Unatumia ki laptop ulichohongwa na watawala kupiga propaganda mitandaoni basi unajiona umeyapatiiia maisha kwelkwel hahahhhaamy friend,
kwenye siasa ni kuheshimiana, kushindana na kushawishiana kwa hoja na sera..
mambo ya mapenzi ni binafsi 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia ki laptop ulichohongwa na watawala kupiga propaganda mitandaoni basi unajiona umeyapatiiia maisha kwelkwel hahahhhaamy friend,
kwenye siasa ni kuheshimiana, kushindana na kushawishiana kwa hoja na sera..
mambo ya mapenzi ni binafsi 🐒
Zingatia tu hoja mahususi na press conference ya mwenyekiti wa chadema Taifa jana gentleman.Walipokuja kutapika upuuzi wao wakiishutumu CHADEMA inataka kuharibu Amani uliwaambia wanaingilia Uhuru na mikakati ya CHADEMA au na wewe ni kundi na Ninga?
mimi ni mwananchi wa kawaida tu gentleman licha ya kua ni kiongozi wa wananchi,Unatumia ki laptop ulichohongwa na watawala kupiga propaganda mitandaoni basi unajiona umeyapatiiia maisha kwelkwel hahahhhaa
Swali zuri sana, sidhani kama watakujibu kwa ufasaha 😀Hivi ccm inaipenda chadema?
Gentleman,Sijasomà mpaka mwisho. Unachitetea ni mgawanyiko uliopangwa na CCM. Walitaka vyama viwe vingi ili uwepo utengano. Wanatumia Ile ya wakoloni decide and rule.
We hujasikia vile vyama vidogo vinavyo ikandia CDM na kuunga mkono CCM. Wakati mwingine wanajipendekeza kwa CCM ili wapate kuteuliwa, rejea mkuu wa mkoa wa Manyara na mwingine alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ( marehemu)
Hivi mkuu wa mkoa wa Manyara alitokea chama gani, na vipi bado kipo hicho chama?😆Sijasomà mpaka mwisho. Unachitetea ni mgawanyiko uliopangwa na CCM. Walitaka vyama viwe vingi ili uwepo utengano. Wanatumia Ile ya wakoloni decide and rule.
We hujasikia vile vyama vidogo vinavyo ikandia CDM na kuunga mkono CCM. Wakati mwingine wanajipendekeza kwa CCM ili wapate kuteuliwa, rejea mkuu wa mkoa wa Manyara na mwingine alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ( marehemu)
Relax gentleman,Kamuulize mamayenu kuwa kwanini chadema walienguliwa na Kwa taarifa yenu nyie mazwazwa mkiendelea na hizo akili ccm yenu itatumia polis kila uchaguzi tofauti na hapo mjiandae kukimbilia Burundi
Vile vyama 14 vilikuwa na wagombea wangapi?Friends, ladies and gentlemen.
Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?
Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa.
Kitendo cha Mwenyekiti wa wa chadema taifa, Freeman Aikaeli Mbowe kuonyesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa vya upinzani, na kujaribu kuvikaripia kwa ukali na pengine kuvielekeza kufikiri kama inavyofikiri chadema, kinaashiria udikteta wa wazi kabisaa.
Je,
huku sio kuingilia uhuru, haki, uelekeo na mipango mikakakati ya vyama vingine vya siasa kadiri wanavyoona inafaa?
huu ni wivu tu au ndiyo udikteta unajipambanua mapeeeemaaaa ili iwe rahisi kwa uma kuudhibiti vizuri kwenye sanduku la kura?
Ni dhahiri chadema haina ushawishi ndani ya chadema yenyewe, haina ushawishi katika upinzani kwa ujumla, na zaidi sana haiaminiki wala haina ushawishi kwa raia na wapiga kura tena. Imebaki na press conference, matamko na kushinikiza tu vyama vingine vya siasa vifanye nini.
Yaani vyama vya upinzani badala ya kushawishiana kwa hoja, kushauriana kama ndungu na kuhubiri umoja miongoni mwa upinzani, eti Freeman Aikaeli Mbowe anahubiri, anachochea na kuhamasisha chuki na utengano miongoni mwa vyama vya siasa. Kweli upinzani, hasa chadema una nia njema na taifa hili ndrugo zangu?
Ni wazi chadema katika ujumla wake, haina dhamira ya kufanya siasa safi, wala haina mipango ya kushinda uchaguzi, ima kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi wala kuwatumikia wananchi,
Bali chadema ina lenga kuchochea chuki, uhasama na kuligawa taifa katika misingi ya vyama miongoni mwa wananchi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini na kuingilia uhuru na haki za vyama vingine vya siasa hasa upinzani, visifanye kazi na majukumu yao kwa uhuru kadiri ya malengo na mitazamo yao, bali vifanye siasa kadiri chadema inavyotaka.
Migawanyiko, chuki na uhasama ndani ya chadema, sasa inachochewa na chadema yenyewe hadi katika vyama vingine vya siasa vya upinzani nje ya chadema. Ni dhahiri kuna tatizo chadema.
Unadhani Chadema ina feli wapi hata kufikia hatua ya kuingilia uhuru na haki za vyama vingine vya upinzani nchini, na asasi za kiraia zenye mipango, malengo na maono yao?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Unaona sasa kumbe unaongea upepo hata ushahidi hauna, pole sana kwa UCHAWA uliokufunika hadi huoni ukweli na uongo.Gentleman,
Ingependeza zaidi ungefuatilia taarifa ya jumla ya uchaguzi ule lakini pia hata taarifa za habari jana hili lilisemwa🐒
gentleman,Unaona sasa kumbe unaongea upepo hata ushahidi hauna, pole sana kwa UCHAWA uliokufunika hadi huoni ukweli na uongo.
CHADEMA kwa sasa imepoteza Dira na muelekeo na kubakia kujiendea tu kama kipofu gizani
Ccm daima
Uroho,uchu na tamaa ya madaraka ndio vimewajaa.