Aikaeli Mbowe kaonesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa

sasa si mnaumia moyo bure tu ndrugo zango? chuki binafsi ni kitu mbaya sana aise
Siyo chuki binafsi, chuki collectively

Unavitetea vyama hivyo kwa sababu mnavipatia bakshish viendelea kuwa makanyagio yenu
 
Ccm ndio wanaojielewa?

Hamwawezi bila ya nguvu ya dola na jaribuni hivyo mwangalie mtakavyoumia kwa kuanguka.
Kujaribu nini sasa? Kuacha kutawanya CHADEMA! Mtatawanywa tuuu mpaka mtakapo jifunza uataarabu.
 
kwahiyo hicho ndicho kigezo na sifa ya kiongozi bora chadema sio

kwamba atafanya nini sasa kwa niaba ya mabwenyenye ya magaharibi yanayombackup, hata hangekua na hiyo risasi?
Ndani ya ccm kuna mtu ana uwezo kama wa lisu?
 
Crap aka Merde
Pedeshee CPA Amos Makalla baba Gadi lini kwenye mikutano yake ameonyesha chochote zaidi ya chuki kwa CDM?
Hivyo vikundi 14 kwenye press conference zao wakiwa wamelipiwa ukumbi na kushonewa suti huzungumza nini zaidi ya kumsifu Samia na kumkashifu Mbowe na Chadema.
Utakuwa taahira kudhani unaweza kutuaminisha upuuzi wako.
 
Ndivyo ulivyo mchezo wa siasa ya kibongo
 
Hakunaga vyama vya upinzani 14 Tanzania. Chama cha siasa ni kimoja tu,chadema. Vingine ni ulaji tu.
 
Ndivyo ulivyo mchezo wa siasa ya kibongo
kuomba omba kuchangiwa pesa mara kwa mara tena kwa mtu timamu mwenye nguvu na akili ya kazi ni utapeli mbaya sana gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…