Wewe Dada Mimi nakuheshimu😂😂 Kwanza kwanini umekimbia kwenye ule Uzi was Russia-Ukraine war..Yanga ilijihujumu yenyewe tar 28/05,kule Algers wanakwenda kukamilisha tu ratiba na kuwashuhudia USM wakikabidhiwa kombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Dada Mimi nakuheshimu😂😂 Kwanza kwanini umekimbia kwenye ule Uzi was Russia-Ukraine war..Yanga ilijihujumu yenyewe tar 28/05,kule Algers wanakwenda kukamilisha tu ratiba na kuwashuhudia USM wakikabidhiwa kombe.
Ndo akili zako zimeishia hapo tyuuh??? Sitaki kubadili mada, tubaki kwa feisal. Ikiwa huna hoja ukae kmyaa sio kujionesha wazi kuwa uwezo wako wa akili ni mdogo.wewe utakuwa ni shoga. mbuzi kasoro mkia we. tulichokuwa tunasema hapa ni kwamba hata hao wanasheria wake kina fatma hawajui sheria, wanachojua ni kusapoti ushoga tu. mtu anayesapoti ushoga kweli anaweza kumtetea mtu akashinda kesi?
[emoji23][emoji23][emoji23] na nimekuchokoza makusudi Kaka,kule huwa napita kimya kimya naona hiyo vita haiishi mpaka imenichosha.Wewe Dada Mimi nakuheshimu[emoji23][emoji23] Kwanza kwanini umekimbia kwenye ule Uzi was Russia-Ukraine war..
Tukisema huyu dogo anapotezwa na washauri wake, hasikii. Kaenda clouds kuongea shits kumbe kuna watu wamempanga namna ya kuongea.
Kuna kundi la watu liko nyuma yake linampoteza bila yeye kujua?
Hivi huyu hana management?
Elimu Elimu Elimu, mzee Lowassa apewe maua yake.
Brother hunijui ila nishafanya kazi kwenye media kubwa moja wapo kama IT,najua ninacho kizungumza.Nyie si mnapenda maigizo haya sikiliza seasons 2.Inaonekana hujawahi kabisa walau kushuhudia kabla ya Live Interview nini huwa kinafanyika kabla ya kuruka hewani.Yanga wanapaswa wajikite kwenye kile alichokisema ni cha uwongo au la? Hii kutafuta vichochoro vya kujifichia hakusaidii lolote.Yes Feisal anakwenda CAS kuitafuta haki yake na wala siyo dhambi kwa yeye kwenda huko.
Nashangaa.Tuhuma gani? Kama wachawi. Unapendekezaje mtu afukuzwe kazi? Kakupotezea tsh ngapi kwa kumuelekekeza Fei cha kusema?
WamelowaaaaaaaYaani viongozi WA Yanga Boksa zimewabana leoo
Ndo kipande hiki cha 20sec au?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Brother hunijui ila nishafanya kazi kwenye media kubwa moja wapo kama IT,najua ninacho kizungumza.Nyie si mnapenda maigizo haya sikiliza seasons 2.
Ila Masoud Kipanya nimemkubali sana.Halafu kwenda CAS hajazuiwa ni yy mwenyewe kuamua kwani hela anayo ila chaa ajabu anakomaa na TFF.
Ulitengeneza wewe mkuu ??Uto hizo sauti za kutengeneza
Wapumbavu pekee ndio waliotetemeka.Na kajua kutetemesha jiji woiiiiiiiih.
Hukioni halafu huyo ndio mwanasheria wake daaaah ndiye anaenda kusimama nae CAS 😂😂,tupo humu ni swala la muda,yy timu yake waendelee kutafuta huruma sisi tutasimamia sheria na mkataba.Ndo kipande hiki cha 20sec au?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hapo kuna kipi cha ajabu??
Kumbe kweli kama mpaka aliyevujisha anajulikanaKumbe Manara ndo kavujisha hamnaaa kitu hapoooooo
Nyie ndio wale wa dada Mange kasemaJemedari kasema hata yeye Manara ana Interview kibao tu ambazo kabla haijaruka hewani huwa anaandaliwa na ataweka hadharani Voice notes zake.Tatizo la Manara anataka kujifanya yeye ni much know kuliko wengine,always anataka awe at the center of discussion na kuhamisha mjadara uelekee upande wake,ni pure narcissist
Kuna crime yoyote wamefanya? Wewe leta hata season 10 lakini ukweli unabaki pale pale watu wamevuliwa nguo na Feisal.Tunachosubiri ni wakanushe kitu ambacho sina uhakika kama watathubutu.Feisal kasema Account yake alishafunga na hapokei mshahara wa Yanga lakini Hersi alidanganya wazi wazi kuwa Feisal analipwa mshahara.Brother hunijui ila nishafanya kazi kwenye media kubwa moja wapo kama IT,najua ninacho kizungumza.Nyie si mnapenda maigizo haya sikiliza seasons 2.
Ila Masoud Kipanya nimemkubali sana.Halafu kwenda CAS hajazuiwa ni yy mwenyewe kuamua kwani hela anayo ila chaa ajabu anakomaa na TFF.
Wamepagawa hawa,Feisal kawashika pazuri sana mpaka Takadini ameamua kujifunga kibwaya kucheza ngoma iso yake [emoji23][emoji23][emoji23]Ndo kipande hiki cha 20sec au?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hapo kuna kipi cha ajabu??
Hakuna shida Mazee,au Mange siyo binadamu kama wewe?Nyie ndio wale wa dada Mange kasema
Anapindisha ukweli, ukweli ni upi sasa?
Njoo na huo ukweli u-disprove
Kuna siku Hersi aliwahi kusema wanaendelea kumlipa Feisali na humu ulianzishwa uzi wake.
Mimi nikasema huo mshahara anaupataje wakati akaunti yake ameifunga.View attachment 2642474
Mashabiki wa Yanga wengi walinijia juuView attachment 2642479
Hawakutaka kabisa kunielewaView attachment 2642484
Nikajifunza kuwa mashabiki sisi ni watu wa kusikia vile vitu tunavyovipenda View attachment 2642486
Hawa wote ni Yanga lia lia, hapa walinikomalia kwelikweli
View attachment 2642487
Mwishoni nikaitwa hiviView attachment 2642491
Sahihi kabisa.Nashangaa.
Alafu inaonekana kuna baadhi ya watu hawajawahi kufanya interview na vyombo vya habari.
Nimeshawahi kuhojiwa nao, kuna wakati mnafundisha namna ya kuboresha mahojiano.
Kwahiyo jambo hilo kwa Fei ilikuwa ni lazima iwapo kuna mahali alikuwa anakosea, hivyo kuelekezwa namna sahihi ya kujibu maswali yake
AISE HII ISSUE IPELEKWE BUNGENI KUJADILIWA,ISSUE NI NZITO SANA
KWA TAIFA
[emoji1] wabongo si mnapenda mambo hayo
Ova
Clouds fm ni kituo cha redio kilichojijengea umaarufu kwa muda mrefu tangu enzi za marehemu Ruge. Lakini kwasiku za hivi karibuni heshima ya clouds imeshuka Sana.
Mfano mzuri ni hiyo clip iliyovuja Masoud kipanya akimkaririsha Feisal MANENO ya kuongea alaf yeye mwenyewe ndo akaenda kumfanyia mahojiano!
Hii inatia kichefuchefu na inaichafua brand kubwa Kama clouds fm. Nashauri mmiliki wa kituo hicho amfute kazi mara moja kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.