The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Mimi nilishawishiwaga sana kujiunga forever, kila aliyenishauri nilimwambia anilipie kiingilio tukianza piga hela nitamrudishia wote wakakimbiaPole i wish mtokee wengi mueleze ukweli wenu mlowahi jiunga na hzi pyramid!
Mwambie aachane nao akubali hiyo hasara ndogo walioipata.. hata mimi walishaniliza.Hhhhhhhhhaaa kuna jamaa huku anahangaika na hao jamaa mpka huruma,,,,
mm nilishawishiwaga sana kujiunga forever , kila aliyenishauri nilimwambia anilipie kiingilio tukianza piga hela nitamrudishia wote wakakimbia
Kuna mmoja Tanga, nilimuambia anipe bank statement yake yenye flow ya mil 100 tu kwa mwaka, hata mil 3 hajawahi ingiza kwa mkupuo.........mil 100 miaka 3 hawezi fikisha.... atanshawishi bil 1 eti!!!!!!!Dola 200@pp!😄😄!
Juzi walinisumbuaaa...ikabidi na mm niwaletee mahesabu yangu ..mishe nazofanya..wakabaki kusema sawa madame lakini toka huko bwana njoo mjini tupige hela..nikasema mbona unachoingiza mie naingiza zaidi yako mkuu? Wakabaki oh mwanamke unakaa migodini toka huko bwana😄😄!
Hyo dola 200 had umpate mtu alipie hyo 4m ni.leo?? Upuuzi tu
Kuna mmoja aliniambia ntaingiza mil 2 kwa wiki nkipambana .... yeye ana 2 yrs huko. Kumbe hata nauli elf 10 tu anakopaga kwenye Tigopesa yangu akirud anampa kijana.....mm nilishawishiwaga sana kujiunga forever , kila aliyenishauri nilimwambia anilipie kiingilio tukianza piga hela nitamrudishia wote wakakimbia
Huu ni ushauri wa bure.
Haya makampuni ya fursa hebu wajitahidi kubadili mbinu za kutapeli watu. Hii ya kutajirika ndani ya siku 2 imepitwa na wakati.
Qnet acheni kukodi magari ya watu na kujifanya ni yenu. Na visimu vya Iphone 6 Iphone 8. Badilini mbinu basi.
Kupiga picha na selfie kwenye magari ya watu na haina maana. Huu ni utapeli wa kitoto. Jitahidini kua wabunifu.
Nina hasira baada ya mtu ninaemheshimu juzi kunipeleka kwenye seminar ya mambo ya kipumbavu.
Hovyo kabisa.
Hahahahah sasa kama kiongozi wao ni mtu kama... tegemea chochoteHalafu cha ajabu zaidi hao hao viongozi wa serikalini wanaenda kupiga picha nao na kuwahamasisha watu kuwa wasiogope kujiunga na ni sehemu salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah, noma sanaHuu ni ushauri wa bure.