Aina 4 za wanawake ambao hutakiwi kuanzisha nao Familia hasa Ukiwa na umri chini ya miaka 45.

Sio kwenye ndoa.

Waulize wanawake hapa.
Wapo wanawake maelfu kwa maelfu waume zao nu goigoi lakini wameshikilia ndoa kama mwenge wa Uhuru.

Lazima uelewe kuwa Ngono ni moja ya ishu nyeti kwenye ndoa lakini elewa pia mwanamke anauwezo wa kuishi muda mrefu zaidi ya mwaka bila hilo tendo.
Ila kuishi bila Kula , kuvaa vizuri haiwezekani.

Elewa pia, wanaoiba Wake za watu mtego wao mkubwa sio Tendo la ndoa, mtego wao ni Pesa na huduma. Sasa utajaza were, kati ya ngono na pesa kipi cha muhimu kwa mwanamke.
Kama ngono ingekuwa muhimu kwa mwanamke, basi huo ndio ungekuwa chambo.
Kama ni hivyo mbona kuna madon kibao wanahudumia wake zao fresh yaani mkubwa anamaliza kila kitu cha demu plus kumpa usafiri na kumfungulia biashara lakini deep down unakuta anamegewa, mfano mzuri ni yule jamaa wa mwanza aliemmiminia risasi dem ake kisha na yy kujiweka ya kidevu
 
Wanawake kuchepuka ni Moja ya fantasy zao
 
AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HUTAKIWI KUANZISHA NAO FAMILIA HASA UKIWA NA UMRI CHINI YA MIAKA 45.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Umri wa 20-45 ni umri muhimu Sana kwako kama kijana wa kiume. Huo ndio umri ambao unanguvu ya kujenga empire yako. Kumbuka mwanaume hazaliwi akiwa na thamani. Kama ulikuwa unajiuliza kwenye hesabu Value of X ni ipi basi ndio hiyo ambayo mwanaume unaitafuta. Huzaliwi nayo.

Hii ni tofauti na Mwanamke ambaye value of X anayo. Mwanamke anazaliwa akiwa na thamani. Yeye hana haja ya kupambana kutafuta Value of X. Wakati Uzuri wake ndio X yenyewe. Anachotakiwa yeye ni kutunza na kulinda thamani yake. Basi! Elewa kila Mwanamke ni Mzuri, hata hivyo hiyo haitaondoa ukweli kuwa Sio kila Mwanamke anamvuto. Wapo wazuri wasio na mvuto wa wazi.

Anyway! Naona nachochora.

Umri chini ya miaka 45, unatakiwa upambane kufa na kupona. Ndio umri WA kujijenga.
Umri huu ni mfupi Sana. Kutoka miaka 20 mpaka 45 ni almost 25 years. Ni miaka michache Sana.

Wakati huu ndio wakati wa ku-focus na ndoto zako. Tafuta pesa kadiri uwezavyo.
Sio muda wa kukimbizana na wanawake.
Watakupotezea target. Utajikuta ukifeli kama hautakuwa makini.

Elewa, hata uwe handsome boy kama sisi Watibeli(ambao uhandsome boy kwetu ni Jambo la kawaida na sio lakujivunia). Thamani ya uhandsome boy wako huondoka utakapofikisha miaka 30. Chini ya miaka 30 unaweza kujivunia uhandsome boy wako na pengine kuutumia kwa wanawake hasa wenye umri mdogo.
Lakini baada ya miaka 30, mambo hubadilika. Kitachoangaliwa, unakazi gani, kipato chako, unanafasi gani. Thamani ya mwanaume IPO kwenye KAZI, kujishughulisha na kujipata. Ukifeli hapo ndugu yangu umekwisha.

Miaka ya 30+ ndio umri utaoanza kutaka kuanzisha Familia na unatafuta mwanamke wa kumuita Mke na mama wakukuzalia watoto. Msaidizi wako. Ubavu wako.
Basi hawa ndio aina ya wanawake ambao unatakiwa uwaepuke kuanzisha nao familia;

1. Single Mother
Hili lishaongelewa Sana. Madhara ya know single mother yapo ya Muda mfupi na yapo ya Muda Mrefu.
Hata hivyo jitahidi kuanzisha familia na mwanamke wako akiwa Fresh. Sio uanzishe familia na mwanamke aliyekuwa na familia, au anayefanya muendelezo.

