Aina za Limbwata Wanawake wanazotumia kutushika, je we umepewa mojawapo hapa. Ni uchafu mtupu

Vipi ameshatoka kifungoni?
 
I wish siku mtu anifanyie hayo makitu nione ufanisi wake..Sijawahi kuyaamini..
Muombe Mungu akuepushe nahiyo mitihan nilimuona Mwalimu wetu naubabe wake wote yalimkuta haya akawa km mpumbavu kabisa alikuwa anafua na kupika Ndugu zake wakagundua wakamsaidia.
Lilipotoka jamaa katoa Talaka na ndoa ikaishia hapohapo.
 
Hata sisi wanaume hutilia limbwata wanawake pia......

...... kuna mwanaume anashinda kwa bao toka asubuhi bila mishe yoyote, then ana wake wanne, mmoja nurse , wawili maticha, na wa mwisho mama wa nyumbani. .... Hao wafanyakazi mshahara ukiingia wanapeleka kwa husband akapange matumizi ya mwezi.....

Cha ajabu zaidi wote wanakaa ktk jumba moja lililojengwa kwa mkopo wa bank wa kila mmoja wa hao watatu

Maajabu hayaishi Africa


# huyu bwana ni walewale kina Faiza Fox.
 

Haha ! Umeua aisee
 
Anayekuwekea hilo limbwata ni mkeo au mchepuko?kama ni mke ni vigumu kufanikiwa kwani ndoa imebarikiwa na Mungu mwenyewe labda uaminifu usiwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…