Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Pole sana bruh'...!!
 
Mtu muongo muongo 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️❌❌

Usikutane na mademu wa kimatengo wa Mbinga ni Waongo by nature na Malaya by nature na hawajutii hizo tabia. Unaweza kuua kama hizi tabia ni sumu kwako
 
Mimi ni zaidi hadi nimekuwa mchiinga.
Habari ya siku nyingi mama?
Hakika yangu ni kwamba kila kitu kipo sawa kwa upande wako
Hahaa,
Eti mchiinga'...!
I'm so thankful kiukweli anko Mungu ananipigania mno kiume, mambo yanasonga.!!
 
Napenda mtu Real.
Aliye specific akisema anamaanisha..Hua sidanganyi nachukia kudanganywa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sana bruh'...!!
Imebidi nikupe makavu maana umezingua sana..... Tukiwaacha nyie baadae ndio mnakuja kuchezea kichapo kwa akina uchebe
 
Sasa boss mtu kama hana si inaeleweka huyo hatumuiti bahili ni maskini. Bahili maana yake anazo lakini hatoi
 
🤣🤣🤣Aisee huyo noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…