Asije kukudanganya mtu yeyote, hata nafsi yako. Kwa umri huo usioe Single Mother. Usijesema anamtoto mmoja, au sio wote wanatabia hizo. Noo!

2. Mwanamke anayekuzidi Kipato na mwenye hadhi kijamii kukushinda.
Mwanamke yeyote anayekuzidi kipato zaidi ya busy ya kipato chako huyo achana naye.
Mfano. Kipato chako ni 500k alafu mwanamke ni 750k. Huyo achana naye.
Asije akakudanganya mtu au ukajidanganya. Ooh! Mbona tunapendana! Acha ujinga. Upendo wa mwanamke niwa msimu tuu.

3. Aliyekuzidi Umri kuanzia miaka Mitano kuendelea.
Huyo ni Mzee kwako. Watu wazima wenyewe wenye akili timamu huoa vibinti vidogo vibichi. Unafikiri wao wajinga?

4. Aliyekuzidi Nguvu za Mwili;
Kuna wanawake ni vijeba haswa. Mwili mkubwa, wengine vikomazi, wengine wakakamavu kwelikweli. Wewe unataka kuanzisha familia na mwanamke wa aina hiyo mbaya zaidi kakuzidi. Hivi unajitakia Mema kweli? Hivi kichwani zimo?
Ukishakuwa Baba na Mume unatoka kwenye kuwa Mpenzi(Lover) unaingia kwenye Uongozi/ Kiongozi( Leadership/Leader). Sasa unaoa mwanamke mwili nyumba, kila themanini wewe kila sitini, anamiguvu wewe maskini huna lolote. Hivi utaweza kumuongoza kweli? Hivi hujui uongozi kuna wakati itakupasa utumie Mabavu huku hekma na busara ukiziweka pembeni.
Utaweza ku- enforce sheria za hapo nyumbani ikiwa mkeo kakuzidi nguvu ya mwili, au kakuzidi uchumi. Embu tuambie.

Tafuta mwanamke ambaye utammudu maeneo nyeti ya uongozi ndani ya familia.

Haya! Endeleza ukaidi!

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Hiyo #4 wanaume wengi hawazingatii sana.

Wanapenda kuoa mwanamke wa kuonekana huku wao ni wembamba eti watu wawakome!

Kumbe ndiyo kiama cha kwenye ndoa zao hicho!

Wapo wenye kuoa mwanamke wakidhani ni kimbaumbau bila kumchunguza mfumo wa mifupa yake, akishazaa ananenepa huyo anakuwa jimama bonge.

Unaoa mwanamke mkubwa wa umbo kwa mfano wa Waziri wa ardhi wa zamani!

Wasichokijua ugomvi wa wanandoa hauingiliwi na mtu, siku umeangushwa chini na kuzabwa makofi kama mtoto mdogo, hauwezi kwenda shitaki popote, hata kama ukishitaki mwanaume hausikilizwi unaonekana kituko.

Na ukishanyang'anywa himaya kwa njia hizo, utaishi kwa sonona na kufa kwa presure haraka sana.
 
Wanawake kuchepuka ni Moja ya fantasy zao

Wangu alichepuka siku tuliyogombana kwa hasira, anadai alitaka kupoteza mawazo, akapata na mimba huko huko.. Aisee sikuwezaga kusamehe kila nikikumbuka naumia na sijafanikiwa kusahau hata nlipompata huyu wa sasa
 
AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HUTAKIWI KUANZISHA NAO FAMILIA HASA UKIWA NA UMRI CHINI YA MIAKA 45.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Umri wa 20-45 ni umri muhimu Sana kwako kama kijana wa kiume. Huo ndio umri ambao unanguvu ya kujenga empire yako. Kumbuka mwanaume hazaliwi akiwa na thamani. Kama ulikuwa unajiuliza kwenye hesabu Value of X ni ipi basi ndio hiyo ambayo mwanaume unaitafuta. Huzaliwi nayo.

