Aina za wake (Type of wives)

Aina za wake (Type of wives)

😃😃😃Kwa kifupi tunataka vyote Yani tupewe vyote sie tunaopenda kubembelezwa ndo tunaumia zaidi 😃😃😃
Daaah mie basi wife anafaidi sana.
Maana huwa nawahi kutoka home,pia ni mtu wa kusaafiri sana nikiwahi kutoka lazima akiamka akute maua na shairi zuri la kumuaga kuwa nimetoka.
Na nikiwa safari lazima kila asubuhi akute shairi la kumfariji aone kama niko nae karibu.
Maana kana wivu nikisafiri kanaona kama naenda kuibiwa huko.
 
Mwanaume pesa yake inaliwa na mwanamke anaempenda na Wala haumii hakuna Cha tvs Wala tbs hapa😃
Nakubaliana na wewe. Ila ujue mwanaume mpaka sasa aseme huyu nimempenda, ni mchakato. Achana na zile danganya toto za mwanzoni.
Wahuni wanawez kukupa hela na bado wasikupende vile vile , wakipata chao huwaoni
 
Mapenz ya hivyo mimi siyataki.
Type ya kina ephen hii hapa.
Screenshot_2024-05-22-14-26-15-49_6012fa4d4ddec268fc5c7112cbb265e7.jpg
 
Wanawake walivyo viumbe vya ajabu, kila mmoja wao atajihisi ni type 8 hii ni kutokana na hali ya wao kutokujua wanataka nini hapa duniani

Nimemuuliza Amina Nchokonole hapa, kasema yeye ni aina ya 8. Ee Mola ulituletea balaa gani hili duniani! Mara mia tungebakia na yule Komando Yosso kabla ya Hawa
 
😂😂😂Sio kweli mm yangu haipo mbona
 
Back
Top Bottom