Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

Kuna crime yoyote wamefanya? Wewe leta hata season 10 lakini ukweli unabaki pale pale watu wamevuliwa nguo na Feisal.Tunachosubiri ni wakanushe kitu ambacho sina uhakika kama watathubutu.Feisal kasema Account yake alishafunga na hapokei mshahara wa Yanga lakini Hersi alidanganya wazi wazi kuwa Feisal analipwa mshahara.

Tunataka Hersi aje akanushe kama hakumuomba radhi Feisal na kama alikuwa hambagui kwa kumwita 'Mpemba' wakati huo yeye kajisahau kama ni Msomali.
Hamna kosa lolote kweli,ila ndio intvw ya kwanza kuwa na behind the scene kama movies.

Hersi mbona kishaongea na alihojiwa na akina Masoud. Tukutane CAS tukasimamie sheria baada ya hapo itafahamika nani anaonewa na si kutafuta huruma.

Yanga wanatimiza wajibu wao kimkataba wa kumlipa Fei na ndio maana mpaka leo Yanga kashinda mara tatu sababu kisheria Yanga ana haki na mkataba utaongea.

Hersi hana cha kuprove kwenu nyinyi wasaka habari, yy kazi yake kusimamia club,rasilimali za club,wachezaji na mikataba yao.
 
Account alifunga ila Yanga walikuwa hawajui baada ya kufanya transaction na mualama ukarudi ikabidi wamuandikie feisal awape account nyingine ambayo active waendelee kumpa mpaka sasa navyoandika hajatoa hivyo Yanga wanaendelea kumuwekea kwenye account na zinarudi na eng aliweka wazi akitoa account mzigo yote kuanzia feb mpaka may wanamdumbukizia.
Yanga ndio walio confirm kuwa account ya mchezaji imefungwa kupitia kiongozi wao wa ndani ambaye alifanya mahojiano ya simu na kituo hicho cha habari
 
Taaluma ya kuongea kwenye media sio kila mtu anayo hivyo lazima upate guide kwa watu ambao wana ujuzi wa hiyo kitu.

Inawezekana Feisali aliwasimulia kila kitu hao ila namna ya kuanza ku present mbele ya media ndio hapo alipohitaji usaidizi.
Sio inawezekana huo ndio ukweli,maandalizi ya kipindi yanapofanywa lazima mtangazaji apate story kwa ufupi,tatizo watanzania wengi uelewa wa mambo mdogo.
 
Ni kweli kabisa mkuu jamaa kavujisha maksudi ili kumkomoa dogo, GSM wako radhi kutumia kiasi chochote Cha pesa waonekane Wasafi na Kipanya keshahongwa kukamikisha huo mpango pumbavu zake
Mnayofanyia gizani sasa yanawekwa bayana, Ruge alishasema ogopa Mungu na teknolojia.
 
Mimi nimewahi kufanya interview kwenye kituo kimoja cha redio,huo utaratibu unafanyika.

Sometimes mtangazaji anakutajia maswali atakayokuuliza,then anakupa options kwamba unadhani kuna swali alitoe,au aongeze?

Anaweza pia kukuliza je naweza kukuuliza maswali personal?

Huo ni utaratibu wa kawaida wabongo acheni ushabiki wa kijinga.
 
Clouds fm ni kituo cha redio kilichojijengea umaarufu kwa muda mrefu tangu enzi za marehemu Ruge. Lakini kwasiku za hivi karibuni heshima ya clouds imeshuka Sana.

Mfano mzuri ni hiyo clip iliyovuja Masoud kipanya akimkaririsha Feisal MANENO ya kuongea alaf yeye mwenyewe ndo akaenda kumfanyia mahojiano!

Hii inatia kichefuchefu na inaichafua brand kubwa Kama clouds fm. Nashauri mmiliki wa kituo hicho amfute kazi mara moja kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Clouds imejaa wahun tu pale, hakuna weledi yan
 
Mimi nimewahi kufanya interview kwenye kituo kimoja cha redio,huo utaratibu unafanyika.

Sometimes mtangazaji anakutajia maswali atakayokuuliza,then anakupa options kwamba unadhani kuna swali alitoe,au aongeze?

Anaweza pia kukuliza je naweza kukuuliza maswali personal?

Huo ni utaratibu wa kawaida wabongo acheni ushabiki wa kijinga.
Sasa hiyo ni interview au maigizo ya kaole group?
 
Back
Top Bottom