Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Easy mkuu, binadamu tunakosea sana tu.Asante mkuu,yaani nna stress za kufa mtu,mabosi wangu sijui nitawaeleza nini.Nipo ndani sitoki tangu juzi
Ni wanywaji wachache ambao pombe haijawahi kuwaaibisha. Kwanza wanajua wewe siyo mnywaji. Watachukulia kama ajali, watajua huna uzoefu.Asante mkuu,yaani nna stress za kufa mtu,mabosi wangu sijui nitawaeleza nini.Nipo ndani sitoki tangu juzi
Boxing day ni siku ya kupigana?Juzi siku ya boxing day
Asante,nimekuelewa kiongoziAibu ya nini sasa wakat ilikua pombe tu? Kwani ukiwa mzima unafamyaga hivyo?
Chamsingi vunja ukimya mwenyewe anza kutoka mpya ukiwa na furaha na ongea na watu atakayekuuliza mwambie ilikua pombe na bahat mbaya nilizidisha..
Ilikua furaha ya boxingday tu!
Kuna watu wamekojoa hadharan na sahiz wapo mtaan sembuse wewe kugombana tu?
Ikibidi tunga uongo sema kuna mtu aliniwekea dawa nikazima aah!
Mimi nina rafiki yangu kila mara akilewa zaid analia akimaliza anagombana na bar nzima tena yeye anatafuta ugomvi kwa nguvu na anafunga bar anawapigia simu polis kuwa hapa kuna virugu kuna watu wanauza madawa njoon muwakamate..
Heri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.
Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.
Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?
Itaniharibia zaidiDawa ya moti ni moto, kanywe tena pombe za kutosha ulewe sana yaani, halafu uwaite hao washikaji zako ukiwa chakari, wakija uwatwange kilaji walewe na wao kisha uwaombe msamaha uwambie nyie hamuwezi kukosana huku ukitumia lafudhi ya kilevi...
Wanaosema pombe siyo kwa kila mtu wapo sahihi,inaleta msongo wa mawazo ikishakutoka na ukasimuliwa uliyoyafanyapombee nomaa
meona clip ya jaaama juzi kalewa akakojoa sebuleni kwa mshikaji wakee, leo hii wanaanza laumianaaa kwa kusambaza picha hizoo
Kuna njia ya tiba za maombi ya Duan na dawa za kutumia. Unawaweza kupunguza utumiaji hadi kuachana nao kabisa. Usione aibu ni homa kama ilivyo homa nyegine.. Toa maelezo zaidi kuhusu umri wako. Toka umeathirika na unywaji unakadiria miaka mingapi. Na wastani wa uzito wako. Na kama huna magonjwa kama presha au kisukari.Heri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.
Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.
Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?
1.nakunywa safari,k vant na konyagiHebu nijibu maswali yangu kwanza kabla ya kukushauri...
1. Unatumia kilevi aina gani? Pombe kali au beer?
2. Huwa ukitumia kilevi gani ndio unakua na mzuka wa kugombana na kuongea?
3. Unachanganya pombe?
4. Ukinywa ngapi ndio ndege inaanza kupaa?
5. Umeoa? Watoto?
6. Je ukiwa na watu uliowazoea ndio unazingua au hata ukiwa ugenini?
N.k
Nime ku pmKuna njia ya tiba za maombi ya Duan na dawa za kutumia. Unawaweza kupunguza utumiaji hadi kuachana nao kabisa. Usione aibu ni homa kama ilivyo homa nyegine.. Toa maelezo zaidi kuhusu umri wako. Toka umeathirika na unywaji unakadiria miaka mingapi. Na wastani wa uzito wako. Na kama huna magonjwa kama presha au kisukari.