Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70


Mkuu sio hao WaIsrael hata hawa wachina unaowaona kampuni zao zimejaa uku nao wana hayo mambo karibia kwny kila kampuni kubwa ya wachina iliyopo hpa bongo kuna kiongozi/Manager/Director wa kitengo flani yeye kazi yke ni kureport tu direct to the Communist Party China na anakua na cheo cha kuzugia tu hpa ila ni mtu wa kupeleka mafile China
 
Uko sahihi 100%

Majina ya watu, sehemu, nchi yana maana kubwa
Unaweza kujiuliza aliyeipa hii nchi jina TangaNYIKA aliongozwa na nini

Mark 1: 3-4​

Sauti ya mtu aliaye nyikani, Itengenezeni njia ya Bwana, Yanyosheni mapito yake.
Yohana alitokea, akibatiza nyikani, na kuuhubiri ubatizo wa toba liletalo ondoleo la dhambi.
 
M

Mpongezeni Magufuri alifungua ubalozi na lsrael, maana tangu nyerere adi kikwete akuna aliyekuwa na maono hayo,Samia anavuna mazao ambayo akuyatabikia.
Tulirudisha uhusiano wa kibalozi na Israel kabla JPM hajawa rais!

Google mwenyewe "Balozi Yahel Vilan + Tanzania" uone ni wakati gani alileta hati za utambulisho wa kuwa balozi wa Israel nchini Tanzania.

Magu alipokuja, akamalizia ngwe ya pili kwa kufungua ubalozi wa Tanzania nchini Israel !
 
Tuanze kilimo cha kisasa chenye tija na Cha kibiashara..Hapa wazee wa legacy lazima wanune.
 
Mimi ni Chadema damu ila mama ananikosha sana,

Samia anafanya mambo ambayo hata wapinzani tumempenda,

Hivi mtu anayetuletea ajira elfu 70 sinawakuungwa mkono huyu?

Bora tuvunje kwa muda vyama tubaki na Samia tu,

Nikweli hakuna kama Samia
Amekuwa na nyota toka kazaliwa hadi kuwa Rais ndivyo hivyo ataing'arisha na Nchi yetu kwenye uchumi.
 
Unapoona Mu israel au kampuni elewa muda wowote anaweza akatumika Kama jasusi...wako vizuri..wametapakaa kila Kona duniani..
Kwani kuna shida gani,kama pimbi kama wewe unajua hili unadhani vyombo vya usalama vitaahindwa kujua?
 
😍😍😍

Asante mama D,

Hii sikuwa naifahamu kabisa,

Endelee kuniombea na kuliombea Taifa letu,
 
Dunia nzima imejaa majasusi mkuu wangu,

Sisi tupokee uwekezaji kama ulivyo,
 
Tunamshukuru sana Hayati Magufuli,

Mungu amrehemu,

Nadhani hili limekwisha hivi mkuu wangu,
 
Muogope Mchina, na sio Israel...

Hatuna impact kubwa kiuchumi, ulinzi, teknolojia, na usalama dhidi ya Israel lakini tuna impact kubwa sana ya kiuchumi na Uchina!!

Mchina ndie anayejipenyeza zaidi kiuchumi barani Afrika kuliko Israel.

Na hili kujihakikishia usalama wake dhidi ya hasimu wake Marekani, unakuta ineterest zake kiuchumi barani Afrika zinaambatana hadi na masuala ya kiusalama!!

Na ndo maana haikushangaza Mchina alipoanzisha military base yake pua na mdomo na military base ya Ufaransa na Marekani huko Djibouti!

Huko kwenye kilimo ambako Israel anapendelea sana, Mchina hana interests nako kwa sababu kwao anayo ardhi ya kutosha!! Labda tusubiri Waarabu nao waje kuwekeza kwenye kilimo, hapo ndipo simulizi huenda ikageuka!!

And as for now, hatuna uhusiano na Hezbollah wala Hamas... hao ndio wanaweza kumfanya Israel apenyeze mashushu wake popote pale wanakopatikana hao jamaa! Kinyume chake, kwa sasa anaweza kufanya tu ule ushushushu wa kawaida unaofanywa na mataifa karibu yote duniani dhidi ya mataifa mengine!!
 
Credible conversation 😍😍😍
 
Tunamshukuru sana Hayati Magufuli,

Mungu amrehemu,

Nadhani hili limekwisha hivi mkuu wangu,
Sorry, nilikuwa sijafahamu kwamba ni Mlinzi wa Legacy lakini ukweli kuhusu kurejesha uhusiano wa kibalozi kati ya Tanzania na Israel ulianzia hapa:-


Lakini, ili kulinda legacy ya Mheshimiwa Magu, basi tuendelee kusema yeye ndie alirejesha uhusiano wa kibalozi kati ya Tanzania na Israel.
 
Yale Yale Ya Mlimani City Walikuja Na Tshs 150000
Mkuu ww umenielewa tofauti na vilaza wengine waliojaribu kuni-quote bila kuelewa wana-quote nini!..
BTW, pia kuna wale jamaa wa City Water (wahenga wenzangu mnaweza kuwakumbuka) aliwaleta Bw Mamvi, walikuja na laptop na kuvuna walichovuna pale DAWASA aka NUWA.. I can't guess pia jamaa waliletwaga ku-run TANESCO wakakausha mabwawa yote na kuleta mgao mkubwa wa umeme kama nao walikuja na chochote zaidi ya laptops! Wadanganyika nimewavulia kofia kwa ujinga na upumbavu!
 
Mlipowaleta na mamitambo yenu kuwalinda hamkujua kwamba ni majasusi?

Wawe majasusi au hapana tunataka teknolojia na pesa
 
Noted mkuu,

Tuanzie alipoishia, Tumuunge mkono Rais wetu ili twende mbele zaidi,
 
Noted mkuu,

Tuanzie alipoishia, Tumuunge mkono Rais wetu ili twende mbele zaidi,
Maeneo ambayo huwa siingizi siasa ni kwenye masuala ya uchumi, na nikikosoa, nitafanya hivyo kwa kuangalia nadharia na principles za kibiashara na kiuchumi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…