Ndio maana nilikuwambia hufuatilii tech. Yani mauza Oppo za 2015 huko kwa laki moja moja af ndo unasema Oppo hamna kazi. Hizo simu za 2015 zimeshapita muda wake na wewe ndio unatumia ku judge Oppo mwaka 2026, serious?Jamaa niko sokoni muda mrefu nisielewe vipi!
Ona tena unarudia kutamka oppo!
Kaka ninazo oppo hata kuingia whatsapp tu mtihani..
Unaona sasa kumbe wewe unachagua simu moja moja shida iko.Ndio maana nilikuwambia hufuatilii tech. Yani mauza Oppo za 2015 huko kwa laki moja moja af ndo unasema Oppo hamna kazi. Hizo simu za 2015 zimeshapita muda wake na wewe ndio unatumia ku judge Oppo mwaka 2026, serious?
Hii ni Oppo Find X9 Ultra. Nitajie Motorola unayoamini ni kali kuliko hii hata moja tu na utoe facts, achana na hayo maoppo used ya 2015 mliyojaza huko madukani kwenu
View: https://youtu.be/4rEcw1U9FHo?si=xsK1-NdQs3UV3plS
Ona unatumia AI sasaUnaona sasa kumbe wewe unachagua simu moja moja shida iko.
Watu wanazungumzia mfumo kazi kwa ujumla nadhani wewe hizo lenzi ndo zinakupa kiwewe.
Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania.
Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones .
Je, simu hizo ni zipi?
Kabla haujafika mbali….
…… naitwa Baraka ni mtaalamu wa masuala ya teknolojia na maswala ya kidigitali, nimekuwa muuzaji wa simu kwa miaka 5 sasa katika soko la kariakoo.
Huwa nauza original tu …. Brand kubwa na hizi za kawaida mpya na used.
Unaweza kupiga simu / wahatsapp +255 757468193 au ukanifuata kwenye mitandao yangu ya kijamii kama @simukidigitali .
Nisikuchoshe , tuendelee…….
Kwa wiki huwa napata wateja 4-6 wengio wakiwa raia wa kigeni hasa , India na China wakiuliza aina fulani za simu ambazo hazijazoeleka Tanzania .
Ndipo nikapata sababu ya kuzifanyia utafiti juu ya simu hizi na kuamua kuzileta kabisa ……hivyo bhasi kama unapesa ya kutosha na unataka kuwa tofauti angalia kati ya simu hizi hini utanishukuru badae.
Katika utafiti wangu nimeandaa List ya simu 7 ambazo zinaubora wa juu ambazo wabongo wengi hawazijui.
Ni kampuni ya kichina , inatengeneza simu kiwango cha juu mno zenye waterproof na kioo kinachovumilia katika hali zote.
- XAOMI
Kama unasafiri mara nyingi nje ya miji , unafanya shughuli za ujenzi au Engeneers kwenda nazo site.
Zinakaa sana na chaji , camera nzuri, kioo kigumu hata uangushe kwa nguvu chini haipasuki , ukiipenda njoo chukua dukani kwetu zipo mbaka 17 ultra kwa 3,920,000…. 1TB storage.
2. ONE PLUS
Moja kati ya kampuni ambayo imekuja kufanya mapinduzi makubwa basi ni hii.
Simu zao ni slim sana na body simple lakini muundo wake ni wa kuvutia ukiiona tu lazima uvutike .
Bajeti zake ni kuanzia 1,695,000 kwa 1 plus 12 mbaka 2,950,000 kwa One plus 15 yenye ram 16/1Tb storage.
3.VIVO
Vivo ni kampuni yenye simu ambazo ubora wake hauelezeki kwa maneno , utamu wa simu hii ni uishike na uitumie.
Inakuja na refresh rate ya kipekee ikiwa na speed kubwa , processor kubwa na ubora wa camera wa hali ya juu sana.
Dukani kwetu zinaanzia bajeti kuanzia 3,7000,000 kwa VIVO X200 ULTRA mbaka 4,650,000 kwa x300 ultra
4.OPPO
Pia ni kampuni kutoka china , ubora wa simu zake ni wa kutoka next Level ….
