joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hamna kosa lolote kweli,ila ndio intvw ya kwanza kuwa na behind the scene kama movies.Kuna crime yoyote wamefanya? Wewe leta hata season 10 lakini ukweli unabaki pale pale watu wamevuliwa nguo na Feisal.Tunachosubiri ni wakanushe kitu ambacho sina uhakika kama watathubutu.Feisal kasema Account yake alishafunga na hapokei mshahara wa Yanga lakini Hersi alidanganya wazi wazi kuwa Feisal analipwa mshahara.
Tunataka Hersi aje akanushe kama hakumuomba radhi Feisal na kama alikuwa hambagui kwa kumwita 'Mpemba' wakati huo yeye kajisahau kama ni Msomali.
Hersi mbona kishaongea na alihojiwa na akina Masoud. Tukutane CAS tukasimamie sheria baada ya hapo itafahamika nani anaonewa na si kutafuta huruma.
Yanga wanatimiza wajibu wao kimkataba wa kumlipa Fei na ndio maana mpaka leo Yanga kashinda mara tatu sababu kisheria Yanga ana haki na mkataba utaongea.
Hersi hana cha kuprove kwenu nyinyi wasaka habari, yy kazi yake kusimamia club,rasilimali za club,wachezaji na mikataba yao.