AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Nimetumia sana Samsung, kwa sasa nataka nianze kutumia Nokia Express.Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania.
Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones .
Je, simu hizo ni zipi?
Kabla haujafika mbali….
…… naitwa Baraka ni mtaalamu wa masuala ya teknolojia na maswala ya kidigitali, nimekuwa muuzaji wa simu kwa miaka 5 sasa katika soko la kariakoo.
Huwa nauza original tu …. Brand kubwa na hizi za kawaida mpya na used.
Unaweza kupiga simu / wahatsapp +255 757468193 au ukanifuata kwenye mitandao yangu ya kijamii kama @simukidigitali .
Nisikuchoshe , tuendelee…….
Kwa wiki huwa napata wateja 4-6 wengio wakiwa raia wa kigeni hasa , India na China wakiuliza aina fulani za simu ambazo hazijazoeleka Tanzania .
Ndipo nikapata sababu ya kuzifanyia utafiti juu ya simu hizi na kuamua kuzileta kabisa ……hivyo bhasi kama unapesa ya kutosha na unataka kuwa tofauti angalia kati ya simu hizi hini utanishukuru badae.
Katika utafiti wangu nimeandaa List ya simu 7 ambazo zinaubora wa juu ambazo wabongo wengi hawazijui.
Ni kampuni ya kichina , inatengeneza simu kiwango cha juu mno zenye waterproof na kioo kinachovumilia katika hali zote.
- XAOMI
Kama unasafiri mara nyingi nje ya miji , unafanya shughuli za ujenzi au Engeneers kwenda nazo site.
Zinakaa sana na chaji , camera nzuri, kioo kigumu hata uangushe kwa nguvu chini haipasuki , ukiipenda njoo chukua dukani kwetu zipo mbaka 17 ultra kwa 3,920,000…. 1TB storage.
2. ONE PLUS
Moja kati ya kampuni ambayo imekuja kufanya mapinduzi makubwa basi ni hii.
Simu zao ni slim sana na body simple lakini muundo wake ni wa kuvutia ukiiona tu lazima uvutike .
Bajeti zake ni kuanzia 1,695,000 kwa 1 plus 12 mbaka 2,950,000 kwa One plus 15 yenye ram 16/1Tb storage.
3.VIVO
Vivo ni kampuni yenye simu ambazo ubora wake hauelezeki kwa maneno , utamu wa simu hii ni uishike na uitumie.
Inakuja na refresh rate ya kipekee ikiwa na speed kubwa , processor kubwa na ubora wa camera wa hali ya juu sana.
Dukani kwetu zinaanzia bajeti kuanzia 3,7000,000 kwa VIVO X200 ULTRA mbaka 4,650,000 kwa x300 ultra
4.OPPO
Pia ni kampuni kutoka china , ubora wa simu zake ni wa kutoka next Level ….
Muundo wa kipekee , camera ya kibabe haswa pia ina kluwa na uwezo wa kukaa na charger kwa muda mrefu .
Kama bajeti yako sio kubwa sana na unahitaji simu ya kitofauti nakushauri uchukue simu hii
Dukani kwetu zipo kuanzia Tsh,1,100,000 mbaka OPPO FIND N6 kwa Tsh. 4,890,000.
5. NOTHING PHONE
Hawa ni wakali wa ubunifu , kwa mwaka 2024-2026 inatajwa kama simu yenye ubunifu wa kipekee zaidi kuwahi kutengenezwa.
Imetengenezwa na body ya kioo kwa asilimia kubwa , mbele na Nyuma .
Pia inatoa ishara kwa mwanga unao pop up inapo ingia notification.
Pia inascreen ndogo upande wa nyuma inayo onesha details kadhaa , kikubwa zaidi ni muundo wake…\
Wa nyuma kuonekana wa kipekee kwa kuweka transparent back glass unayoweza kuona kilichomo ndani .
Bajeti yake inaanzia 960,000 tsh kwa simu kama 2a na kubwa kabisa tunauza kwa 2,100,000 ya 4 a Pro.
6. MOTOROLA
Mbaka sasa hakuna simu ya kutoka Japan iliyo weza kushindana na Motorola .
Hiin ni kutokana na ubora wa vioo vyao na camera huku wakinogesha na muundo wa kipekee.
Motorola inafanya vizuri toka kitambo lakini ni simu ambayo haipewi kipaumbele katika nchi nyingi za Afrika.
Hizi zipo used na Mpya… bajaeti yake ni kuanzia 800,000 na kuendelea.
7.HUAWEI
Hapa ni kama wachina waliamua kuwekeza nguvu zao zote kwenye hii kampuni.
Simu zao zinasifika kuwa na teknolojia ya kipekee mno unayoweza kuhamisha picha na files kwa kubeba kupitia mkono wako tu.
Zinakuja na matoleo mengi sana , na kila toleo likiwa nna ubora mkubwa wa camera na Battery.
Dukani kwetu ya bei ya chini ni NOVA 15 MAX bei ni 980,000 na ya bei ya juu zaidi ni HUAWEI MATE XT ikiwa ni 9,890,000 baabkubwa.
