Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Kweli kabisa hasa watu wenyewe waafrica, huwezi kuwafurahisha, wana mawazo hasi muda wote, wana lazimisha maisha yawe magumu bila sababu.
 
Reactions: amu
Analiwa 071 huyo...
 
Hakyananii tunge achana hata mimi. Yani bleach sijui nija alrergy nayo.
 
Yaani wanawake kama wewe huwa tunagonga tu then tunakaa kimya huwaambiwi chochote kama umeachwa au laah..! utajiondokea mwenyewe tu.

Amini kama usipobadilika utaongeza idadi ya masingle mother mtaani, kwenye kuoa au mahusiano yaliyo makini wanaume wako makini mno kufanya vetting.

Ila linapokuja suala la kusuza rungu akina nyie ndipo mnapopata nafasi
 
Mkishafeli maisha ndio hua mnatafuta visingizio,

Tafuta pesa hutoona hizo tofauti zozote lakini kama pesa za mawazo ndio hayo hamtaki wigs sababu mnajua gharama,

Halafu me namiliki mwanamke na wala sioni shida kutoa pesa mwanamke wangu apendeze.
 
Reactions: amu
Ndoa utaisikia peponi, hakuna mwanaume makini anaeoa wanawake type hiyo... hao huwa wanatumika kusuza rungu tu halafu wanajiondokea kimyakimya, na hakuna mwanaume bahili kwa mwanamke ambaye anaona kabisa anafaa kuwa mke wake unapoona hatoi hata mbuni yake ya kununulia rozali kwako jua kabisa sio tarajiwa lake.
 
Mkishafeli maisha ndio hua mnatafuta visingizio,

Tafuta pesa hutoona hizo tofauti zozote lakini kama pesa za mawazo ndio hayo hamtaki wigs sababu mnajua gharama,

Halafu me namiliki mwanamke na wala sioni shida kutoa pesa mwanamke wangu apendeze.
umejuaje kama mimi sina pesa? Ongelea mada iliyopo mezani huko kwingine hakuna unalofahamu kuache kama kulivo.


hivi wewe ni "me" au "ke" hiyo sentensi yako ya mwisho ya kumiliki mwanamke imenichanganya, wakati reply zako zote uliandika ukionesha wewe ni mwanamke
 
-Sijamuongelea mwanaume wangu.
-Nmeongelea Walimwengu wanao-hukumu kulingana na Uvaaji na muonekano.
-Wapo wanaovaa Mshazari ila wana tabia chafu mno.
-Kwa maana hio mlimwengu hawezi kunipangia cha kuvaa kwasababu nnachovaa hanunui.
-Ujana ndio huu tukipata majukumu tutaacha[emoji1] Tutavaa mapande 6 na vitenge vya congo Tukiolewa au vipi mkuu?
 
Hutaki lizungumzwe sababu ni ukweli mchungu, mwenye pesa hana muda wa kuangalia nani kavaa nini zaidi ana enjoy kila kitu,

Mwanamke wangu napenda avae wigi refu, lace lingerie, high heels, cheni kiunoni, vikuku miguuni, kisha ananipa lap dance, OMG dunia yote tunakua wawili tuuu.
 
Culture Me tunaposema hatuwezi kuwa kwenye mahusiano ya ndoa na wanawake waliokuwa na sifa zilizotajwa kwenye andiko hili sio kwamba hatuna pesa za kuwahudumia bali mnaonesha tabia zenu chafu halisia kupitia hicho mnachosema ni urembo..

Hebu angalia huyu mdada kwenye picha hapa chini, utasema huyu sio mrembo na hana gharama? Kisa hajiweki hayo madude yenu
 

Attachments

  • mimi.jpg
    19.9 KB · Views: 20
LBGTQ uyo kaka huoni avatar yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…