Muundo wa kipekee , camera ya kibabe haswa pia ina kluwa na uwezo wa kukaa na charger kwa muda mrefu .
Kama bajeti yako sio kubwa sana na unahitaji simu ya kitofauti nakushauri uchukue simu hii
Dukani kwetu zipo kuanzia Tsh,1,100,000 mbaka OPPO FIND N6 kwa Tsh. 4,890,000.
5. NOTHING PHONE
Hawa ni wakali wa ubunifu , kwa mwaka 2024-2026 inatajwa kama simu yenye ubunifu wa kipekee zaidi kuwahi kutengenezwa.
Imetengenezwa na body ya kioo kwa asilimia kubwa , mbele na Nyuma .
Pia inatoa ishara kwa mwanga unao pop up inapo ingia notification.
Pia inascreen ndogo upande wa nyuma inayo onesha details kadhaa , kikubwa zaidi ni muundo wake…\
Wa nyuma kuonekana wa kipekee kwa kuweka transparent back glass unayoweza kuona kilichomo ndani .
Bajeti yake inaanzia 960,000 tsh kwa simu kama 2a na kubwa kabisa tunauza kwa 2,100,000 ya 4 a Pro.
6. MOTOROLA
Mbaka sasa hakuna simu ya kutoka Japan iliyo weza kushindana na Motorola .
Hiin ni kutokana na ubora wa vioo vyao na camera huku wakinogesha na muundo wa kipekee.
Motorola inafanya vizuri toka kitambo lakini ni simu ambayo haipewi kipaumbele katika nchi nyingi za Afrika.
Hizi zipo used na Mpya… bajaeti yake ni kuanzia 800,000 na kuendelea.
7.HUAWEI
Hapa ni kama wachina waliamua kuwekeza nguvu zao zote kwenye hii kampuni.
Simu zao zinasifika kuwa na teknolojia ya kipekee mno unayoweza kuhamisha picha na files kwa kubeba kupitia mkono wako tu.
Zinakuja na matoleo mengi sana , na kila toleo likiwa nna ubora mkubwa wa camera na Battery.
Dukani kwetu ya bei ya chini ni NOVA 15 MAX bei ni 980,000 na ya bei ya juu zaidi ni HUAWEI MATE XT ikiwa ni 9,890,000 baabkubwa.
Nb. …..
Hizi ni simu original tu na zimechukuliwa moja kwa moja kutoka kampuni husika.
Epuka watu wanao uza kwa bei kiduchu sana kwa sababu simu hizi ndizo zinaongoza kutolewa Coppy na fake.
Hivyo jihadhari nunua kwa watu wa kuaminika tu
Kama unapata wasi wasi tupigie, +255 757468193 au tembelea dukani kwetu tupo kariakoo , aggrey na msimbazi
Dar na mikoani unatumiwa unaipata , delivery kwetu ni bureee kabisa.usisahau kutufollow instagram , facebook na Tiktok@simukidigitali …. Tunauza SIMU na LAPTOP.
Unarudia yale yale mimi nimekuwekea software zao ipi inapokea kwa haraka wewe unasema nimeweka AI.Ona unatumia AI sasa
Kwa nini usitaje Motorola nzuri hata moja tu ili kutetea hoja yako? Kwani hizo Motorola hazinaga majina?
Hata nikizikwa itabidi waweke nembo ya Samsung kwenye kaburi langu aisee. Yaani hizi flagship mpaka mtu unaifurahia simu. Sioni hata sababu ya kupoteza muda kujaribu takataka zingine! 📌Mimi kwa Samsung aisee mtu haniambii kitu
Mfumo unamaanisha nini? Software auUnarudia yale yale mimi nimekuwekea software zao ipi inapokea kwa haraka wewe unasema nimeweka AI.
Unarudia yale yale unataka tutaje simu moja moja au mfumo mzima wa motorola na xiaomi upi bora?