Nb. …..
Hizi ni simu original tu na zimechukuliwa moja kwa moja kutoka kampuni husika.
Epuka watu wanao uza kwa bei kiduchu sana kwa sababu simu hizi ndizo zinaongoza kutolewa Coppy na fake.
Hivyo jihadhari nunua kwa watu wa kuaminika tu
Kama unapata wasi wasi tupigie, +255 757468193 au tembelea dukani kwetu tupo kariakoo , aggrey na msimbazi
Dar na mikoani unatumiwa unaipata , delivery kwetu ni bureee kabisa.usisahau kutufollow instagram , facebook na Tiktok@simukidigitali …. Tunauza SIMU na LAPTOP.
Unarudia yale yale mimi nimekuwekea software zao ipi inapokea kwa haraka wewe unasema nimeweka AI.
Unarudia yale yale unataka tutaje simu moja moja au mfumo mzima wa motorola na xiaomi upi bora?
Hizo unazotulangua apo Agrey na Msimbazi ni za Dubai zote.shida yako unatumia oppo za dubai famba sio oppo original zenyewe usibishie ..... hizo oppo ambazo unasemea wewe hata hazitambuliki na oopo wenyewe hahaahaha
hapa dukani sina oppo ya chini ya milioni ..... ko wewe najua unazungumzia oppo za laki 1 moja zile mzee
China.Kuna Simu zinaitwa Nubia sijui ni za wapi hizi
Nubia Red Magic hizo ni gaming phones, zinatengenezwa na kampuni ya ZTE, ChinaKuna Simu zinaitwa Nubia sijui ni za wapi hizi
Labda ungetaja modelKwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania.
Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones .
Je, simu hizo ni zipi?
Kabla haujafika mbali….
…… naitwa Baraka ni mtaalamu wa masuala ya teknolojia na maswala ya kidigitali, nimekuwa muuzaji wa simu kwa miaka 5 sasa katika soko la kariakoo.
Huwa nauza original tu …. Brand kubwa na hizi za kawaida mpya na used.
Unaweza kupiga simu / wahatsapp +255 757468193 au ukanifuata kwenye mitandao yangu ya kijamii kama @simukidigitali .
Nisikuchoshe , tuendelee…….
Kwa wiki huwa napata wateja 4-6 wengio wakiwa raia wa kigeni hasa , India na China wakiuliza aina fulani za simu ambazo hazijazoeleka Tanzania .
Ndipo nikapata sababu ya kuzifanyia utafiti juu ya simu hizi na kuamua kuzileta kabisa ……hivyo bhasi kama unapesa ya kutosha na unataka kuwa tofauti angalia kati ya simu hizi hini utanishukuru badae.
Katika utafiti wangu nimeandaa List ya simu 7 ambazo zinaubora wa juu ambazo wabongo wengi hawazijui.
Ni kampuni ya kichina , inatengeneza simu kiwango cha juu mno zenye waterproof na kioo kinachovumilia katika hali zote.
- XAOMI
Kama unasafiri mara nyingi nje ya miji , unafanya shughuli za ujenzi au Engeneers kwenda nazo site.
Zinakaa sana na chaji , camera nzuri, kioo kigumu hata uangushe kwa nguvu chini haipasuki , ukiipenda njoo chukua dukani kwetu zipo mbaka 17 ultra kwa 3,920,000…. 1TB storage.
2. ONE PLUS
Moja kati ya kampuni ambayo imekuja kufanya mapinduzi makubwa basi ni hii.
Simu zao ni slim sana na body simple lakini muundo wake ni wa kuvutia ukiiona tu lazima uvutike .
Bajeti zake ni kuanzia 1,695,000 kwa 1 plus 12 mbaka 2,950,000 kwa One plus 15 yenye ram 16/1Tb storage.
3.VIVO
Vivo ni kampuni yenye simu ambazo ubora wake hauelezeki kwa maneno , utamu wa simu hii ni uishike na uitumie.
Inakuja na refresh rate ya kipekee ikiwa na speed kubwa , processor kubwa na ubora wa camera wa hali ya juu sana.
Dukani kwetu zinaanzia bajeti kuanzia 3,7000,000 kwa VIVO X200 ULTRA mbaka 4,650,000 kwa x300 ultra
4.OPPO
Pia ni kampuni kutoka china , ubora wa simu zake ni wa kutoka next Level ….
Muundo wa kipekee , camera ya kibabe haswa pia ina kluwa na uwezo wa kukaa na charger kwa muda mrefu .
Kama bajeti yako sio kubwa sana na unahitaji simu ya kitofauti nakushauri uchukue simu hii
Dukani kwetu zipo kuanzia Tsh,1,100,000 mbaka OPPO FIND N6 kwa Tsh. 4,890,000.
5. NOTHING PHONE
Hawa ni wakali wa ubunifu , kwa mwaka 2024-2026 inatajwa kama simu yenye ubunifu wa kipekee zaidi kuwahi kutengenezwa.
