Aina za Pikipiki: Ipi "taste" yako kwa Matumizi Binafsi?

Aina za Pikipiki: Ipi "taste" yako kwa Matumizi Binafsi?

So 2 stroke means kuna piston 2 zinazojitegemea?

4 Stroke means piston inapanda na kushuka mara nne ndipo inakamilisha cycle moja

ila 2 stroke, piston inapanda na kushuka mara mbili ili kukamilisha cycle moja.
2 stroke inakwend simultaneously ... na inatoa kitu kinaitw power stroke per single rev
 
Acha uwongo......4 stroke...n mfumo wa injini ambapo... a single piston kwa kila mnyanyuko wake inapiga mara 4 kwa kila mzunguko wa crank shaft...
Alafu umenikuta siku hizi nimeacha kutukana VICHAA.

"combustion engine that utilizes four distinct piston strokes (intake, compression, power, and exhaust) to complete one operating cycle"
 
Attachments

  • Screenshot_20240622_191046.jpg
    Screenshot_20240622_191046.jpg
    512.3 KB · Views: 26
Alafu umenikuta siku hizi nimeacha kutukana VICHAA.

"combustion engine that utilizes four distinct piston strokes (intake, compression, power, and exhaust) to complete one operating cycle"
Wewe ndooo chizii kabsa soma uharoo ulioandika mwazon.....4strokes a bike iwe na piston 4??...!!!!! Wainiya muwuvaso..!!
 
Wewe ndooo chizii kabsa soma uharoo ulioandika mwazon.....4strokes a bike iwe na piston 4??...!!!!! Wainiya muwuvaso..!!
Hizi mada zinahitaji watu wenye Experience, Exposure na akili kiasi.

Nina uhakik ww hata Boxer Bm 150 hujawah miliki.. leo hii nikae hapa nabishana na ww kuhusu Kx 450 etc ni kujipotezea muda.. mada za kutumia akili kwa Jf ni mtihani sana siku hizi maana watu wengi mnajifanya mnajua mambo lkn ni vilaza mnafanya wale wenye nia njema ya kutaka kujua mambo mengi wakose fursa ya kijifunza zaidi..

Binafsi engine nimezichezea sana.. sio hizi tu hadi za Ndege uniambii kitu.

Unakataa Bike kuwa na piston 4? Kwanz ushawah kuona block ya Bike yoyote ile?
 
Attachments

  • Screenshot_20240622_201735.jpg
    Screenshot_20240622_201735.jpg
    233.9 KB · Views: 27
Uzi mzuri sanaa ila una mapungufu...

1..Kuna baadhi ya pikipiki hujaziweka ambazo wengi wetu tunazimiliki,

2..Ingependeza tungeweka na machimbo ya hzo pikipiki kwa dar ili mtu akivutiwa nayo aweze kwenda kununua...bila kusahau na bei zake.

-----------------

Nimejaribu kutafuta plat form kama ile be forward wale wanauza kila aina ya magari ila upande wa pikipiki hakuna website....naamini hii ni fursa kwa watanzania.
 
Mwaka huu nataka ninunue pikipiki...

=Naomba kujua combo kama hichi
images.jpeg

Either iwe company ya tvs au haujoe ni sh ngapi kwa dar..

Na kuna zile pikipiki kubwa kampuni ya honlg au sinoray nazo sh ngapi....mana uku mkoani made madealer wapo wa sanlg zile za mizigo.
 
Mwaka huu nataka ninunue pikipiki...

=Naomba kujua combo kama hichi View attachment 3023562
Either iwe company ya tvs au haujoe ni sh ngapi kwa dar..

Na kuna zile pikipiki kubwa kampuni ya honlg au sinoray nazo sh ngapi....mana uku mkoani made madealer wapo wa sanlg zile za mizigo.
Haojue pikipiki zao ni nzuri sana,Mimi natumia express 120 sijawahi kutamani pikipiki nyingine kabisa
 
Chuma hiyo hapo mafuta inanusa tu na umeme ni mwingi sana, service ni cheaper than chipa yunaited [emoji38][emoji38]View attachment 3023566
Hii ni Haojue express 125 kama sikosei..moja ya pikipiki nafuu ila Ina ubora wa Hali ya juu sana..vipuri vinapatikana Kwa urahis na unafuu ,mafuta inanusa na inatembea vizuri kabisaa 👍
 
Chuma hiyo hapo mafuta inanusa tu na umeme ni mwingi sana, service ni cheaper than chipa yunaited [emoji38][emoji38]View attachment 3023566
Napenda muonekano mzuri wa pikipki kwenye dash board kuwe ata na gauge ya mafuta sijajua kwanini hawaweki saa...yaa dash board iwe standard....Taa ya mbele iwe jicho panzi na ya nyuma iwe ime curve.

Siti iwe imebendi kidogo.....cc si chini ya 150.
 
Back
Top Bottom