Dini gani dikteta mkubwa hicho kibibi chenu, mmeanza kampeni za kijinga mitandaoni mapema sana.😍😍😍 Tanzania iko salama zaidi tangu baada ya Nyerere, Tuchapeni kazi tu kesho yetu inang'aa sana,
Mama aibe pesa apeleke wapi na dini ile,
Data ndio zimemcredit acha kuteseka mkuu,Jf tumepoteza uwezo wa kufikiri au tumekuwa biased sana linapokuja suala la Political Affiliation
Naona credits zote anapewa SSH.
Sheria zip za uwekezaji amebadili
Sera mpya zip zimetungwa?
Je maamuzi makubwa ya kuwekeza, kufanya feasibility study, kutafuta mtaji, na kuchakata uwekezaji nchini, na michakato mingine inaweza kufanyika ndani ya miezi 6 ya SSH...!!
Nimeahidiwa,wewe jamaa umeahidiwa nini,maana sio kwa upambe huu
Angalia boriti iliyo ndani ya jicho lakoUnahitaji maombi ya kufunga na kuomba,
Una ushahidi?Hawa wa Israel wanaanzisha Makampuni lakini ndani ya hiyo kampuni kuna kuwa na kitengo cha ujasusi.
Utaona kampuni kwa nje na inafanya kazi iliyoelekezwa na kilimo kinafanya kumbe kuna kazi nyingine inafanyika ya ujasusi.
Wafanyakazi wa kubwa ni watu wenye mission zao.
Kuna kampuni nyuma huko ilikuwa inaendesha shughuli zake Tanzania baada ya kampuni kutoka kufungwa,watu wakajuwa kuna ujasusi ulikuwa unafanyika kwenye Nchi zetu
Sasa una maana akili ya Wa TZ ni yai,jipange upya mkuu.Kwa Israel hiyo Pai(K = Constant) . Hiyo ndiyo survival yao, wanahitaji informations nyingi kila wakati ili wasurvive. Utawang'amuaje? - hilo ni swali gumu sana kujibika kwa nchi kama Tz yenye technolojia duni ya mambo ya usalama.
Pole Sana ndg, Sio sawa matusi matusiDini gani dikteta mkubwa hicho kibibi chenu, mmeanza kampeni za kijinga mitandaoni mapema sana.
🤣🤣🤣🤣 Mkuu namashaka nawewe kama unakwenda kanisani kweli,Angalia boriti iliyo ndani ya jicho lako
Sahihi kabisa 😍😍😍😍Sasa una maana akili ya Wa TZ ni yai,jipange upya mkuu.
Elimu mbovu mazao yake ni fikra mbovu.
Mnaenda kupigwa na GMO na bado mnashangilia. Mzee Magu aliwakataa hawa watu wa aina hii.Nawasalimu kwa jina la JMT
Wakati uwekezaji kwa miezi sita ya Rais Samia ukikua kwa 400% kutoka $510M March 2021 hadi $2.98bl Sept karibu 7trilioni mambo yanazidi kunoga na kicheko kwa Watanzania kinazidi kukolea,
Moja ya faida kubwa ya Uwekezaji toka nje ( FDI ) ni kutuletea fedha za kigeni,teknolojia,ongezeko la thamani kwenye bidhaa na huduma pamoja na ajira kwa wazawa,Taarifa za TPSF zinaonesha Sekta binafsi inabeba zaidi ya 90% ya ajira zote Tanzania,Lakini inachangia 80% ya mapato yote ya Serikali na inabeba 60% ya uwekezaji wote wa nchi,
Wakati FY 2021|22 Serikali imepanga kuajiri watu elfu 40 Aie Holding LTD pekee wanakuja kuajiri watu elfu 70 kwa Mkupuo sawa na 175% ya ajira zote mpya za serikali kwa mwaka wa fedha wa 2021|2022 ndio maana Rais Samia ameondoa jumla ya tozo 232 nahii ndio sababu kamapuni kama hii ilisajiliwa mwaka 2020 ila uwekezaji inaufanya mwaka wa Rais Samia,
Aie Holding LTD kampuni toka Israeli itawekeza kwenye biashara ya kilimo ,kilimo, elimu ya kilimo pamoja na Vifaa vya kilimo na mashine na itahitaji jumla ya hekta 25,000,Makao makuu yatakuwa D'salaam vituo vingine vitakuwa Mwanza, Morogoro,Njombe,Kagera na Bagamoyo na watatumia zaidi umeme wa jua,
Aie Holding LTD inawekeza jumla ya $250M sawa na Tshs 575BL huku $200 itatumika kujenga miundombinu na $50M itakuwa ni mtaji wa kuanzia biashara,Kazi hii itafanywa kwa ubia na baadhi ya mabenki makubwa matano bila kubali majina ya benki husika huku Staff watakaoajiriwa na kampuni hii kupelekwa kozi ya miezi kati ya 6|7 nchini Israel vijana changamkeni,
" HAKUNA KAMA SAMIA "
.........Kazi iendelee .........