Imetengenezwa na body ya kioo kwa asilimia kubwa , mbele na Nyuma .
Pia inatoa ishara kwa mwanga unao pop up inapo ingia notification.
Pia inascreen ndogo upande wa nyuma inayo onesha details kadhaa , kikubwa zaidi ni muundo wake…\
Wa nyuma kuonekana wa kipekee kwa kuweka transparent back glass unayoweza kuona kilichomo ndani .
Bajeti yake inaanzia 960,000 tsh kwa simu kama 2a na kubwa kabisa tunauza kwa 2,100,000 ya 4 a Pro.
6. MOTOROLA
Mbaka sasa hakuna simu ya kutoka Japan iliyo weza kushindana na Motorola .
Hiin ni kutokana na ubora wa vioo vyao na camera huku wakinogesha na muundo wa kipekee.
Motorola inafanya vizuri toka kitambo lakini ni simu ambayo haipewi kipaumbele katika nchi nyingi za Afrika.
Hizi zipo used na Mpya… bajaeti yake ni kuanzia 800,000 na kuendelea.
7.HUAWEI
Hapa ni kama wachina waliamua kuwekeza nguvu zao zote kwenye hii kampuni.
Simu zao zinasifika kuwa na teknolojia ya kipekee mno unayoweza kuhamisha picha na files kwa kubeba kupitia mkono wako tu.
Zinakuja na matoleo mengi sana , na kila toleo likiwa nna ubora mkubwa wa camera na Battery.
Dukani kwetu ya bei ya chini ni NOVA 15 MAX bei ni 980,000 na ya bei ya juu zaidi ni HUAWEI MATE XT ikiwa ni 9,890,000 baabkubwa.
Nb. …..
Hizi ni simu original tu na zimechukuliwa moja kwa moja kutoka kampuni husika.
Epuka watu wanao uza kwa bei kiduchu sana kwa sababu simu hizi ndizo zinaongoza kutolewa Coppy na fake.
Hivyo jihadhari nunua kwa watu wa kuaminika tu
Kama unapata wasi wasi tupigie, +255 757468193 au tembelea dukani kwetu tupo kariakoo , aggrey na msimbazi
Dar na mikoani unatumiwa unaipata , delivery kwetu ni bureee kabisa.usisahau kutufollow instagram , facebook na Tiktok@simukidigitali …. Tunauza SIMU na LAPTOP.
Limitation ganiHakuna km I4n,aidha ni uwezo mdogo was kumiliki, binafsi 14n siiwezi kwa sababu ina limitations mnoo, aaah siku wakitoa hizo limitations, chaaapu niko nao winja winja.
Huwezi itumia pixel na samsung kisha useme hakuna utofauti wa hizo android zao. Either wewe sio mtumiaji mkubwa wa simu hadi kuona tofauti zao au labda hujawahi tumia hizo simu.Nawakumbusha samsung,google pixel,xiomi,vivo,sony,motorola,1+ zote ni android moja na akuna utofauti wa android ya samsung,google pixel,vivo wala 1+ apo utofauti ni chips tu ndio zinye kuleta radha,nguvu,ubora na mionekano katika kila kampuni ila ukija vioo,lens,betri,camera sometimes hutengenezwa na mtu mmoja (mf muunda kioo cha samsung na iphone ni mmoja,muunda chips za huawei,honor ni mmoja,munda camera wa xiomi,oppo,aquos ni mmoja pia sony huwatengenezea makampuni mengi camera,spika ila yeye kashindwa vita na watu anaowasapot
Doccomo tena?Kuna mwamba anaitwa doccomo aliwai kuleta simu akashindwa ila alivyoanza kuuza vipuli kwa samsung doccomo,xiomi doccomo,aquos doccomo hao watu wameuza sana pia hata infinix sasa anatumia kioo toka samsung,camera toka samsung,spika na mfumo wa saut toka jbl ila bado chip ni mbovu haina uwezo )
Uko sahihi, Samsung na Iphone wako daraja la tofauti kabisa. Anayebisha haya nina uhakika hajawahi kutumia iphone wala samsung high end.Mafundi simu muwe mnataja tu aina za Simu ila mkiwachanganya Samsung na iPhone kwenye mashuka yenu sijui nothing phone mnakosea sana aisee..
Samsung S 22,23 na 24 kwa hizi tunazozitumia harafu mtu akutajie sijui pixel unabaki kushangaa tu hiyo 26 inakaa sana na chaji karibu masaa 24 mpaka 31 hiyo ndio ya kuivutia pumzi sio hizo simu zao kila kukicha matangazo ya uongo..Uko sahihi, Samsung na Iphone wako daraja la tofauti kabisa. Anayebisha haya nina uhakika hajawahi kutumia iphone wala samsung high end.
Kwani simu kua nyingi ni shida gani c heri uwe na kitu kilichoboraSamsung hata kama mid range phone aisee unaweza kaa nayo muda sana japo ndio hivyo ziko nyingi