Aina 4 za wanawake ambao hutakiwi kuanzisha nao Familia hasa Ukiwa na umri chini ya miaka 45.

Aina 4 za wanawake ambao hutakiwi kuanzisha nao Familia hasa Ukiwa na umri chini ya miaka 45.

Mwanamke yeyote jitahidi uwe unamchakata vizur, heshima yake kwako itakuwa juu siku zote, utii wake utakuwa ni wa hali ya juu hata kama wewe ni hoehae maskini fukara kapuku, ...hili nina uzoefu nalo kwa wanawake watano tofauti, ukibisha utakuwa umeamua kuwa mbishi tu
 
Uko sahihi sana, unayoyaandika hapa ndiyo nayoyaishi,. Tulipanga tufanye biashara, nikampa wazo la biashara akalipinga akaleta lake la kuagiza china.. Ametumiwa picha akaagiza mzgo, mzigo ulofika na picha tofaut, hivyo uko ndan umedoda... Sina cha kusema m kadhaa zimepotea.. Sina neno coz yuko juu kwa kipato. Kaka tuishie hapa tu

Kaa naye vizuri huyo. Mwanamke hawezi kataa kuna angle hujampata vizuri.

Cheza na akili na hisia zake.
Kwa mana hata wewe ungemzidi angecheza naza kwako
 
Mwanamke yeyote jitahidi uwe unamchakata vizur, heshima yake kwako itakuwa juu siku zote, utii wake utakuwa ni wa hali ya juu hata kama wewe ni hoehae maskini fukara kapuku, ...hili nina uzoefu nalo kwa wanawake watano tofauti, ukibisha utakuwa umeamua kuwa mbishi tu

Ndoa haihusishi mwanamke yeyote.
Ndoa ni Taasisi.
Kumchakata ni Jambo zuri lakini kumuongoza ni Jambo kubwa zaidi kwenye ndoa.

Unaweza kumfikisha mwanamke kileleni na bado akakudharau
 
Hakuna formula ndugu, maridhiano na hofu ya Mungu tu.. unaweza mchukua akiwa hana changamoto bt zikaibukia ndani kwako, haya what if
1. Ulimchukua kijijini hajui lolote lakini akaja kuwa much know kukiko kusudio.
2. Vipi kama ulinichukua katika umbo la kuni Manage na nikanenepea kwako nikawa Jitu ninaekumudu😂

Naunga hoja "hayana formula"
 
Kauli hayana formula ni kisingizio tuu.
Hakuni kitu kisicho na formula wala Kanuni.
 
Ndoa haihusishi mwanamke yeyote.
Ndoa ni Taasisi.
Kumchakata ni Jambo zuri lakini kumuongoza ni Jambo kubwa zaidi kwenye ndoa.

Unaweza kumfikisha mwanamke kileleni na bado akakudharau
Mwanamke anaeliwa vizur kwa bed totally huwa anakuwa submissive kwako, yuko radhi kukupa chochote ukitakacho ilimradi asikupoteze
 
Mwanamke anaeliwa vizur kwa bed totally huwa anakuwa submissive kwako, yuko radhi kukupa chochote ukitakacho ilimradi asikupoteze

Sio kwenye ndoa.

Waulize wanawake hapa.
Wapo wanawake maelfu kwa maelfu waume zao nu goigoi lakini wameshikilia ndoa kama mwenge wa Uhuru.

Lazima uelewe kuwa Ngono ni moja ya ishu nyeti kwenye ndoa lakini elewa pia mwanamke anauwezo wa kuishi muda mrefu zaidi ya mwaka bila hilo tendo.
Ila kuishi bila Kula , kuvaa vizuri haiwezekani.

Elewa pia, wanaoiba Wake za watu mtego wao mkubwa sio Tendo la ndoa, mtego wao ni Pesa na huduma. Sasa utajaza were, kati ya ngono na pesa kipi cha muhimu kwa mwanamke.
Kama ngono ingekuwa muhimu kwa mwanamke, basi huo ndio ungekuwa chambo.
 
Back
Top Bottom