Motorola signature mkuuOna unatumia AI sasa
Kwa nini usitaje Motorola nzuri hata moja tu ili kutetea hoja yako? Kwani hizo Motorola hazinaga majina?
Ukweli mtupu ,kuna mtu haumtoi kwa OPPO aisee na anaitumia sana kwa muda mrefu haishi chaji haraka.Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania.
Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones .
Je, simu hizo ni zipi?
Kabla haujafika mbali….
…… naitwa Baraka ni mtaalamu wa masuala ya teknolojia na maswala ya kidigitali, nimekuwa muuzaji wa simu kwa miaka 5 sasa katika soko la kariakoo.
Huwa nauza original tu …. Brand kubwa na hizi za kawaida mpya na used.
Unaweza kupiga simu / wahatsapp +255 757468193 au ukanifuata kwenye mitandao yangu ya kijamii kama @simukidigitali .
Nisikuchoshe , tuendelee…….
Kwa wiki huwa napata wateja 4-6 wengio wakiwa raia wa kigeni hasa , India na China wakiuliza aina fulani za simu ambazo hazijazoeleka Tanzania .
Ndipo nikapata sababu ya kuzifanyia utafiti juu ya simu hizi na kuamua kuzileta kabisa ……hivyo bhasi kama unapesa ya kutosha na unataka kuwa tofauti angalia kati ya simu hizi hini utanishukuru badae.
Katika utafiti wangu nimeandaa List ya simu 7 ambazo zinaubora wa juu ambazo wabongo wengi hawazijui.
Ni kampuni ya kichina , inatengeneza simu kiwango cha juu mno zenye waterproof na kioo kinachovumilia katika hali zote.
- XAOMI
Kama unasafiri mara nyingi nje ya miji , unafanya shughuli za ujenzi au Engeneers kwenda nazo site.
Zinakaa sana na chaji , camera nzuri, kioo kigumu hata uangushe kwa nguvu chini haipasuki , ukiipenda njoo chukua dukani kwetu zipo mbaka 17 ultra kwa 3,920,000…. 1TB storage.
2. ONE PLUS
Moja kati ya kampuni ambayo imekuja kufanya mapinduzi makubwa basi ni hii.
Simu zao ni slim sana na body simple lakini muundo wake ni wa kuvutia ukiiona tu lazima uvutike .
Bajeti zake ni kuanzia 1,695,000 kwa 1 plus 12 mbaka 2,950,000 kwa One plus 15 yenye ram 16/1Tb storage.
3.VIVO
Vivo ni kampuni yenye simu ambazo ubora wake hauelezeki kwa maneno , utamu wa simu hii ni uishike na uitumie.
Inakuja na refresh rate ya kipekee ikiwa na speed kubwa , processor kubwa na ubora wa camera wa hali ya juu sana.
Dukani kwetu zinaanzia bajeti kuanzia 3,7000,000 kwa VIVO X200 ULTRA mbaka 4,650,000 kwa x300 ultra
4.OPPO
Pia ni kampuni kutoka china , ubora wa simu zake ni wa kutoka next Level ….
Muundo wa kipekee , camera ya kibabe haswa pia ina kluwa na uwezo wa kukaa na charger kwa muda mrefu .
Kama bajeti yako sio kubwa sana na unahitaji simu ya kitofauti nakushauri uchukue simu hii
Dukani kwetu zipo kuanzia Tsh,1,100,000 mbaka OPPO FIND N6 kwa Tsh. 4,890,000.
5. NOTHING PHONE
Hawa ni wakali wa ubunifu , kwa mwaka 2024-2026 inatajwa kama simu yenye ubunifu wa kipekee zaidi kuwahi kutengenezwa.
Imetengenezwa na body ya kioo kwa asilimia kubwa , mbele na Nyuma .
Pia inatoa ishara kwa mwanga unao pop up inapo ingia notification.
Pia inascreen ndogo upande wa nyuma inayo onesha details kadhaa , kikubwa zaidi ni muundo wake…\
Wa nyuma kuonekana wa kipekee kwa kuweka transparent back glass unayoweza kuona kilichomo ndani .
