Aina za wake (Type of wives)

Mac Alpho shikamoo Baba..!!😂😂
 
No.8 Niko hapa
 
VIKOBA WIFE. Hawa wana vikoba viwili viwili, mchezo mmoja majina matatu, ila hela yake akiipata halijulikani inaenda wapi. Wanatabia ya kubana hela ya matumizi ya nyumbani na kuwalisha wenzao mboga za majani,ili waweze kulipa vikoba na michezo.
 
Haoa dawa ni ndogo sana, naanza kuacha hela inayoendana na hizo mboga za majani (mfn 2000 au 3000) na nikirudi usiku narudi nimeshiba ili nisile nyumbani.

Nikifanya hivi week moja ni lazima atauleta tu mjadala mezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…