Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cruisers BikesKama vyuma kama hivi unaviacha uzi wako ni batili. Kwa sisi tusiopenda kuendesha tumepindisha mgongo hapa ndio mahala pake
View attachment 3022568
View attachment 3022569
Honda Cb400 wajapan walituliza kichwa. 4 cylinder hiyo chuma ikiwaka ina sound ya kibabe sana haichoshi kuendeshaImekaa kibabe sana.View attachment 3022600
So 2 stroke means kuna piston 2 zinazojitegemea?4 stroke ina maana kuna piston 4 zinazojitegemea
Asante kwa ufafanuzi lakini naomba niambie kwa injini za kawaida hizi piston inapanda mala ngapi ili kukamilisha cycle moja?So 2 stroke means kuna piston 2 zinazojitegemea?
4 Stroke means piston inapanda na kushuka mara nne ndipo inakamilisha cycle moja
ila 2 stroke, piston inapanda na kushuka mara mbili ili kukamilisha cycle moja.
Aaah si mchezo used inacheza 17mSasa mkuu kweli unatuletea pikipiki ina cc kubwa kuliko Passo? Bei ya Subaru.
Boxer iliyobora kabisa inagharimu kiasi chá pesa ya Tanzânia?Kitu boxer hatari dar to mwanza unagusa tuu
Pole sana jamanMwaka 2006 kipindi ndio boxer zinaingia mzee wangu alinunua, huwezi amini ndio ilimuondoa duniani sitaki hata kuzisikia.