Aina za Pikipiki: Ipi "taste" yako kwa Matumizi Binafsi?

Aina za Pikipiki: Ipi "taste" yako kwa Matumizi Binafsi?

Uzi mzuri sana hongera mkuu.
Shida ya dealers wengi hapa Tanzania hawaleti bike za maana mfano tu hii kampuni ya Bajaj wana bike nzuri sana hizi Dominar 250cc au 400cc na ni imara sana sema wame target kuuza soko lao la india tu.Angalau hapo majirani zetu Kenya watejitahidi kuna baadhi ya dealers wanazo.
 
Sema hii ni fursa kwa vijana wa kitanzania....itengenezwe network ya kuagiza online kama tunavyonunua magari China na Japan.
 
Kweli lingepatikana soko la online Kama tunavyoagiza Be forward, ingekuwa poa Sana.
 
Mad Max hujanitajia bei na location ya kuipata ile ya wamama
Zile kwa used Zanzibar ndio zimejazana, mjini Dar zipo naona on-line.

Mfano hii ya umeme (nadhani ya Kichina maana jina la ajabu) nineiona Mil 2, inabeba mwisho 180Kg, range 50-60km na speed 50km/h.
Screenshot_20240624-091617.png

Kwa brand kama Honda na Yamaha za miaka ya karibuni, naona bei zimechangamka.

Screenshot_20240624-091855.png

Ila bado naamini kupata ya Mil 3 - 4 possible.
 
Uzi mzuri sana hongera mkuu.
Shida ya dealers wengi hapa Tanzania hawaleti bike za maana mfano tu hii kampuni ya Bajaj wana bike nzuri sana hizi Dominar 250cc au 400cc na ni imara sana sema wame target kuuza soko lao la india tu.Angalau hapo majirani zetu Kenya watejitahidi kuna baadhi ya dealers wanazo.
Kweli dealers wamewekeza zaidi kwenye pikipiki za biashara. Nadhani ni kwasababu wameona ndio zinatoka na kulipa.
 
Naomba bei ya pikipiki hizi maeneo ya Dar
1. TVS HLX 125 mpya
2. Boxer x125 mpya
3. Haojue Express 125 na 150
4. Honda AC 125
 
Naomba bei ya pikipiki hizi maeneo ya Dar
1. TVS HLX 125 mpya
2. Boxer x125 mpya
3. Haojue Express 125 na 150
4. Honda AC 125
Hizi hadi kuuliza ngoja nitajaribu ila hazitatofautiana sana mfano namba 3 iyo Mlimani City roundabout kulikua na bango kabisa limeandika bei
 
Back
Top Bottom