Aikaeli Mbowe kaonesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa

Hivyo vyama ofisi zao zimo ndani ya ofisi ya CCM Lumumba, huonekana tu wakati wa uchaguzi kwa kutumia vyombo vya habari.
Gentleman,
for your infomation,
ofisi za chadema maeneo mengi nchini zipo kwenye majengo ya ccm na ya wananchama wa ccm, wewe unasema nini eti?

na hata wapangaji wengi wa chadema huko mitaa wamepanga kwenye nyumba za wanaCCM na wengine wanaishi kwenye nyumba za serikali sikivu ya ccm.

hapo tusemaje sasa :pedroP:
 
Wanaotumia mitutu si wengine ni ccm na serikali yake. Ni ajabu sana serikali iliyopo madarakani kuleta vurugu katika nchi. Wao walijaribu kumuua Tundu Lisu, wao ndio wanaoteka na kuua wapinzani. Sijawahi sikia serikali iliyopo madarakani inayafanya haya isipokuwa ni Tanzania tu na chama chao dhalimu cha ccm
huna hoja gentleman,
naona unambwelambwela na story za pata potea :pedroP:
 
Mzee Makamba, kati ya wazee wa hovyo kuwahi kutokea pamoja na Wassira wazee wajinga na majanga kwa taifa hili.

Umemuona mzee Warioba? Mzalendo wa kweli na mtanzania HALISI, sikiliza hoja zake linganisha na huu upumbavu wako hapa utajiona ulivyo juha. Mtakutana na Muumba wajinga nyie, Assad kalindwa na warusi, Hezbollah na wairan kaikimbia nchi. Magufuli kaua, kateka sasa ni chakula cha udongo, bado nyie wazee wa hovyo
apeleke chuki na wivu wake huko, serikali sikivu ya ccm iko kazini inachapa kazi za wananchi :NoGodNo:
 
Chuki alianzisha mwendakuzimu kwa kuanzisha uadui kati ya interhamwe (ccm) na watanzania wengne na malkia Jezebel nae amerithi chuki uadui na ukatili na ipo siku watanzania watashangilia kama wa Syria 🇸🇾
 
chuki za wazi kabisa chadema aise,

chairman mbowe kafanya press confernce jana , halafu kesho vice chairman Lisu, anapiga press confernce nyingine kesho kuzima trending ya chairman mbowe :pedroP:
 
Gentleman,
for your infomation,
ofisi za chadema maeneo mengi nchini zipo kwenye majengo ya ccm na ya wananchama wa ccm, wewe unasema nini eti?

na hata wapangaji wengi wa chadema huko mitaa wamepanga kwenye nyumba za wanaCCM na wengine wanaishi kwenye nyumba za serikali sikivu ya ccm.

hapo tusemaje sasa :pedroP:
Hatujawahi kuwa na serikali ya CCM, serikali iliyopo ni ya wananchi wa Tanzania.
 
Friends, ladies and gentlemen.

Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?

Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa.

Kitendo cha Mwenyekiti wa wa chadema taifa, Freeman Aikaeli Mbowe kuonyesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa vya upinzani, na kujaribu kuvikaripia kwa ukali na pengine kuvielekeza kufikiri kama inavyofikiri chadema, kinaashiria udikteta wa wazi kabisaa.

Je,
huku sio kuingilia uhuru, haki, uelekeo na mipango mikakakati ya vyama vingine vya siasa kadiri wanavyoona inafaa?

huu ni wivu tu au ndiyo udikteta unajipambanua mapeeeemaaaa ili iwe rahisi kwa uma kuudhibiti vizuri kwenye sanduku la kura?

Ni dhahiri chadema haina ushawishi ndani ya chadema yenyewe, haina ushawishi katika upinzani kwa ujumla, na zaidi sana haiaminiki wala haina ushawishi kwa raia na wapiga kura tena. Imebaki na press conference, matamko na kushinikiza tu vyama vingine vya siasa vifanye nini.

Yaani vyama vya upinzani badala ya kushawishiana kwa hoja, kushauriana kama ndungu na kuhubiri umoja miongoni mwa upinzani, eti Freeman Aikaeli Mbowe anahubiri, anachochea na kuhamasisha chuki na utengano miongoni mwa vyama vya siasa. Kweli upinzani, hasa chadema una nia njema na taifa hili ndrugo zangu?

Ni wazi chadema katika ujumla wake, haina dhamira ya kufanya siasa safi, wala haina mipango ya kushinda uchaguzi, ima kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi wala kuwatumikia wananchi,

Bali chadema ina lenga kuchochea chuki, uhasama na kuligawa taifa katika misingi ya vyama miongoni mwa wananchi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini na kuingilia uhuru na haki za vyama vingine vya siasa hasa upinzani, visifanye kazi na majukumu yao kwa uhuru kadiri ya malengo na mitazamo yao, bali vifanye siasa kadiri chadema inavyotaka.

