Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

Kuna chembe ya ukweli maana makabila mengine ( baadhi ya Pwani ) ni kweli hawadumu kwenye ndoa mfano bi Asha anaolewa na mme wa1 wanashindwana anapewa talaka anapendwa na Mudy anafunga ndoa tena baada ya miaka 2 talaka tena kitu ambacho mikoa furani huwezi kukikuta kamwe.
Samahani kwa mtizamo sina maana ya kibaguzi ni hali ambayo imewaadhili hadi rafiki zangu
 
Iyo tafit nimeipuuza baada ya kuona wangoni
 
Mbona wengi wana jimwambafai ukioa bikira umepata wife material? Embu tupe somo tuelewe na kusaidiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu watu wana disi kuchaguliwa mke. Kijana hakuna ujualo ni kama umetoka chuoni huko kwenye ajira haujui chochote ama umetoka six unaingia chuoni kwenye kozi selection unashauriwa na baba/kaka yako aliye kwenye ajira unakomaa kuwa wewe Unajua sana ama umesoma unaijua dunia ama unafuata passion. Kuna muda utapigwa na njaa mpaka utakumbuka ni kwa nini hata usingesoma ualimu usingepata shida.
 
Mzee unachanganya mada. Hapa tunazungumzia kabila sio bikira.

God save us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…