Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Kweli kabisa hasa watu wenyewe waafrica, huwezi kuwafurahisha, wana mawazo hasi muda wote, wana lazimisha maisha yawe magumu bila sababu.
Sijui kwanini baadhi ya watu wanayafanya maisha yao yawe ya uchungu, mtu asiekuhusu kwa namna moja ama ingine anakuumizaje? mbona yapo mengi ya kufanya kabla hujaanza kuudhika na Uvaaji wa mtu
Tafuta hela, focus kwenye hela na maisha yako na watu wako tafuta mwanamke unaeona anakufaa oa,zaa,lea
ndanda cosovo achia wazee wa ngwasuma[emoji3] very simple
 
Aisee wewe kweli ni mtoporo kama alivosema Paploman niambie nani mwenye pesa kaoa watu wenye sifa hizo nilizotaja?
 
Aisee wewe kweli ni mtoporo kama alivosema Paploman niambie nani mwenye pesa kaoa watu wenye sifa hizo nilizotaja?
Unaanza kupanic hahaha tulia hivyo hivyo mada ipo mezani inajadiliwa,

Unadhani wote wameoa village girl? Hahaha unataka mfano? Ipo mingi na mmoja wapo ni mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
sasa ndio maana na sisi tunasuuza rungu kwenu na hatuwaoi.
nyie mtabaki kuwa single mother....mda utawaambia
 
Hiyo ya kutafuna bila kufunga kinywa inachefuaa, mara ya kwanza namuona mtu wa hivyo nilishindwa kula mbaya zaidi alikua boss wangu, kumwambia nilishindwa nikaacha tu kula.
[emoji1785][emoji1785]
Niliwahi peleka rafiki wa kike wa kiganda nyumban kwa wazee,aisee niliabika sana.
 
Ungeweka picha ya manzi yako acha kuweka picha za wanawake unaowamiliki ndotoni.

[emoji23][emoji23]
 
unaeleewa mada? Yaani mtu anatakiwa awe mke au mume wako wa maisha hakuhusu? unajua ulichoandika kweli?
 
Ungeweka picha ya manzi yako acha kuweka picha za wanawake unaowamiliki ndotoni.

[emoji23][emoji23]
mkuu nimeshaambiwa wewe ni shoga, sikujua hili kabla kwa hiyo tusameheane tu.
pitia reply zako upya utajigundua kwamba hauko sawasawa.

wewe mtu mmoja kuna mda unaandika ukijionesha wewe mwanamke, mda mwingine wewe mwanaume...
 
sasa ndio maana na sisi tunasuuza rungu kwenu na hatuwaoi.
nyie mtabaki kuwa single mother....mda utawaambia
Hivi kusuuza rungu ni sifa sikuhizi?
-mi nilijua utasema ndio maana hatuwataki!
msuuza na msuuzwa huoni wote hamna maana mkuu?
Nyie mnaojiita wasuuza rungu mnaonaga vibanzi kwenye macho ya wenzenu wakati mna boriti kwenye rungu zenu. Kama huko kusuuza ni sifa aisee mkuu unajidharaulisha sana.
-Kama umeoa focus na mkeo huo ndio uwanaume halisi.
 
unaeleewa mada? Yaani mtu anatakiwa awe mke au mume wako wa maisha hakuhusu? unajua ulichoandika kweli?
Najua.
kwenye kila sentensi kuna hoja ya kujibiwa [emoji4]
nmejibu kulingana na sentensi nilioguswa nayo.
 
kama huelewi utaelewa siku ukiwa single mother au umri ukisoma 30+ huku kilometa za papuchi zikiwa zishatembea vya kutosha na hakuna BF aliye na muelekeo wa kukuchumbia....mtaendelea kutulaumu wanaume wakati makosa ni yenu.
 
mkuu nimeshaambiwa wewe ni shoga, sikujua hili kabla kwa hiyo tusameheane tu.
pitia reply zako upya utajigundua kwamba hauko sawasawa.

wewe mtu mmoja kuna mda unaandika ukijionesha wewe mwanamke, mda mwingine wewe mwanaume...
Bisexual huyo
 
Umeielewa mada iliyopo mezani lakini maana yeye alikujibu kwa kuzingatia mada iliyopo mezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…