Aibu ya pombe

Aibu ya pombe

Asante mkuu,yaani nna stress za kufa mtu,mabosi wangu sijui nitawaeleza nini.Nipo ndani sitoki tangu juzi
Easy mkuu, binadamu tunakosea sana tu.

Mambo ya kawaida hayo, mamilioni ya watu wako majumbani kwao sasa hivi wakijutia jinsi msimu huu wa x-mas walivyomaliza pesa zao kwny pombe au walivyopoteza heshima zao sababu ya pombe so hayo ni mambo ya kawaida tu, usikute hata ma-boss zako nao wako wanajutia namna pombe ilivyowafanya wakapiga bila ndomu kwny mechi za ugenini huko.
 
Asante mkuu,yaani nna stress za kufa mtu,mabosi wangu sijui nitawaeleza nini.Nipo ndani sitoki tangu juzi
Ni wanywaji wachache ambao pombe haijawahi kuwaaibisha. Kwanza wanajua wewe siyo mnywaji. Watachukulia kama ajali, watajua huna uzoefu.

Huwa hatuchukulii serious vituko vya kwenye pombe.
 
Asante kwa faraja hii rafiki
 
Aibu ya nini sasa wakat ilikua pombe tu? Kwani ukiwa mzima unafamyaga hivyo?

Chamsingi vunja ukimya mwenyewe anza kutoka mpya ukiwa na furaha na ongea na watu atakayekuuliza mwambie ilikua pombe na bahati mbaya nilizidisha..
Ilikua furaha ya boxingday tu!

Kuna watu wamekojoa hadharan na sahiz wapo mtaan sembuse wewe kugombana tu?

Ikibidi tunga uongo sema kuna mtu aliniwekea dawa nikazima aah!

Mimi nina rafiki yangu kila mara akilewa zaid analia akimaliza anagombana na bar nzima tena yeye anatafuta ugomvi kwa nguvu na anafunga bar anawapigia simu polis kuwa hapa kuna virugu kuna watu wanauza madawa njoon muwakamate..
 
Aibu ya nini sasa wakat ilikua pombe tu? Kwani ukiwa mzima unafamyaga hivyo?
Chamsingi vunja ukimya mwenyewe anza kutoka mpya ukiwa na furaha na ongea na watu atakayekuuliza mwambie ilikua pombe na bahat mbaya nilizidisha..
Ilikua furaha ya boxingday tu!

Kuna watu wamekojoa hadharan na sahiz wapo mtaan sembuse wewe kugombana tu?
Ikibidi tunga uongo sema kuna mtu aliniwekea dawa nikazima aah!

Mimi nina rafiki yangu kila mara akilewa zaid analia akimaliza anagombana na bar nzima tena yeye anatafuta ugomvi kwa nguvu na anafunga bar anawapigia simu polis kuwa hapa kuna virugu kuna watu wanauza madawa njoon muwakamate..
Asante,nimekuelewa kiongozi
 
Heri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.

Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.

Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?

Dawa ya moti ni moto, kanywe tena pombe za kutosha ulewe sana yaani, halafu uwaite hao washikaji zako ukiwa chakari, wakija uwatwange kilaji walewe na wao kisha uwaombe msamaha uwambie nyie hamuwezi kukosana huku ukitumia lafudhi ya kilevi...
 
Itaniharibia zaidi
 
pombee nomaa
meona clip ya jaaama juzi kalewa akakojoa sebuleni kwa mshikaji wakee, leo hii wanaanza laumianaaa kwa kusambaza picha hizoo
 
Usiache kaka,punguza tuu kama mimi,nakunywa moja mbili basi.maana hata mimi nilikuwa nakunywa mpaka nalewa nakuwa mgomvi
 
Heri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.

Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.

Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?
Kuna njia ya tiba za maombi ya Duan na dawa za kutumia. Unawaweza kupunguza utumiaji hadi kuachana nao kabisa. Usione aibu ni homa kama ilivyo homa nyegine.. Toa maelezo zaidi kuhusu umri wako. Toka umeathirika na unywaji unakadiria miaka mingapi. Na wastani wa uzito wako. Na kama huna magonjwa kama presha au kisukari.
 
Hebu nijibu maswali yangu kwanza kabla ya kukushauri...
1. Unatumia kilevi aina gani? Pombe kali au beer?
2. Huwa ukitumia kilevi gani ndio unakua na mzuka wa kugombana na kuongea?
3. Unachanganya pombe?
4. Ukinywa ngapi ndio ndege inaanza kupaa?
5. Umeoa? Watoto?
6. Je ukiwa na watu uliowazoea ndio unazingua au hata ukiwa ugenini?

N.k
 
1.nakunywa safari,k vant na konyagi
2.nikishalewa tu na naleta matatizo haijalishi pombe ipi nimekunywa
3.nachanganya pombe (sometimes)
4.safari 8+
5.nimeoa na nna watoto
6.nazingua nikiwa na mtu yeyote
 
Kuna njia ya tiba za maombi ya Duan na dawa za kutumia. Unawaweza kupunguza utumiaji hadi kuachana nao kabisa. Usione aibu ni homa kama ilivyo homa nyegine.. Toa maelezo zaidi kuhusu umri wako. Toka umeathirika na unywaji unakadiria miaka mingapi. Na wastani wa uzito wako. Na kama huna magonjwa kama presha au kisukari.
Nime ku pm
 
Back
Top Bottom