Hii ni tofauti na Mwanamke ambaye value of X anayo. Mwanamke anazaliwa akiwa na thamani. Yeye hana haja ya kupambana kutafuta Value of X. Wakati Uzuri wake ndio X yenyewe. Anachotakiwa yeye ni kutunza na kulinda thamani yake. Basi! Elewa kila Mwanamke ni Mzuri, hata hivyo hiyo haitaondoa ukweli kuwa Sio kila Mwanamke anamvuto. Wapo wazuri wasio na mvuto wa wazi.

Anyway! Naona nachochora.

Umri chini ya miaka 45, unatakiwa upambane kufa na kupona. Ndio umri WA kujijenga.
Umri huu ni mfupi Sana. Kutoka miaka 20 mpaka 45 ni almost 25 years. Ni miaka michache Sana.

Wakati huu ndio wakati wa ku-focus na ndoto zako. Tafuta pesa kadiri uwezavyo.
Sio muda wa kukimbizana na wanawake.
Watakupotezea target. Utajikuta ukifeli kama hautakuwa makini.

Elewa, hata uwe handsome boy kama sisi Watibeli(ambao uhandsome boy kwetu ni Jambo la kawaida na sio lakujivunia). Thamani ya uhandsome boy wako huondoka utakapofikisha miaka 30. Chini ya miaka 30 unaweza kujivunia uhandsome boy wako na pengine kuutumia kwa wanawake hasa wenye umri mdogo.
Lakini baada ya miaka 30, mambo hubadilika. Kitachoangaliwa, unakazi gani, kipato chako, unanafasi gani. Thamani ya mwanaume IPO kwenye KAZI, kujishughulisha na kujipata. Ukifeli hapo ndugu yangu umekwisha.

Miaka ya 30+ ndio umri utaoanza kutaka kuanzisha Familia na unatafuta mwanamke wa kumuita Mke na mama wakukuzalia watoto. Msaidizi wako. Ubavu wako.
Basi hawa ndio aina ya wanawake ambao unatakiwa uwaepuke kuanzisha nao familia;

1. Single Mother
Hili lishaongelewa Sana. Madhara ya know single mother yapo ya Muda mfupi na yapo ya Muda Mrefu.
Hata hivyo jitahidi kuanzisha familia na mwanamke wako akiwa Fresh. Sio uanzishe familia na mwanamke aliyekuwa na familia, au anayefanya muendelezo.

Asije kukudanganya mtu yeyote, hata nafsi yako. Kwa umri huo usioe Single Mother. Usijesema anamtoto mmoja, au sio wote wanatabia hizo. Noo!

2. Mwanamke anayekuzidi Kipato na mwenye hadhi kijamii kukushinda.
Mwanamke yeyote anayekuzidi kipato zaidi ya busy ya kipato chako huyo achana naye.
Mfano. Kipato chako ni 500k alafu mwanamke ni 750k. Huyo achana naye.
Asije akakudanganya mtu au ukajidanganya. Ooh! Mbona tunapendana! Acha ujinga. Upendo wa mwanamke niwa msimu tuu.

3. Aliyekuzidi Umri kuanzia miaka Mitano kuendelea.
Huyo ni Mzee kwako. Watu wazima wenyewe wenye akili timamu huoa vibinti vidogo vibichi. Unafikiri wao wajinga?

4. Aliyekuzidi Nguvu za Mwili;
Kuna wanawake ni vijeba haswa. Mwili mkubwa, wengine vikomazi, wengine wakakamavu kwelikweli. Wewe unataka kuanzisha familia na mwanamke wa aina hiyo mbaya zaidi kakuzidi. Hivi unajitakia Mema kweli? Hivi kichwani zimo?
Ukishakuwa Baba na Mume unatoka kwenye kuwa Mpenzi(Lover) unaingia kwenye Uongozi/ Kiongozi( Leadership/Leader). Sasa unaoa mwanamke mwili nyumba, kila themanini wewe kila sitini, anamiguvu wewe maskini huna lolote. Hivi utaweza kumuongoza kweli? Hivi hujui uongozi kuna wakati itakupasa utumie Mabavu huku hekma na busara ukiziweka pembeni.
Utaweza ku- enforce sheria za hapo nyumbani ikiwa mkeo kakuzidi nguvu ya mwili, au kakuzidi uchumi. Embu tuambie.

