Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

Tangu kifo cha hayati, marehemu, mwendazake, shujaa wa Africa na kiboko ya wazungu na Corona mama D amekosa muelekeo. Hana mbele wa nyuma!

Kati ya mimi na wewe nani hana muelekeo

JPM ataendelea kukumbukwa kama Rais na mwamba imara, mbeba maono, jasiri, mchapakazi kwa taifa lake na pekee mwenye uthubutu kuwahi kutokea duniani kwa karne hii

Nakukaribisha wewe Baraka21 usiyekua na mbele, nyuma wala katikati utulize ubongo uje tuendeleze kazi alizoacha baba yetu JPM

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan

Kazi iendelee
 
Sukuma Gang hawataki hayo,wanataka mungu hafufuliwe kenge hawa
 
mama D ni hazina ya Taifa,

Awamu hii wamepewa sana nguvu na mama,

Wanawake kama wanaume

Hehehe wewe CM 1774858 unataka Baraka21 akajinyonge leo kama Yuda alivyojinyonga😅😅😅😅

Wanawake wanaweza kuongoza kama ilivyo wanaume sababu uongozi hautumii kile kiungo cha mwili (cha kike au cha kiume) bali ufahamu
 
Kuna siku mtakuja kutulilia hapa na mapambio yenu...

Mwalimu ni Muda
 
Maneno ya busara sana mama D ,

Lazima tuanzishe na kuendeleza kazi nzuri na kubwa zilizoanzishwa kifikra na kimatendo na hayati JPM,

Apumze kwa amani mzee wetu,


.........KAZI IENDELEE .........
 
Hehehe wewe CM 1774858 unataka Baraka21 akajinyonge leo kama Yuda alivyojinyonga😅😅😅😅

Wanawake wanaweza kuongoza kama ilivyo wanaume sababu uongozi hautumii kile kiungo cha mwili (cha kike au cha kiume) bali ufahamu


Shida kubwa mapokeo yanawahukumu

ongezeni kujipigania na kupiganiana,
 
Nilishawahi kuonya huko nyuma, uwekezaji kwenye kilimo ufanywe na wazawa (yaani raia). Maana nchi ni ardhi, kurudisha wageni kulimisha raia ni ukoloni mpya kwa njia ya uwekezaji. Hivi nchi yetu imeshindwa kutengeneza wawekezaji wazawa hadi tunahitaji wageni kutuzalishia chakula ndani ya nchi yetu. Tunashindwa kuzalisha chakula wenyewe hadiu wageni. Hivi sis tunaweza nini kama hata kulima tunashindwa!!
 
Mama D jikoshe na Mathayo,but jua tu Israel sio Wakristo bali wanawatumia wakristo ktk kuupiga vita uislamu na nyinyi munafikiri kama wenzenu bora Waislamu wako karibu sana na nyie Waisraili ndio matatizo yote ya dunia hii unayoyaona misikombe sana na hao hata huo Ukristo wao hawaupendi .Siku njema.
 
Maneno ya busara sana mama D ,

Lazima tuanzishe na kuendeleza kazi nzuri na kubwa zilizoanzishwa kifikra na kimatendo na hayati JPM,

Apumze kwa amani mzee wetu,


.........KAZI IENDELEE .........

Tanzania ndio baba na mama kwetu. Tumshukuru Mungu kuwa na serikali imara na tuungane kujenga nchi

Wenzetu wenye chuki poleni maana hata ukimchukia kiongozi wako hamna kitu unaweza mfanya, ndio keshakalia kiti, ndio Rais na Amiri Jeshi mkuu. Zaidi zaidi busara ingekua kumwombea uzima na utulivu; na Mungu amzidishie hekma na maarifa Rais wetu kipenzi
 
Huwezi kukwepa sekta binafsi kiongozi,

Ndio sekta mama duniani kote,

Uwekezaji wanaoufanya utaamnukiza ujuzi mpya kwa wazawa,
 
when wataanza na hizo ajira ni za mara na moja na moja kwa moja au ndo zile siasa mmesha hesabu hadi mama ntile na machinga wataokuwa pembezoni mwa kiwanda nao humo ndani?
watanzania tupunguze kuishi kwa hisia hisia na siasa siasa hawa wanasiasa wetu si watu wa kuaminika alafu hii tabia ipo africa tu sijui kwanini?
 
Mungu asikupungue neno,

Tuungane kuunga mkono regime iliyoko,

Mungu ibariki Tanzania,

Mungu mbariki Rais wetu,
 
Permanent employees
 

Hakuna mahala nimesema Israel ni wakristo au waislamu. Hayo maandiko yanasema uzao wa ibrahimu sio dini yake

Nikueleweshe tenaaa


Mwanzo 17

16 Nami Sara, na tena nitakupa mwana kwake, naam, nitambariki, naye atakuwa mama wa mataifa, na wafalme wa kabila za watu watatoka kwake.

18 Ibrahimu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako.

19 Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.


20 Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.



Hayo mambo yako ya udini yaondoe tuu hapa. Tuko kwenye kuishi kwa imani na baraka za mwenyezi Mungu na sio kwenye ukristo, uislam au uyahudi
 

Tufundishe basi, maana ukifanya wewe, mimi, jirani yako, ndugu zako, watoto wako tunaweza kutoboa.

Haya, tuanze na wewe mwenyewe binafsi.... unaweza kuzalisha nini kwenye kilimo cha biashara katika nafasi yako?
 
Mkuu usiogope majasusi.
Marekani na Russia au Marekani na China ni rivals na bado wanafanyiana ujasusi.

Sisi Tanzania ni tishio kiasi gani kwa Israel mpaka tuwaogope?

Makampuni makubwa ya Israel yamewekeza China, India, Brazil, USA au South Africa nchi zenye uchumi mkubwa, sioni uwoga wa kuogopa majasusi.
Mathalani, nchi kama Umoja wa Falme za Kiarabu ambao juzi tu wameanzisha diplomatic relations, wameingia mikataba ya billion dollar kuwa na collaboration za kibiashara. Watanzania tusiwaogope kiviiile hawa jamaa.


Cha msingi waje tuone value ya transfer of technology, know-how ili baada ya muda na sisi tuone faida ya kuwa na ardhi yanye kuweza kustawisha karibu kila aina ya mazao na tuondokane na imports twende kwenye exports ya consumable products badala ya kuuza raw.

Tuishukuru kampuni hiyo kupata usajili wake hapa nchini 2020, na in the course bila shaka watakuwa na mguso chanya.
 
Mitano tena eti😛😛😛😛😛😛????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…