Aibu ya pombe

Aibu ya pombe

Shida yangu mimi siyo kama ya huyo,mimi naongea mno nikinywa na hata kutukana
Mimi nimenywea ada ya mtoto wangu mdogo ya ada ya term ya kwanza 6k .....mama yake karudi toka kwao huko Arusha anararua kila siku na maneo.
 
...hiyo ya kujutia hela mimi ni mmoja wao.....
Easy mkuu,binadamu tunakosea sana tu.

Mambo ya kawaida hayo,mamilioni ya watu wako majumbani kwao sasa hivi wakijutia jinsi msimu huu wa x-mas walivyomaliza pesa zao kwny pombe au walivyopoteza heshima zao sababu ya pombe so hayo ni mambo ya kawaida tu.,usikute hata ma-boss zako nao wako wanajutia namna pombe ilivyowafanya wakapiga bila ndomu kwny mechi za ugenini huko.
 
Unakunywa pombe kali sana
1.nakunywa safari,k vant na konyagi
2.nikishalewa tu na naleta matatizo haijalishi pombe ipi nimekunywa
3.nachanganya pombe (sometimes)
4.safari 8+
5.nimeoa na nna watoto
6.nazingua nikiwa na mtu yeyote
 
...acha uongo-kama zingekua zunaleta umaskini basi walokole wangekuwa matajiri sabb hawanywi.

...you imbecile
Ulevi wa mipombe ni pepo..usipolidhibiti waweza mgongea mlango hata mama mkwe aliyekuja kwako kwa matibabu huku ukiwa utupu ukitaka akupe maajabu!!

Ni wachache sana wanakunywa pombe kwa staha!!

Ulevi ni pepo chafu tena la umaskini.. ..yaani ukipata hela tu linakupanda kichwani...kunywa hadi ziishe na kukupa juu yake... na mara nyingi pepo hili huwa limo dani ya familia. ..unakuta babu mlevi, baba mlevi, watoto walevi wajukuu ndiyo usiseme..!!

Ulevi unaendana na uchafu na umaskini.
 
M
Mimi nimenywea ada ya mtoto wangu mdogo ya ada ya term ya kwanza 6k .....mama yake karudi toka kwao huko Arusha anararua kila siku na maneo.
Mie napitia ugomvi pamoja na hasara kwenye kutoa ofa
 
Ulevi wa mipombe ni pepo..usipolidhibiti waweza mgongea mlango hata mama mkwe aliyekuja kwako kwa matibabu huku ukiwa utupu ukitaka akupe maajabu!!

Ni wachache sana wanakunywa pombe kwa staha!!

Ulevi ni pepo chafu tena la umaskini.. ..yaani ukipata hela tu linakupanda kichwani...kunywa hadi ziishe na kukupa juu yake... na mara nyingi pepo hili huwa limo dani ya familia. ..unakuta babu mlevi, baba mlevi, watoto walevi wajukuu ndiyo usiseme..!!

Ulevi unaendana na uchafu na umaskini.
Toa suluhisho. Aombewe au alifukuze hilo pepo kwa namna gani?
 
1.nakunywa safari,k vant na konyagi
2.nikishalewa tu na naleta matatizo haijalishi pombe ipi nimekunywa
3.nachanganya pombe (sometimes)
4.safari 8+
5.nimeoa na nna watoto
6.nazingua nikiwa na mtu yeyote
1. Usichanganye pombe.
2. Hama pombe badili safari kwa kilimanjaro.
3. Punguza idadi ya bia.
4. Acha konyagi na k vant anza kunywa expensive drink like Jamerson au JD uone kama utagida bila sababu.

Yani jana nmekuuliza hv halafu na mimi nimeharibu. Yani nmemumimd mdingi balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole mkuu, nimekuelewa
 
Heri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.

Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.

Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?
Ulilala kwenye pagale huku umelewa hujielewi.
Hapo mtaani hakuna Wezi wanaovunja maduka ?
 
Kwa hali hii nashangaaga sana watu wanaopinga bangi. kitu safi kabisa unapiga na bado unaendelea na mambo yako, mambo ya kupepesuka, kuanguka, kujinyea, kuzima n.k hayapo
 
Back
Top Bottom