SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Mbowe na CHADEMA yake sasa wanaonekana dhahiri kwamba wamepoteza dira na hawana lolote jipya wanachoweza ku-offer kwa Watanganyika.
Chama ambacho kinataka dola kila kukicha ni kulialia tu, sasa wananchi wanalia na CHADEMA nao wanalia sasa nani atamsaidia mwenzake..
Siasa za kutafuta huruma kutoka kwa wananchi zimepitwa na wakati. Kweli leo hii MBOWE bado natuletea siasa ambazo MREMA alikuwa nazo miaka 30 iliyopita?
Wizi wa KURA kwa CCM siyo jambo geni wala jipya kwetu,, kilichotakiwa ni yeye kutupa solution ya hilo na si kulia kulia..
Wanapofeli MBOWE na CHADEMA yao ni kupambana kwa style ya kutafuta huruma ambayo haitowaletea tija,, kama wanataka kuing`oa CCM inabidi wawashawishi wale watu ambao huwa hawapigi kura ambao asilimia kubwa ukiangalia ndo wamechoshwa na CCM.
Kama CHADEMA inaweza kutembelea mara kawa mara kila KATA ya nchi hii na kuwaelezea Watanganyika wa kata husika walipokwamishwa na CCM na nini CHADEMA itafanya kubadili maisha yao itaamsha watu..
Lakini huku kulialia kila siku haina msaada wowote na wataendelea kulia tu..