Tafuta mwanamke ambaye utammudu maeneo nyeti ya uongozi ndani ya familia.

Haya! Endeleza ukaidi!

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Umesema vyema bwana mtibeli
 
Hivyo vigezo by themselves havitoshoshi.
Kuna wanawake hawajamzidi mwanaume umri,kipato, nguvu za mwili na siyo single mothers ila nipasua kichwa.
utajuta kuwajua maishani.

Kuna mitazamo kadhaa kuhusu wanawake wa "kuwaepuka" unapotaka kuanzisha familia, hasa ukiwa kijana.

Lakini hoja nyingi zimejengwa juu ya hofu badala ya Akili na Mantiki.

Kwanza, mwanamke mwenye mtoto si tatizo. Anaweza kuwa na busara, uvumilivu, na uwezo mkubwa wa kulea familia.

Si kila mwanamke asiye na mtoto ana sifa hizo. Muhimu ni nidhamu, tabia njema, maadili na uwezo wa kushirikiana.

Pili, mwanamke anayekuzidi kipato si tishio kwa mwanaume mwenye malengo.

Mwanamke wa aina hiyo anaweza kuimarisha familia kama kuna ushirikiano wa kweli.

Hofu ya kupitwa kifedha ni dalili ya kutokujiamini.

Tatu, tofauti ya umri si tatizo. Wapo waliokuzidi umri lakini wamekomaa kiakili, na pia walioko chini yako umri lakini bado ni watoto kihisia.

Kilicho muhimu ni ukomavu, si namba.

Nne, nguvu za mwili hazihusiani na uongozi wa familia. Mwanaume huongoza kwa busara, si mabavu.

Kuogopa mwanamke kwa sababu ana misuli ni dalili ya upungufu wa uongozi wa kweli.

Mwisho, mwanaume aliyekomaa hachagui mwenza kwa woga, bali kwa akili.

Mwanamke anaweza akakuzidi umri/pesa/nguvu na bado ukamdhibiti sababu mwanamke hudhibitiwa kiakili na kihisia na si vingine.

Unaweza kumzidii mwanamke kiumri/kipesa/nguvu lakini ukashindwa kudhibiti akili na hisia zake - utaendeshwa kama nini!!

Familia bora hujengwa kwa maelewano, si kwa masharti au hali fulani ya udhibiti.

Hivi mtibeli mkeo ghafla akakuzidi uzito na misuli utamuacha? 😂

Mstoiki .
 
Elewa, hata uwe handsome boy kama sisi Watibeli(ambao uhandsome boy kwetu ni Jambo la kawaida na sio lakujivunia). Thamani ya uhandsome boy wako huondoka utakapofikisha miaka 30. Chini ya miaka 30 unaweza kujivunia uhandsome boy wako na pengine kuutumia kwa wanawake hasa wenye umri mdogo
Kulikuwa na haja gani ya kuandika hizi mambo? Bado hauna maturity ​
 
Mtibeli wakati mwingine anakosa umaskini, hapo kwenye single Mother tupo pamoja Mkuu, hawafai
 
AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HUTAKIWI KUANZISHA NAO FAMILIA HASA UKIWA NA UMRI CHINI YA MIAKA 45.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Umri wa 20-45 ni umri muhimu Sana kwako kama kijana wa kiume. Huo ndio umri ambao unanguvu ya kujenga empire yako. Kumbuka mwanaume hazaliwi akiwa na thamani. Kama ulikuwa unajiuliza kwenye hesabu Value of X ni ipi basi ndio hiyo ambayo mwanaume unaitafuta. Huzaliwi nayo.

Hii ni tofauti na Mwanamke ambaye value of X anayo. Mwanamke anazaliwa akiwa na thamani. Yeye hana haja ya kupambana kutafuta Value of X. Wakati Uzuri wake ndio X yenyewe. Anachotakiwa yeye ni kutunza na kulinda thamani yake. Basi! Elewa kila Mwanamke ni Mzuri, hata hivyo hiyo haitaondoa ukweli kuwa Sio kila Mwanamke anamvuto. Wapo wazuri wasio na mvuto wa wazi.

