Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
- Thread starter
- #41
Kweli kabisaBinafsi ninakubali utafiti huu. Mana katika kutafuta wife material kutokana na social background priority Yangu ilikuwa ni mkurya,mmasai na Msukuma. Nilidate na Msukuma nikaangukia kwa mkurya. Hayo wengine ni kuwasifia tu na kuwatafuna na kusepa ila ukweli naujua mwenyewe.
Kuna jamii chache zinazojua mana ya ndoa tukubaliane nalo.na pia kipimo kizuri ukitaka kujua kama kabla hilo ni zuri angalia kama wanaume Wa hilo kabila wanaoa wadada wao I.e mfano je muha anapenda kumuoa muha mwenzako ama anakimbilia jamii zingine. Hapo utawajua kama wazuri mana kwanza wao kwa wao wanajuana tabia zao kuliko wewe Wa kuja.
Binafsi huwa nashauri makabila haya yanafaa kutafuta wife material mmasai,mkurya,msukuma , muha ,haya makabila huwezi achwa ama kudharauliwa kisa umefulia. Wanakomaa ama wanavumilia halo zote za majira ya mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app