumwachie atakufa njaa.
Bwana mkubwa, kwa uelewa wangu wakili anaweza kusimama pekeyake mahakamani kumuwakilisha client, lakini wanakuwa jopo nje ya mahakama katika mashauriano n.k

Nitakuwa wa mwisho kukubaliana na uliyoyaandika hapo juu. Ngoja muda utatupa picha halisi ya kinachoendelea.
 
Haya yote wanasheria wa Feisal hawayajui? Unaamini kabisa wanasheria akina Fatma hawafahamu process za kuvunja mkataba?

Huoni kuwa Feisal anawekewa vigingi na sababu everyone anaweza kununulika mwisho wa siku atakosa haki yake, atapoteza muelekeo, kipaji kitazeeka, ndicho mnachotaka?

Nimeuliza huko juu ni kifungu gani cha sheria kimeshindikana kutafsirika? Kuna room ya discussion kama kweli yanga wanataka kumrelease Feisal? Wewe binafsi, kama mtu akiwa hataki kuendelea kufanya kazi kwako unafanyaje?

Unamkandakiza huyo dogo hivyo, je wewe ni shabiki tu au ndio nyie mabwana wakubwa wenye maslahi ya moja kwa moja na yanga? Kwenye hiyo audio ambayo binafsi naamini ni genuine, kuna chochote umekisikia cha ajabu kiasi iletwe kwenye jamii as if ni habari kubwa au ni jinai?
Na mie nashangaaa hapo tyuuh.
 
Nilichojifunza leo baada ya kumsikiliza Feitoto ni kuwa haijalishi una kipaji kiasi gani ila shule ni ya muhimu sana. Kuna vitu Fei alikuwa anaongea inakuonyesha kabisa angebahatika kumaliza hata kidato cha nne serious kabisa ingemsaidia kwa baadhi ya issues za kawaida kabisa. Yule jamaa huenda hata mkataba ukiwa wa kiswahili ila ukamchanganyia maneno magum anaweza asielewe
 
Hyo kawaida hata bungeni wale wanaochangia wote wameandaliwa ili kuepusha contents zisizo na maadili kusikika sasa shida iko wapi ila manara kama ni tatizo la akili basi kwake imefikia 100%
Jemedari kasema hata yeye Manara ana Interview kibao tu ambazo kabla haijaruka hewani huwa anaandaliwa na ataweka hadharani Voice notes zake.Tatizo la Manara anataka kujifanya yeye ni much know kuliko wengine, always anataka awe at the center of discussion na kuhamisha mjadala uelekee upande wake, ni pure narcissist
 
fatma karume hajui. kwa wasio wanasheria,fatma alisoma ufaransa shule zake, akamalizia uingereza, na akawa anapractice sheria uingereza, alipokuja hapa akafanya kazi na kina imma, bado hakuadopt sheria na practice ya hapa kwetu vizuri. ni mojawapo wa wanasheria wnaaojua kuongea siasa tu na vitu ambavyo kwenye sheria zetu havipo kabisa. no wonder hadi leo anasapoti ushoga na anaamini mashoga wana haki ndani ya katiba ya Tanzania kufanya ushoga, wakati kuna sheria wazi zinasema mtu anayefira na anayefirwa miaka 30 jela. huyo ndio unategemea amsimamie fei toto? hapo alienda tu kuonyesha uzanzibari, ili watu watakapoona uzanzibari umeibuka wamwachie fei ila sio hoja za kisheria za mahakamani. fei hata akienda kuzimu hiyo kesi hawezi kushinda. labda waamue tu kumwachie atakufa njaa.
Ushoga unaelewa maana yake?? Halafu acha kuingiza mambo yasiyohusika, tuzungumzie ya Feisal.
 
Hakuna Cha aibu hapo hiyo ni kawaida, waulize watu ambao Wana experience na interview watakwambia..
 
Jemedari kasema hata yeye Manara ana Interview kibao tu ambazo kabla haijaruka hewani huwa anaandaliwa na ataweka hadharani Voice notes zake.Tatizo la Manara anataka kujifanya yeye ni much know kuliko wengine,always anataka awe at the center of discussion na kuhamisha mjadara uelekee upande wake,ni pure narcissist
Takadini ni wa kumpuuza tyuuh. Amesha vurugwaaa.
 
Hakuna tofauti kati ya Mange Kimambi na Haji Manara siku zote wapo kuumiza tu
Siku Yao ipoo
Manara ni shida kubwa, kila sehemu alipo ni lazima ahakikishe watu wanaumia kwa mdomo wake. Sijui ule ulemavu wake ndiyo huwa unamfanya anakuwa insecure kiasi kwamba huwa anataka kuprove uwepo wake kwa kuzua taharuki.

Usishangae sasa hivi ataanzisha rasmi vita ya maneno na Feisal na kuuvaa huu mzozo kama wake.
 
Ushoga unaelewa maana yake?? Afu acha kuingiza mambo yasiyohusika, tuzungumzie ya feisal.
wewe utakuwa ni shoga. mbuzi kasoro mkia we. tulichokuwa tunasema hapa ni kwamba hata hao wanasheria wake kina fatma hawajui sheria, wanachojua ni kusapoti ushoga tu. mtu anayesapoti ushoga kweli anaweza kumtetea mtu akashinda kesi?
 
Hapo siyo kama anapewa guidence ,hapo anapindisha ukweli ,aweke malipo hayo ya mili10 ,kisha mil20 tuone kama siyo muongo.

Eng Taarifa alizotoa zote sahihi ,kwamba Fei anakataa mishahara na kweli Fei amekiri ,na pia Eng kasema alimpa 100m cash means Eng ana ushahidi ndiyo maana amesema.

Huyo Amijei anatumika tu hana lolote ,eti anasema kwamba kuna mdau wa yanga ndani amempa 25m?
Anapindisha ukweli, ukweli ni upi sasa?

Njoo na huo ukweli u-disprove

Kuna siku Hersi aliwahi kusema wanaendelea kumlipa Feisali na humu ulianzishwa uzi wake.

Mimi nikasema huo mshahara anaupataje wakati akaunti yake ameifunga.
Screenshot_20230601-150509.png

Mashabiki wa Yanga wengi walinijia juu
Screenshot_20230601-150525.png

Hawakutaka kabisa kunielewa
Screenshot_20230601-150547.png

Nikajifunza kuwa mashabiki sisi ni watu wa kusikia vile vitu tunavyovipenda
Screenshot_20230601-150606.png

Hawa wote ni Yanga lia lia, hapa walinikomalia kwelikweli

Screenshot_20230601-150627.png

Mwishoni nikaitwa hivi
Screenshot_20230601-150643.png
 
Back
Top Bottom