Aibu ya pombe

Shida yangu mimi siyo kama ya huyo,mimi naongea mno nikinywa na hata kutukana
Mimi nimenywea ada ya mtoto wangu mdogo ya ada ya term ya kwanza 6k .....mama yake karudi toka kwao huko Arusha anararua kila siku na maneo.
 
...hiyo ya kujutia hela mimi ni mmoja wao.....
 
Unakunywa pombe kali sana
1.nakunywa safari,k vant na konyagi
2.nikishalewa tu na naleta matatizo haijalishi pombe ipi nimekunywa
3.nachanganya pombe (sometimes)
4.safari 8+
5.nimeoa na nna watoto
6.nazingua nikiwa na mtu yeyote
 
...acha uongo-kama zingekua zunaleta umaskini basi walokole wangekuwa matajiri sabb hawanywi.

...you imbecile
 
M
Mimi nimenywea ada ya mtoto wangu mdogo ya ada ya term ya kwanza 6k .....mama yake karudi toka kwao huko Arusha anararua kila siku na maneo.
Mie napitia ugomvi pamoja na hasara kwenye kutoa ofa
 
Toa suluhisho. Aombewe au alifukuze hilo pepo kwa namna gani?
 
1.nakunywa safari,k vant na konyagi
2.nikishalewa tu na naleta matatizo haijalishi pombe ipi nimekunywa
3.nachanganya pombe (sometimes)
4.safari 8+
5.nimeoa na nna watoto
6.nazingua nikiwa na mtu yeyote
1. Usichanganye pombe.
2. Hama pombe badili safari kwa kilimanjaro.
3. Punguza idadi ya bia.
4. Acha konyagi na k vant anza kunywa expensive drink like Jamerson au JD uone kama utagida bila sababu.


Yani jana nmekuuliza hv halafu na mimi nimeharibu. Yani nmemumimd mdingi balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole mkuu, nimekuelewa
 
Ulilala kwenye pagale huku umelewa hujielewi.
Hapo mtaani hakuna Wezi wanaovunja maduka ?
 
Kwa hali hii nashangaaga sana watu wanaopinga bangi. kitu safi kabisa unapiga na bado unaendelea na mambo yako, mambo ya kupepesuka, kuanguka, kujinyea, kuzima n.k hayapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…