Aina za Limbwata Wanawake wanazotumia kutushika, je we umepewa mojawapo hapa. Ni uchafu mtupu

Hiki ulichokiandika ni aina nyingine ya Limbwata!
 
Si kila kisomo kinatokana na Qur'an. Kuna vitabu nje ya Qur'an, vingi sana, vimeandikwa kwa Kiarabu. Ndiyo maana nikasema msihusishe Qur'an na uchawi wenu wa kishenzi.

Qur'an ni shifaa.
"Si kila kisomo kinatokana na Qur'an"

Unamaanisha kuna baadhi vinatokana na Qur'an?
 
Wanaume tumeumbwa mateso, mateso kuhangaika.

Hatari sana, sijui tutaponea wapi?

Mapadri hapa ndiyo wako salama tu.
 
Hilo namba 4 la kisomo, hujasema ni kisomo kipi.

Ole wako uihusishe Qur'an na huo uchawi wa kishenzi.
Kama unavyosema hakitajwa kisomo lakin ww ushakimbilia kujishuku kama UNAOGA NJE.au ni kwel???
 
Hahahaaaa. Mkuu hii balaaa
 
Hahahaaaa mkuu kama namuona alivyokuwa amefura kwa hasira baada ya kuambiwa dawa imechuja.
 
Natamani huu uzi ufutwe kabisa maana ni kama tunatoa siri za kambi.

Enewei potelea mbali uchawi hauendi kwa mentali.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kuna mseng mmoja mfanyabiashara wa nyama ya ngombe... Kabla ya kuichinja anaiingilia...anakojoaa humohumo...

Ikifika buchani saa sita hamna kitu mamaee...
[/QUOTE] balaaa jomba!!!
 
Sijui nitumie ipi kati ya hizo!!au sijui nitumie zote
 
Uko sahihi kabisa..

Mimi bro wangu alifanyiwa hiyo ya nyama, aliteseka sana. Kwanza aliichukia kazi akawa hataki kwenda kazini anataka abaki na mkewe nyumbani. Akiwa nyumbani anazima simu kabisa hapatikani hata siku tatu. Kazini haendi kazi yake kukaa nyumbani.

Mke sasa ndo anakuwa mume, yeye kutwa kiguu na njia na asiulizwe unaenda wapi. Bro anabaki kuhudumia watoto, awapikie, awaogeshe afue nguo, asafishe nyumba...

Siku akienda kazini akirudi msosi hakuna anaambiwa "nimechoka kupika kama vp kapike mwenyewe" hapo hela ameacha asbh. Bas bro anakuwa mpole tu anaenda kununua viepe alalie. Sina hakika kama unyumba alikuwa anapewa aisee.

Na siku zote ukimwambia umelogwa wewe basi atakufukuza kwake kama mbwa. Usiombe ndg yako afanyiwe hii kitu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…