Migawanyiko, chuki na uhasama ndani ya chadema, sasa inachochewa na chadema yenyewe hadi katika vyama vingine vya siasa vya upinzani nje ya chadema. Ni dhahiri kuna tatizo chadema.

Unadhani Chadema ina feli wapi hata kufikia hatua ya kuingilia uhuru na haki za vyama vingine vya upinzani nchini, na asasi za kiraia zenye mipango, malengo na maono yao?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Sasaa unaruhusuje chawa wakunyonye damu kwa mfano,iwapo unashindwa kuchukia chawa uumchafu wa viwango vya juu zaidi.
 
chuki za wazi kabisa chadema aise,

chairman mbowe kafanya press confernce jana , halafu kesho vice chairman Lisu, anapiga press confernce nyingine kesho kuzima trending ya chairman mbowe :pedroP:
Lisu anatembea na risasi mwili na wauaji waliotumwa na ccm hadi leo wako huru unategemea lisu awasamehe wauaji wasio wajibishwa na wale wanaowalinda wauaji?
Day will come we will be happier than Syrians
 
kwahiyo hicho ndicho kigezo na sifa ya kiongozi bora chadema sio :pedroP:

kwamba atafanya nini sasa kwa niaba ya mabwenyenye ya magaharibi yanayombackup, hata hangekua na hiyo risasi?:pedroP:
 
Sasaa unaruhusuje chawa wakunyonye damu kwa mfano,iwapo unashindwa kuchukia chawa uumchafu wa viwango vya juu zaidi.
ili usiruhusu kunywanywa,

unakunywa konyagi tu ili ukurupuke kama nyumbu na maandamano ya samaia must go :pedroP:
 
trust my lips, werevu wakika kimya kenge huongezeka
eeh sawa waerevu wajitokeze na mawazo mapy na fikra mbadala zenye mashiko,

sasa mihemko, makasiriko na kuporomosha matusi itasaidia nini :pedroP:
 
Friends, ladies and gentlemen.

Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?

Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa.

Kitendo cha Mwenyekiti wa wa chadema taifa, Freeman Aikaeli Mbowe kuonyesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa vya upinzani, na kujaribu kuvikaripia kwa ukali na pengine kuvielekeza kufikiri kama inavyofikiri chadema, kinaashiria udikteta wa wazi kabisaa.

Je,
huku sio kuingilia uhuru, haki, uelekeo na mipango mikakakati ya vyama vingine vya siasa kadiri wanavyoona inafaa?

huu ni wivu tu au ndiyo udikteta unajipambanua mapeeeemaaaa ili iwe rahisi kwa uma kuudhibiti vizuri kwenye sanduku la kura?

Ni dhahiri chadema haina ushawishi ndani ya chadema yenyewe, haina ushawishi katika upinzani kwa ujumla, na zaidi sana haiaminiki wala haina ushawishi kwa raia na wapiga kura tena. Imebaki na press conference, matamko na kushinikiza tu vyama vingine vya siasa vifanye nini.

Yaani vyama vya upinzani badala ya kushawishiana kwa hoja, kushauriana kama ndungu na kuhubiri umoja miongoni mwa upinzani, eti Freeman Aikaeli Mbowe anahubiri, anachochea na kuhamasisha chuki na utengano miongoni mwa vyama vya siasa. Kweli upinzani, hasa chadema una nia njema na taifa hili ndrugo zangu?

Ni wazi chadema katika ujumla wake, haina dhamira ya kufanya siasa safi, wala haina mipango ya kushinda uchaguzi, ima kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi wala kuwatumikia wananchi,

Bali chadema ina lenga kuchochea chuki, uhasama na kuligawa taifa katika misingi ya vyama miongoni mwa wananchi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini na kuingilia uhuru na haki za vyama vingine vya siasa hasa upinzani, visifanye kazi na majukumu yao kwa uhuru kadiri ya malengo na mitazamo yao, bali vifanye siasa kadiri chadema inavyotaka.

Migawanyiko, chuki na uhasama ndani ya chadema, sasa inachochewa na chadema yenyewe hadi katika vyama vingine vya siasa vya upinzani nje ya chadema. Ni dhahiri kuna tatizo chadema.

Unadhani Chadema ina feli wapi hata kufikia hatua ya kuingilia uhuru na haki za vyama vingine vya upinzani nchini, na asasi za kiraia zenye mipango, malengo na maono yao?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
MAJIZI FATENI YENU.
 
Back
Top Bottom