Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini chadema imepoteza dira, Yani chadema imepoteza dira Kwa kuwa wewe mpumbavu umesema, Yani chadema imepoteza mvuto kisa wewe muandika ujinga hapa jf umesema, nenda kamuulize mama yenu kule lumumba kuwa anaijuaje chadema kama hajajamba na kukimbia au kamuulize yule mkwilima wenu mwenye kifua kipana anayelele na kumla mtoto wa mamayenu aka shemeji yenu.CHADEMA kwa sasa imepoteza Dira na muelekeo na kubakia kujiendea tu kama kipofu gizani
Kuliko nyie engua engua.yaani wana mawenge haswaa dah
Ccm imejaa mateja mpaka yasaidiwe na polisiCcm daima

Gentleman,Lini chadema imepoteza dira, Yani chadema imepoteza dira Kwa kuwa wewe mpumbavu umesema, Yani chadema imepoteza mvuto kisa wewe muandika ujinga hapa jf umesema, nenda kamuulize mama yenu kule lumumba kuwa anaijuaje chadema kama hajajamba na kukimbia au kamuulize yule mkwilima wenu mwenye kifua kipana anayelele na kumla mtoto wa mamayenu aka shemeji yenu.
Kamuulize mamayenu kuwa kwanini chadema walienguliwa na Kwa taarifa yenu nyie mazwazwa mkiendelea na hizo akili ccm yenu itatumia polis kila uchaguzi tofauti na hapo mjiandae kukimbilia BurundiGentleman,
Yaani ujenge upinzani imara kwa chuki tu ya kuchukia dola bila hoja, right?🤣
kwamba wewe na chama chako mnapita huko mtaani kwenye mikutano ya hadhara na kurecruit watu na kuwajaza chuki na migawanyiko dhidi ya dola, right? sasa si mtajikuta ni nyinyi wa4 tu miaka nenda miaka rudi?🤣
Mi nadhani ni muhimu kwa chama cha siasa makini, kua na ushawishi wa kisera na mipango dhidi ya wapiga kura na vyama vyao vya siasa, kuunganisha nguvu ya mawazo na nguvu ya wingi wao na hatimae kuyafikia malengo ya kushinda uchaguzi na hatimae kuongoza nchi...
Kuhubiri migawanyiko, chuki na uhasama ni kujidhofisha mwenyewe kwasabb huna numbers, huna ushawishi, huna financial muscles na huna sera za maana na kwahivyo huwezi kufanya chochote 🐒
Ccm imejaa wajinga ndio maana hamna mvuto Tena ukiondoa polis na tume fake mtapiga ukunga.chama kuendeshwa kilevi bwana kinakua kanyaga twende tu 🤣
bila kutoa locki mambo hayaiendi 🤣
Kwa mitutu ya bunduki kwa wenye nayo sio?my friend,
kwenye siasa ni kuheshimiana, kushindana na kushawishiana kwa hoja na sera..
mambo ya mapenzi ni binafsi 🐒
Inaonekana huna hata taarifa Yani chadema ipoteze mwelekeo wakati Jana Livestream ukilingamiaha uapisho wa mamayenu na mkutano wa chadema ni mbingu na ardhi.Gentleman,
chadema imepoteza dira na uelekeo jana kwenye press conference 🤣
asie ulevi mwingi mno umetangazwa jana kudhihirisha kupoteza dira kwa chadema 🤣
kwahiyo chadema mmejaa waerevu tupu 🤣Ccm imejaa wajinga ndio maana hamna mvuto Tena ukiondoa polis na tume fake mtapiga ukunga.
Nyie wafuas wa engua engua kichwani hamnazo ndio maana mnadanganywa ccm imeshinda asilimia tisini na nyie Kwa upumbavu wenu mnashangilia.mawenge ni kitu kibaya sana aise, yaani chairman mbowe kafura huyo 🐒
Ccm na wafuas wake ni wapumbavu ndio maana mnaaminishwa mmeshindwa asilimia tisini.kwahiyo chadema mmejaa waerevu tupu 🤣
na mmebaki na mihemko na makasiriko tu dhidi ya uhuru na haki za vyama vingine vya upinzani, right?🤣
Walipokuja kutapika upuuzi wao wakiishutumu CHADEMA inataka kuharibu Amani uliwaambia wanaingilia Uhuru na mikakati ya CHADEMA au na wewe ni kundi na Ninga?Friends, ladies and gentlemen.
Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?
Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa.
Kitendo cha Mwenyekiti wa wa chadema taifa, Freeman Aikaeli Mbowe kuonyesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa vya upinzani, na kujaribu kuvikaripia kwa ukali na pengine kuvielekeza kufikiri kama inavyofikiri chadema, kinaashiria udikteta wa wazi kabisaa.
Je,
huku sio kuingilia uhuru, haki, uelekeo na mipango mikakakati ya vyama vingine vya siasa kadiri wanavyoona inafaa?
huu ni wivu tu au ndiyo udikteta unajipambanua mapeeeemaaaa ili iwe rahisi kwa uma kuudhibiti vizuri kwenye sanduku la kura?
Ni dhahiri chadema haina ushawishi ndani ya chadema yenyewe, haina ushawishi katika upinzani kwa ujumla, na zaidi sana haiaminiki wala haina ushawishi kwa raia na wapiga kura tena. Imebaki na press conference, matamko na kushinikiza tu vyama vingine vya siasa vifanye nini.
Yaani vyama vya upinzani badala ya kushawishiana kwa hoja, kushauriana kama ndungu na kuhubiri umoja miongoni mwa upinzani, eti Freeman Aikaeli Mbowe anahubiri, anachochea na kuhamasisha chuki na utengano miongoni mwa vyama vya siasa. Kweli upinzani, hasa chadema una nia njema na taifa hili ndrugo zangu?
Ni wazi chadema katika ujumla wake, haina dhamira ya kufanya siasa safi, wala haina mipango ya kushinda uchaguzi, ima kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi wala kuwatumikia wananchi,
Bali chadema ina lenga kuchochea chuki, uhasama na kuligawa taifa katika misingi ya vyama miongoni mwa wananchi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini na kuingilia uhuru na haki za vyama vingine vya siasa hasa upinzani, visifanye kazi na majukumu yao kwa uhuru kadiri ya malengo na mitazamo yao, bali vifanye siasa kadiri chadema inavyotaka.
Migawanyiko, chuki na uhasama ndani ya chadema, sasa inachochewa na chadema yenyewe hadi katika vyama vingine vya siasa vya upinzani nje ya chadema. Ni dhahiri kuna tatizo chadema.
Unadhani Chadema ina feli wapi hata kufikia hatua ya kuingilia uhuru na haki za vyama vingine vya upinzani nchini, na asasi za kiraia zenye mipango, malengo na maono yao?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Inaonekana huna hata taarifa Yani chadema ipoteze mwelekeo wakati Jana Livestream ukilingamiaha uapisho wa mamayenu na mkutano wa chadema ni mbingu na ardhi.