Anyway! Naona nachochora.

Umri chini ya miaka 45, unatakiwa upambane kufa na kupona. Ndio umri WA kujijenga.
Umri huu ni mfupi Sana. Kutoka miaka 20 mpaka 45 ni almost 25 years. Ni miaka michache Sana.

Wakati huu ndio wakati wa ku-focus na ndoto zako. Tafuta pesa kadiri uwezavyo.
Sio muda wa kukimbizana na wanawake.
Watakupotezea target. Utajikuta ukifeli kama hautakuwa makini.

Elewa, hata uwe handsome boy kama sisi Watibeli(ambao uhandsome boy kwetu ni Jambo la kawaida na sio lakujivunia). Thamani ya uhandsome boy wako huondoka utakapofikisha miaka 30. Chini ya miaka 30 unaweza kujivunia uhandsome boy wako na pengine kuutumia kwa wanawake hasa wenye umri mdogo.
Lakini baada ya miaka 30, mambo hubadilika. Kitachoangaliwa, unakazi gani, kipato chako, unanafasi gani. Thamani ya mwanaume IPO kwenye KAZI, kujishughulisha na kujipata. Ukifeli hapo ndugu yangu umekwisha.

Miaka ya 30+ ndio umri utaoanza kutaka kuanzisha Familia na unatafuta mwanamke wa kumuita Mke na mama wakukuzalia watoto. Msaidizi wako. Ubavu wako.
Basi hawa ndio aina ya wanawake ambao unatakiwa uwaepuke kuanzisha nao familia;

1. Single Mother
Hili lishaongelewa Sana. Madhara ya know single mother yapo ya Muda mfupi na yapo ya Muda Mrefu.
Hata hivyo jitahidi kuanzisha familia na mwanamke wako akiwa Fresh. Sio uanzishe familia na mwanamke aliyekuwa na familia, au anayefanya muendelezo.

Asije kukudanganya mtu yeyote, hata nafsi yako. Kwa umri huo usioe Single Mother. Usijesema anamtoto mmoja, au sio wote wanatabia hizo. Noo!

2. Mwanamke anayekuzidi Kipato na mwenye hadhi kijamii kukushinda.
Mwanamke yeyote anayekuzidi kipato zaidi ya busy ya kipato chako huyo achana naye.
Mfano. Kipato chako ni 500k alafu mwanamke ni 750k. Huyo achana naye.
Asije akakudanganya mtu au ukajidanganya. Ooh! Mbona tunapendana! Acha ujinga. Upendo wa mwanamke niwa msimu tuu.

3. Aliyekuzidi Umri kuanzia miaka Mitano kuendelea.
Huyo ni Mzee kwako. Watu wazima wenyewe wenye akili timamu huoa vibinti vidogo vibichi. Unafikiri wao wajinga?

4. Aliyekuzidi Nguvu za Mwili;
Kuna wanawake ni vijeba haswa. Mwili mkubwa, wengine vikomazi, wengine wakakamavu kwelikweli. Wewe unataka kuanzisha familia na mwanamke wa aina hiyo mbaya zaidi kakuzidi. Hivi unajitakia Mema kweli? Hivi kichwani zimo?
Ukishakuwa Baba na Mume unatoka kwenye kuwa Mpenzi(Lover) unaingia kwenye Uongozi/ Kiongozi( Leadership/Leader). Sasa unaoa mwanamke mwili nyumba, kila themanini wewe kila sitini, anamiguvu wewe maskini huna lolote. Hivi utaweza kumuongoza kweli? Hivi hujui uongozi kuna wakati itakupasa utumie Mabavu huku hekma na busara ukiziweka pembeni.
Utaweza ku- enforce sheria za hapo nyumbani ikiwa mkeo kakuzidi nguvu ya mwili, au kakuzidi uchumi. Embu tuambie.

Tafuta mwanamke ambaye utammudu maeneo nyeti ya uongozi ndani ya familia.

Haya! Endeleza ukaidi!

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Acha uoga we jamaa
 
Sijasoma ila najua single mother atakuepo.
 
Back
Top Bottom