Aina 4 za wanawake ambao hutakiwi kuanzisha nao Familia hasa Ukiwa na umri chini ya miaka 45.

Aina 4 za wanawake ambao hutakiwi kuanzisha nao Familia hasa Ukiwa na umri chini ya miaka 45.

Unaweza ukachagua Kwa vigezo vyote but kwenye process ya maisha mambo yakakubadilikia ndanj!!

Ulimchukua Hana ajira Leo ana ajira ya kudumu na sarakasi kibao za chini chini je hutorudi kwenye drawing board japo umeshapoteza muda na nguvu nyingi kwake na hiyo familia!!?
Yaani uchukue Binti jobless aliyesomea MD ambaye unajua kabisa akipata Ajira atalipwa sio pungufu ya 1M nje ya marupurupu na wizi.

Alafu wewe kipato chako ni 700k useme haukujua atapata ajira?


Hakuna kanuni ya kudumu kwenye maisha mambo hubadilika ghafla sana coz Leo anavizia na kufanya vituko ambavyo hasta msomi hawezi kuvifanya!!

Kanuni za kudumu zipo Mkuu.
 
1.single mother.

2. Salary slp yang na yake kuna gape kdg, ye yuko juu

Jiandae kisaikolojia.

Wanawake kama hao tumia pesa zake kujipanga na kujiimarisha.
Mwambie achukue Mkopo kwaajili yako.
Fanya biashara na ujiimarishe,
Mchezee akili yake, huyo ni mwanamke.

Ukichukua mkopo kupitia yeye ukafanikiwa kwenye project zako umewin, ukifeli umeyabananga.
Biashara ziende kwa jina lako.

Mwanamke hawezi mdharau mwanaume anayefanikisha miradi na kuleta maendeleo kwenye familia. Hicho kwake kitakuwa kipimo kuwa unaakili za maisha nje ya ajira yako.
Mkeo hawezi kukusumbua akigundua unaakili.

Ukifeli umekwisha, atakulalamikia kila siku maisha yake yote.
 
Mapenzi ni dude kubwa Sana na halitabiriki kutokana na linahusu mioyo na fikra za watu ambao hujui nini kinaendelea ndani yao. Zaidi kubadilika kwa hisia na mtazamo kunazidi kuongeza ugumu katika mapenzi.

Hata hivyo, kanuni na mazingatio hubaki palepale
Nadhani Na Maoni Ya Kenge Wenzetu Upande Wa Pili Ambao Ni Wanawake,Ningependa Waje Na Maoni Yao Ambayo,,Vise Versa Ya Kichwa Cha Mada Yako,,,Itakuwa Shokpa Sana..
 
5. Anayemwita kiongozi wake wa kiroho DADDY.
6. Anayehudhuria mikesha kanisani.
7. Ambaye bado anaadhimisha birthday ya mpenzi wake aliyefariki.... anapost "HAPPY HEAVENLY BIRTHDAY".... huyo muabudu mizimu piga chini.

Hatari Sana.
Wale wanaojifanya wanampenda Mungu kuliko mume weka mbali na watoto. Wengi ni walaghai wakubwa
 
Jiandae kisaikolojia.

Wanawake kama hao tumia pesa zake kujipanga na kujiimarisha.
Mwambie achukue Mkopo kwaajili yako.
Fanya biashara na ujiimarishe,
Mchezee akili yake, huyo ni mwanamke.

Ukichukua mkopo kupitia yeye ukafanikiwa kwenye project zako umewin, ukifeli umeyabananga.
Biashara ziende kwa jina lako.

Mwanamke hawezi mdharau mwanaume anayefanikisha miradi na kuleta maendeleo kwenye familia. Hicho kwake kitakuwa kipimo kuwa unaakili za maisha nje ya ajira yako.
Mkeo hawezi kukusumbua akigundua unaakili.

Ukifeli umekwisha, atakulalamikia kila siku maisha yake yote.
Mkuu ukiwa dikteta mwanamke mwenye hela unaweza ukam-control. Yaani from the beginning unakuwa kauzu. Ila sema pia kukutii itategemea na uwezo wako faragha...
 
Jiandae kisaikolojia.

Wanawake kama hao tumia pesa zake kujipanga na kujiimarisha.
Mwambie achukue Mkopo kwaajili yako.
Fanya biashara na ujiimarishe,
Mchezee akili yake, huyo ni mwanamke.

Ukichukua mkopo kupitia yeye ukafanikiwa kwenye project zako umewin, ukifeli umeyabananga.
Biashara ziende kwa jina lako.

Mwanamke hawezi mdharau mwanaume anayefanikisha miradi na kuleta maendeleo kwenye familia. Hicho kwake kitakuwa kipimo kuwa unaakili za maisha nje ya ajira yako.
Mkeo hawezi kukusumbua akigundua unaakili.

Ukifeli umekwisha, atakulalamikia kila siku maisha yake yote.
Uko sahihi sana, unayoyaandika hapa ndiyo nayoyaishi,. Tulipanga tufanye biashara, nikampa wazo la biashara akalipinga akaleta lake la kuagiza china.. Ametumiwa picha akaagiza mzgo, mzigo ulofika na picha tofaut, hivyo uko ndan umedoda... Sina cha kusema m kadhaa zimepotea.. Sina neno coz yuko juu kwa kipato. Kaka tuishie hapa tu
 
Back
Top Bottom