Bajeti yake inaanzia 960,000 tsh kwa simu kama 2a na kubwa kabisa tunauza kwa 2,100,000 ya 4 a Pro.
6. MOTOROLA
Mbaka sasa hakuna simu ya kutoka Japan iliyo weza kushindana na Motorola .
Hiin ni kutokana na ubora wa vioo vyao na camera huku wakinogesha na muundo wa kipekee.
Motorola inafanya vizuri toka kitambo lakini ni simu ambayo haipewi kipaumbele katika nchi nyingi za Afrika.
Hizi zipo used na Mpya… bajaeti yake ni kuanzia 800,000 na kuendelea.
7.HUAWEI
Hapa ni kama wachina waliamua kuwekeza nguvu zao zote kwenye hii kampuni.
Simu zao zinasifika kuwa na teknolojia ya kipekee mno unayoweza kuhamisha picha na files kwa kubeba kupitia mkono wako tu.
Zinakuja na matoleo mengi sana , na kila toleo likiwa nna ubora mkubwa wa camera na Battery.
Dukani kwetu ya bei ya chini ni NOVA 15 MAX bei ni 980,000 na ya bei ya juu zaidi ni HUAWEI MATE XT ikiwa ni 9,890,000 baabkubwa.
Nb. …..
Hizi ni simu original tu na zimechukuliwa moja kwa moja kutoka kampuni husika.
Epuka watu wanao uza kwa bei kiduchu sana kwa sababu simu hizi ndizo zinaongoza kutolewa Coppy na fake.
Hivyo jihadhari nunua kwa watu wa kuaminika tu
Kama unapata wasi wasi tupigie, +255 757468193 au tembelea dukani kwetu tupo kariakoo , aggrey na msimbazi
Dar na mikoani unatumiwa unaipata , delivery kwetu ni bureee kabisa.usisahau kutufollow instagram , facebook na Tiktok@simukidigitali …. Tunauza SIMU na LAPTOP.
Sasa mkuu hii simu ndo unasema nzuri kuliko Oppo Find X9 Ultra?Motorola signature mkuu
Mwaka 2024 niiinunua Xiaomi RedMe note 12pro na iPhone 14 pro, Uwezo wa Redmi umezidi mbali sana iPhone kwenye mambo mengi na bado Redmi ni user friendly na Uhuru mwingiNi kampuni ya kichina , inatengeneza simu kiwango cha juu mno zenye waterproof na kioo kinachovumilia katika hali zote.
- XAOMI
Tecno walianza kuingiza ujanja ujanja, simu yako Kali iliishia phantom 6, baada ya hapo fake tupuTecno nayo ni simu kali.
🤣🤣Sasa hiyo nothing phone kuna simu humo mkuu😁
Mkuu naungana na wewe kwenye hoja ya Android phones Samsung Hana mpinzani japo kuna baadhi ya brands kama XiomRedmi baadhi ya matoleo yako mbele Sana. Mfano Tu nilikuwa na iPhone 14 Pro na Redmi 12pro nikipiga picha washkaji zangu wote wanakubali Redmi kuliko iPhone, lakini kwenye tech ya Audio na video sound iPhone ni next level unasikia Raha Sana kusikilizaKwa upande wa Iphones, bado sijaona simu ya kichina kwa hizo ulizotaja zinastahili kuipambanisha na iphone. Iphone yupo daraja moja kabisa na Sansung. To me naona uzi wako umekaa kibiashara hata ukadiriki kusema uongo uongo humu na mtu kama nimetokea kukuona we jamaa sio mshauri mzuri kwa wateja, unachojali ni bidhaa zako tu zitoke.
iPhone hii hii ambayo haiwezi multitasking? Unatembea na Chaja mkononi🤣🤣Hakuna simu kama iPhone vijana
Kuna Tecno original?😂 😂😂😂Tecno walianza kuingiza ujanja ujanja, simu yako Kali iliishia phantom 6, baada ya hapo fake tupu