Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Chindy, huu uzi nilianzisha ili nione angalau comment yako, mpaka Sasa sioni...hebu njoo uweke hapa vigezo vyako hapa
 
mwanamke asiejua kukaa kimya

mwanamke asiye na haya, kila mziki aujua kuuimba na kucheza damn

mwanamke anaechukia ndugu zangu

asie na uvumilivu, kila ugomvi basi katuma sms kwao..

dah hapana kwa kweli
 
mwanamke asiejua kukaa kimya

mwanamke asiye na haya, kila mziki aujua kuuimba na kucheza damn

mwanamke anaechukia ndugu zangu

asie na uvumilivu, kila ugomvi basi katuma sms kwao..

dah hapana kwa kweli
Huyo wa kuchukia ndugu, ni kufukuza kabisa..hafai kuwa nae hata kwa sekunde
 
ambao hatujawai kuwa na wanawake wetu peke yetu tunacomment wap! binafs mi mwanamke awe na sifa zote mbaya isipokuwa ya kuchepuka. ndo mana inapendeza ujishughulishe na wa wengine, utakuwa huna cha kukuuma.
Comment PM ya mdada mkuu
 
Aiseh..basi sawa

mi mwanamke mwenzao siwezi kuwafanyia uchunguzi.hapo ndo shida sasa

Hata Kama ni shosti yako akiwa anapigwa na mumewe kisa visa vya kudanga haachani na madanga yake, pia wao kila alokwisha kula mzigo 100% kipolo halali hata after 5+, 10+ , 20+ akitaka kupasha free tu hawaachagi bwana
 
Nyie mnaachaga viporo vikapita salama??au kunya anye kuku akinya bata kaharisha huh!!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeandika kwa hisia sana. Msije tu mkajiuchebe jamani.
Ila bado ukweli unabaki pale pale, tafuteni pesa maana tunazihitaji huku nasi tukiendelea kutafuta zetu.
Msiwe na hasira jamani ndio uhalisia huo.
 
aisee[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. boyfriend anapewa majukumu ya baba
 
Hiyo ilikuwa zamani sio maisha ya sasa. Kama wewe unategemea mwenzako atafute ili utumbue tu bila kusimamia majukumu yako kama mwanamke then una long way to go. Kimsingi hakuna ambaye atakubeba. Kuna wanawake wenzako wanapambana huku bila shida na wanashirikiana na boyfriend wao kufanya maisha.
 
Nyie mnaachaga viporo vikapita salama??au kunya anye kuku akinya bata kaharisha huh!!!!
Basi we endelea na hizi akili. Utaliwa hadi uzeeni na hakuna atakae kuja kukaa na wewe kwa hizo akili.... Kama unabisha tupinge..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…