Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

iPhone hii hii ambayo haiwezi multitasking? Unatembea na Chaja mkononi🤣🤣
Labda iPhone 6 unazungumzia mi huwa natumia Flagship 17 pro Max multitasking gani haifanyi na mimi huwa naichaji kila baada ya siku 2 sitembei na Charger achana na wanaonunua used battery percentage zikiwa drained hao lazima wateseke
 
Ushatumia LG mkuu?
 
Kwanza pixel sio simu Kali, Ni mid-range phone Ila specific Zak zinakaribiana na hizo iPhone na samsung....
Samsung unaweza tumia miaka 10 wewe Ni kuupdate software na security system Ila hayo matambala mengine utajuta...
Kafatilie Tena Google pixel
 
TO BE HONEST, SAMSUNG HANA MPINZANI KWENYE ANDROID. YES, Samsung wako level ya juu sana ktk Android. Kama
Em tuelezee Vizuri kwanini samsung amzidi google pixel kwenye Android Wakati,

Android yenyewe ni operating system ya Google, na vision zake zote zina anzia Google ambao ndio wametuletea Google pixel?
 
Bila Infinix ,hiyo list ni takata
 
Em tuelezee Vizuri kwanini samsung amzidi google pixel kwenye Android Wakati,

Android yenyewe ni operating system ya Google, na vision zake zote zina anzia Google ambao ndio wametuletea Google pixel?
Amemzidi sio software tu bali hadi hardware. Android ya Samsung ina ONE UI, Samsung wameongeza vitu humo ktk hiyo ONE UI.

Samsung ana advantage ya kioo, ukiitumia flagship ya Samsung utaifurahia ikiwa mkononi, scrolling ni very smooth, touch ipo respontive effectively, apa mkuu nazungumzia Samsung yale ya matoleo ya juu sio hizi A07 sijui A14.

Android ya Pixel ni PURE ANDROID isiyofanyiwa customazation yoyote zaidi ya kuwekwa AI. Sasa Samsung anakuoffer ONE UI.
 
Zile valvete niliwahi tumia kidogo miaka ya nyuma, android nimeshatumia nyingi sana saana. Samsung nimeshashika na kuitumia kwa muda mfupi S26 Ultra na Fold 6 pia kama sio 7 ile, Samsung kwa Android wapo level nyingine kabisaaa.
Sasa velvet si midrange izo ungeenda na level za hizo S26
Mimi pia nmetumia zote Samsung ni best lakini ukicompare price durability na technology basi baadhi ya brand znashindana nae vizuri sana
 
Hata nikizikwa itabidi waweke nembo ya Samsung kwenye kaburi langu aisee. Yaani hizi flagship mpaka mtu unaifurahia simu. Sioni hata sababu ya kupoteza muda kujaribu takataka zingine! 📌
Mtu anachukua samsung a07 anairinganisha na hizo high ends za mchina, s24, s26 ultra na fold 6 zimewahi kupita mikononi mwangu.

Narudia kusema tena na teeeena, kwa Android, SAMSUNG HANA MPINZANI. Jamaa yupo level ya juu kabisaaa.
 
Nilitaka kumjibu jamaa hapo kwamba Motorolla hasa ile g60 sijui 60 pro ni simu kali saaana, iko very smoothly, naweza sema sijaona ona simu yenye touch na scrolling laini kama ile. Display kali mno, Pixel hana simu inayofika ile level. Pixel tunampa heshima yake kubwa kwa picha za mchana na usiku wakati wa giza.
 
Sina uhakika na details za kutosha kuhusu hiyo Redmi uliyoitaja sababu sijawahi kuiona wala kuishika ila 14 pro max nimeishika, nimetumia na nnaijua nje ndani. Upande wa videos iphone huwa hanaga mpinzani. Upande wa picha sijajua wakati unapiga picha kwa iphone mliweka settings vyema au vipi ila bado Camera ya iphone naipa credit kubwa hasa ukipiga picha mchana sehemu kivuli kidogo tu.
 
iPhone haiendi Giza🤣🤣 ukiiga bila mwanga ni poor kuliko Tecno
 
Kumbe Kila simu ktk hizi zinazosifiwa zinazidiana kwenye Eneo moja ama jingine, there is no answer ideal phone that fits all features
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…