==================================
The CitizenNews
Israeli firm to invest Sh575 billion in agro areas
TUESDAY SEPTEMBER 28 2021
Israel pic
Summary
Some $200 million of the money will be invested in infrastructure of agro-industrial projects, with the remaining $50 million being working capital
Dar es Salaam. Aie Holding Ltd will invest $250 million (about Sh575 billion) in Tanzania’s agro-industrial education and agro-management skills.
The company - which was registered in Tanzania last year - will invest in projects related to agricultural education, logistics division, vegetable oil plant, feed mill, packing and storage, solar power, cattle farm, poultry farm, fish farm, field crops, tropical fruit concentrate, solar power and wastewater treatment.
Headquartered in Dar es Salaam, the company whose founder and chairman is Mr Avi Postelnik, an investor from Israel, will source the money from private equity as well as local and international banks.
“We have already met the TBA (Tanzania Bankers Association) to get their support in organising five big banks to build a syndicate,” without revealing the names of banks, Mr Postelnik said at the weekend .
He said while some $200 million of the money will be invested in infrastructure of the agro-industrial projects, the remaining $50 million would be working capital. “The doors are open for potential local partners,” said Mr Postelnik.
The company, whose operation will be in Dar es Salaam, Kagera, Mwanza, Bagamoyo, Njombe and Morogoro, is expected to create about 70,000 direct jobs including that of chief executive officer to locals.
Agricultural education
Mr Postelnik said agricultural education and training will be provided in Tanzania and Israel.
“We intend to use the advanced agriculture education in Israel by enrolling Tanzanians for short and long periods in our special projects of education available in our country,” he asserted.
Some of its employees, he explained, will be taken to Israel for a 6-7 month training.
“We intend to use their (Israel) know-how to employ graduates in management and technical positions in our agro-industrial projects in Tanzania,” noted Mr Postelnik.
Logistics division
Mr Postelnik said the transportation and Logistics division will be used for delivery of the raw materials to the processing plants and then for transportation of the finished products to the local markets for sale or to the ports for export.
Vegetable oil plant
This plant is designed to process oil seeds, such as Soya bean, sunflower, corn and cotton, and bottle the oil for the local and export market.
This plant is fully automated and the residue containing protein and fat will be used in the feed mill.
Feed mill
The feed mill is specifically designed for feeding our cattle, poultry and fish. The total area for the supplying farms is planned to be around 25,000 hectares.
Packing and storage
He said the whole chicken, eviscerated, cleaned and plucked will be packed in special plastic packaging to be sold as chilled or frozen.
Solar power
All the projects will use solar energy.
Experts from Israel will come to evaluate the sites and advise the type of solar energy for maximization of natural energy
Source : The Citizen
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1956881
Hiyo ni kawaida sana. Hakuna jipya. Hata wewe ukienda kuwekeza kwa mtu lazima uelewe maslahi yako ya muda mrefu katika huo namna. Kikubwa ni mikataba iko na maslahi kwa taifa? Kulikuwa na makampuni kama richmond, madini , meremeta, escrow, bagamoyo ya kikwete yanaajiri watu kukuki wa vyeo vya chini, na hayalilpi kodi kwa miaka 5, ikiisha wanabadili mmiliki naya halipi kodi na bado taifa linapewa 3% ya mapato, raslimali zinakwisha, nch iinazidi kuwa maskini na kudaiwa juu, na mikataba ya wachina ya kutafuta maeneo ya kumiliki duniani. NI hatari sana kushangilia wawekezaji bila kujali taifa linapata nini na nni hatima ya vizazi vyetu katika huo uwekezaji.Hawa wa Israel wanaanzisha Makampuni lakini ndani ya hiyo kampuni kuna kuwa na kitengo cha ujasusi.
Utaona kampuni kwa nje na inafanya kazi iliyoelekezwa na kilimo kinafanya kumbe kuna kazi nyingine inafanyika ya ujasusi.
Wafanyakazi wa kubwa ni watu wenye mission zao.
