Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

Hamna kosa lolote kweli,ila ndio intvw ya kwanza kuwa na behind the scene kama movies.

Hersi mbona kishaongea na alihojiwa na akina Masoud. Tukutane CAS tukasimamie sheria baada ya hapo itafahamika nani anaonewa na si kutafuta huruma.

Yanga wanatimiza wajibu wao kimkataba wa kumlipa Fei na ndio maana mpaka leo Yanga kashinda mara tatu sababu kisheria Yanga ana haki na mkataba utaongea.

Hersi hana cha kuprove kwenu nyinyi wasaka habari, yy kazi yake kusimamia club,rasilimali za club,wachezaji na mikataba yao.
 
Yanga ndio walio confirm kuwa account ya mchezaji imefungwa kupitia kiongozi wao wa ndani ambaye alifanya mahojiano ya simu na kituo hicho cha habari
 
Taaluma ya kuongea kwenye media sio kila mtu anayo hivyo lazima upate guide kwa watu ambao wana ujuzi wa hiyo kitu.

Inawezekana Feisali aliwasimulia kila kitu hao ila namna ya kuanza ku present mbele ya media ndio hapo alipohitaji usaidizi.
Sio inawezekana huo ndio ukweli,maandalizi ya kipindi yanapofanywa lazima mtangazaji apate story kwa ufupi,tatizo watanzania wengi uelewa wa mambo mdogo.
 
Ni kweli kabisa mkuu jamaa kavujisha maksudi ili kumkomoa dogo, GSM wako radhi kutumia kiasi chochote Cha pesa waonekane Wasafi na Kipanya keshahongwa kukamikisha huo mpango pumbavu zake
Mnayofanyia gizani sasa yanawekwa bayana, Ruge alishasema ogopa Mungu na teknolojia.
 
Mimi nimewahi kufanya interview kwenye kituo kimoja cha redio,huo utaratibu unafanyika.

Sometimes mtangazaji anakutajia maswali atakayokuuliza,then anakupa options kwamba unadhani kuna swali alitoe,au aongeze?

Anaweza pia kukuliza je naweza kukuuliza maswali personal?

Huo ni utaratibu wa kawaida wabongo acheni ushabiki wa kijinga.
 
Clouds imejaa wahun tu pale, hakuna weledi yan
 
Shida sio kumfukuza! Una huyo masoud kipanya mwingine..?

Mkuu kupata replace ya masoud sio rahisi kama unavyozani!

Uamini fatilia maslahi apatayo hapo unapo omba afukuzwe!
Kp ni habari ingine kwenye eneo lake..
 
Sasa hiyo ni interview au maigizo ya kaole group?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…