Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Utapona tu muda ukifika.Nimekufa nimeoza naomba uniache..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapona tu muda ukifika.Nimekufa nimeoza naomba uniache..!!
Tuheshimiane! Mimi ni muhayaHuyu si wa Songea!?
WaSongea wakizama mapenzini kama wanaenda kupigana jihadi aisee!
Unaweza ukajuta kuwapenda.
Mapenz ya hivyo mimi siyataki.Huyu si wa Songea!?
WaSongea wakizama mapenzini kama wanaenda kupigana jihadi aisee!
Unaweza ukajuta kuwapenda.
Usifunge pm ili muda wowote nizame unibembeleze🤸Utapona tu muda ukifika.
Mwanaume pesa yake inaliwa na mwanamke anaempenda na Wala haumii hakuna Cha tvs Wala tbs hapa😃Pesa yangu haihusiki kwenye mapenzi , mpaka TBS wafanye kazi yao kikamilifu mdio pesa inaanza kuwa applied.
Yan nikutie, nikubembeleze na bado nikupe hela? Aah no way..
Daaah mie basi wife anafaidi sana.😃😃😃Kwa kifupi tunataka vyote Yani tupewe vyote sie tunaopenda kubembelezwa ndo tunaumia zaidi 😃😃😃
😂😂😂😂Kwani sie hatuwajui nyie!?
Naijua hiyooo!
Unasema ni duah kumbe kadhwi na mahrim wameshaandaliwa na ubani makkah umekwishawekwa.
Ukijichanganya kitu kizito hikoo na mke unabeba.
Niliiona Bububu skuli hii kitu😂😂😂🙆🏿♂️🙆🏿♂️
Nakubaliana na wewe. Ila ujue mwanaume mpaka sasa aseme huyu nimempenda, ni mchakato. Achana na zile danganya toto za mwanzoni.Mwanaume pesa yake inaliwa na mwanamke anaempenda na Wala haumii hakuna Cha tvs Wala tbs hapa😃
Analeta taharuki nshamjua huyo mi mapema tu nimo ni mwendo wa rakaa😂😂😂😂
Mpaji Mungu usimsikilize huyu hakuna ni maombi tu
Acha basi!!Tuheshimiane! Mimi ni muhaya
Mwanaume asiyejua Kubembeleza❌Type ya kina ephen hii hapa.
View attachment 2996698
Astaghafirullaaaaaaah!🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️Analeta taharuki nshamjua huyo mi mapema tu nimo ni mwendo wa rakaa
😂😂😂Mambo si ndio hayoAnaleta taharuki nshamjua huyo mi mapema tu nimo ni mwendo wa rakaa
😂😂😂Sio kweli mm yangu haipo mbonaWanawake walivyo viumbe vya ajabu, kila mmoja wao atajihisi ni type 8 hii ni kutokana na hali ya wao kutokujua wanataka nini hapa duniani
Nimemuuliza Amina Nchokonole hapa, kasema yeye ni aina ya 8. Ee Mola ulituletea balaa gani hili duniani! Mara mia tungebakia na yule Komando Yosso kabla ya Hawa
Aiseee!😂😂😂Mambo si ndio hayo
Karibu sana
Tutaenda wote takupigia tunakaa kijasusiAstaghafirullaaaaaaah!🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️
Umekwisha dear brother umekwisha.
Badala ya kupiga rakaa basi rakaa zitakupiga wewe.