Kuna kampuni nyuma huko ilikuwa inaendesha shughuli zake Tanzania baada ya kampuni kutoka kufungwa,watu wakajuwa kuna ujasusi ulikuwa unafanyika kwenye Nchi zetu
Labda ile bendi ya israel vibration wanakuja kuanzisha bendi yaoNawasalimu kwa jina la JMT
Wakati uwekezaji kwa miezi sita ya Rais Samia ukikua kwa 400% kutoka $510M March 2021 hadi $2.98bl Sept karibu 7trilioni mambo yanazidi kunoga na kicheko kwa Watanzania kinazidi kukolea,
Moja ya faida kubwa ya Uwekezaji toka nje ( FDI ) ni kutuletea fedha za kigeni,teknolojia,ongezeko la thamani kwenye bidhaa na huduma pamoja na ajira kwa wazawa,Taarifa za TPSF zinaonesha Sekta binafsi inabeba zaidi ya 90% ya ajira zote Tanzania,Lakini inachangia 80% ya mapato yote ya Serikali na inabeba 60% ya uwekezaji wote wa nchi,
Wakati FY 2021|22 Serikali imepanga kuajiri watu elfu 40 Aie Holding LTD pekee wanakuja kuajiri watu elfu 70 kwa Mkupuo sawa na 175% ya ajira zote mpya za serikali kwa mwaka wa fedha wa 2021|2022 ndio maana Rais Samia ameondoa jumla ya tozo 232 nahii ndio sababu kamapuni kama hii ilisajiliwa mwaka 2020 ila uwekezaji inaufanya mwaka wa Rais Samia,
Aie Holding LTD kampuni toka Israeli itawekeza kwenye biashara ya kilimo ,kilimo, elimu ya kilimo pamoja na Vifaa vya kilimo na mashine na itahitaji jumla ya hekta 25,000,Makao makuu yatakuwa D'salaam vituo vingine vitakuwa Mwanza, Morogoro,Njombe,Kagera na Bagamoyo na watatumia zaidi umeme wa jua,
Aie Holding LTD inawekeza jumla ya $250M sawa na Tshs 575BL huku $200 itatumika kujenga miundombinu na $50M itakuwa ni mtaji wa kuanzia biashara,Kazi hii itafanywa kwa ubia na baadhi ya mabenki makubwa matano bila kubali majina ya benki husika huku Staff watakaoajiriwa na kampuni hii kupelekwa kozi ya miezi kati ya 6|7 nchini Israel vijana changamkeni,
" HAKUNA KAMA SAMIA "
.........Kazi iendelee .........
==================================
The CitizenNews
Israeli firm to invest Sh575 billion in agro areas
TUESDAY SEPTEMBER 28 2021
Israel pic
Summary
Some $200 million of the money will be invested in infrastructure of agro-industrial projects, with the remaining $50 million being working capital
Dar es Salaam. Aie Holding Ltd will invest $250 million (about Sh575 billion) in Tanzania’s agro-industrial education and agro-management skills.
The company - which was registered in Tanzania last year - will invest in projects related to agricultural education, logistics division, vegetable oil plant, feed mill, packing and storage, solar power, cattle farm, poultry farm, fish farm, field crops, tropical fruit concentrate, solar power and wastewater treatment.
Headquartered in Dar es Salaam, the company whose founder and chairman is Mr Avi Postelnik, an investor from Israel, will source the money from private equity as well as local and international banks.
“We have already met the TBA (Tanzania Bankers Association) to get their support in organising five big banks to build a syndicate,” without revealing the names of banks, Mr Postelnik said at the weekend .
He said while some $200 million of the money will be invested in infrastructure of the agro-industrial projects, the remaining $50 million would be working capital. “The doors are open for potential local partners,” said Mr Postelnik.
The company, whose operation will be in Dar es Salaam, Kagera, Mwanza, Bagamoyo, Njombe and Morogoro, is expected to create about 70,000 direct jobs including that of chief executive officer to locals.
Agricultural education
Mr Postelnik said agricultural education and training will be provided in Tanzania and Israel.
“We intend to use the advanced agriculture education in Israel by enrolling Tanzanians for short and long periods in our special projects of education available in our country,” he asserted.
Some of its employees, he explained, will be taken to Israel for a 6-7 month training.
“We intend to use their (Israel) know-how to employ graduates in management and technical positions in our agro-industrial projects in Tanzania,” noted Mr Postelnik.
Logistics division
Mr Postelnik said the transportation and Logistics division will be used for delivery of the raw materials to the processing plants and then for transportation of the finished products to the local markets for sale or to the ports for export.
Vegetable oil plant
This plant is designed to process oil seeds, such as Soya bean, sunflower, corn and cotton, and bottle the oil for the local and export market.
This plant is fully automated and the residue containing protein and fat will be used in the feed mill.
Feed mill
The feed mill is specifically designed for feeding our cattle, poultry and fish. The total area for the supplying farms is planned to be around 25,000 hectares.
Packing and storage
He said the whole chicken, eviscerated, cleaned and plucked will be packed in special plastic packaging to be sold as chilled or frozen.
Solar power
All the projects will use solar energy.
Experts from Israel will come to evaluate the sites and advise the type of solar energy for maximization of natural energy
Source : The Citizen
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1956881
Kabla ya kuwahi kusifia soma Tena habari yote ubaoni mapungufu yaliyomo! Hawa hawaji na fedha mfukoni Bali wanakuja kukopa mtaji kwenye mabenki yetu matano! Jiulize, hizi benki zetu Zina uzalendo ndani yake au wao wanaangalia faida TU?Hayawihayawi yamekua..... huu mpango umechukua muda mrefu lakini lakini sasa umefikia patamuuuu
Hata kipindi cha Magufuli mlisema hakuna kama yeye, so hamna jipya mwendo ni ule ule kusifu na kuabudu ili mkono uende kinywaniNIKWELI HAKUNA KAMA SAMIA,
Samia anakibali toka kwa Mungu
Watu walifungua makampuni wakasepa Leo wanarudi baada ya sera nzuri za Rais Samia,
Nafanyaje namimi nipate kazi huko?
Hata kama siyo kwa hela zetu lakini zipo na zinajengwaNaona bado unaamini Rufiji na FlyOver zimekuja kwa cash money. Labda zile ndege ila hatukuambiwa hiyo hela inatoka wapi.