Aina za wake (Type of wives)

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒKwa kifupi tunataka vyote Yani tupewe vyote sie tunaopenda kubembelezwa ndo tunaumia zaidi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Daaah mie basi wife anafaidi sana.
Maana huwa nawahi kutoka home,pia ni mtu wa kusaafiri sana nikiwahi kutoka lazima akiamka akute maua na shairi zuri la kumuaga kuwa nimetoka.
Na nikiwa safari lazima kila asubuhi akute shairi la kumfariji aone kama niko nae karibu.
Maana kana wivu nikisafiri kanaona kama naenda kuibiwa huko.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mpaji Mungu usimsikilize huyu hakuna ni maombi tu
 
Mwanaume pesa yake inaliwa na mwanamke anaempenda na Wala haumii hakuna Cha tvs Wala tbs hapaπŸ˜ƒ
Nakubaliana na wewe. Ila ujue mwanaume mpaka sasa aseme huyu nimempenda, ni mchakato. Achana na zile danganya toto za mwanzoni.
Wahuni wanawez kukupa hela na bado wasikupende vile vile , wakipata chao huwaoni
 
Analeta taharuki nshamjua huyo mi mapema tu nimo ni mwendo wa rakaa
Astaghafirullaaaaaaah!πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
Umekwisha dear brother umekwisha.
Badala ya kupiga rakaa basi rakaa zitakupiga wewe.
 
Wanawake walivyo viumbe vya ajabu, kila mmoja wao atajihisi ni type 8 hii ni kutokana na hali ya wao kutokujua wanataka nini hapa duniani

Nimemuuliza Amina Nchokonole hapa, kasema yeye ni aina ya 8. Ee Mola ulituletea balaa gani hili duniani! Mara mia tungebakia na yule Komando Yosso kabla ya Hawa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sio kweli mm yangu haipo mbona
 
Astaghafirullaaaaaaah!πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
Umekwisha dear brother umekwisha.
Badala ya kupiga rakaa basi rakaa zitakupiga wewe.
Tutaenda wote takupigia tunakaa kijasusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…