Aina za Pikipiki: Ipi "taste" yako kwa Matumizi Binafsi?

Aina za Pikipiki: Ipi "taste" yako kwa Matumizi Binafsi?

hii aina gani mkuu
na pya unaipata kwa bei gani
Hiyo ya watoto hiyo, ya umeme nadhani.. haifiki laki 3

Screenshot_20240623-093715.png
 
Uzi mzuri sanaa ila una mapungufu...

1..Kuna baadhi ya pikipiki hujaziweka ambazo wengi wetu tunazimiliki,

2..Ingependeza tungeweka na machimbo ya hzo pikipiki kwa dar ili mtu akivutiwa nayo aweze kwenda kununua...bila kusahau na bei zake.

-----------------

Nimejaribu kutafuta plat form kama ile be forward wale wanauza kila aina ya magari ila upande wa pikipiki hakuna website....naamini hii ni fursa kwa watanzania.
Wazo zuri mkuu.

1. Njtajaribu ku edit baadae kutegemea na replies za wadau nitacopy moja wapo.

2. Pikipiki nyingi, mfano Houjue na TVS, Kinglion wana dealers hapo Kariakoo. Sijui exactly location ila wapo na kuna baadhi Nishawahi kuwaona.
 
Unakuta wewe unaendesha kistaarabu road, ila Kuna kichaa mvuta bangi mmoja hujui hata katoka wapi anakuja kukuparamia na walivyo hovyo utasikia "Daah, pole blaza, sikujua kabisa"...sema humu mijini sometimes Kuna foleni za ajabu, kama unataka ufike Kwa wakati na mzee wa Chocho basi pkipki inafaa hasa dar.
Pikipiki deal sana sema ndio ivo risk pia.
 
Back
Top Bottom