Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mbona mmekodi Rwanda Air badala ya ATC ??Mk
Mkuu, sio kweli, mbona hakukamata kabla ndege kustishwa Safari zake, stain naye ni mjinga tu
Umesema! Kaweka orders karibu nchi zote kasoro India Tu, tumekuwa na Safari India pekee? Sasa mbona hakuzikamata huko kwengine?angeikamatia wapi?
alikamata ikiwa canad, akakamaa ikiwa South Afrika, sasa wewe unataka aikamatie CHATO au BURIGI?
Hahaha washauri wa mtukufu magufuli ni shiiidawashauri wenyewe ndio AKINA MUSIBA, GWAJIMA, KIBAJI, MSUKUMA, WAITARA, LE MUTUZ NA MAKONDA
Tumeuliza swali Madagascar je nako hairuhusiwi kutua kwa sababu ni Anga la ulaya???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga wake si kuidai serikali mkuu, Ujinga wake ni pale anaposhindwa kukamata ndege kipindi zinafanya Safari huko, leo kuna zuwio la Safar za ndege duniani ndio anakazana kuzisaka zilipo 😂 huo ndo Ujinga wake mkuuMbona mmekodi Rwanda Air badala ya ATC ??
Huyu mkulima leo amekua mjinga kwasababu anadai pesa zake alizoshinda kesi kihalali??
Dawa ya Deni ni kulipa kwa nini Hawamlipi Mzungu pesa zake? Kabudi anaziwinda pesa azitafune kiharamu lakini Mzungu kakomaa hataki mchezo kabsaUmesema! Kaweka orders karibu nchi zote kasoro India Tu, tumekuwa na Safari India pekee? Sasa mbona hakuzikamata huko kwengine?
Yule jamaa anasumbuliwa na umaskini mkubwa! Ndio leo anakumbuka na Wakati ndege si za Tanzania pekee ambazo zimepaki
Ndege - Kimeo
Stieglers - bwawa limeshaingia luba
Bado SGR
SGR nayo ikibuma basi mzee wa chato atapiga marktime time bila kuacha legacy yoyote ya maana
Wakati mnaomba mbaya yatokee ili hao viongozi wenu, wanaoburuzwa kama watoto wa shule na Kamanda Mbogo, waingie Ikulu, wanapotoka kujifungia, watakuta Tanzania imebadirika.SGR mkandarasi hana hela, hata wazabuni toka january hawajalipwa, kila kitu hakiendi, KUONGOZA NCHI SI KUHESABU IDADI YA SAMAKI ZIWA VICTORIA
Waliahidi kuwa wamemlipa mpaka mwezi wa tatu lakini hawakutekeleza ahadi mpaka sasa, lakini anakula dili na wajanja huko CCM wanampa ratiba zote za Ndege ataziwinda mpaka azikamateUjinga wake si kuidai serikali mkuu, Ujinga wake ni pale anaposhindwa kukamata ndege kipindi zinafanya Safari huko, leo kuna zuwio la Safar za ndege duniani ndio anakazana kuzisaka zilipo 😂 huo ndo Ujinga wake mkuu
Mkuu, wazungu ndio wanahistoria ya wizi kwenye mataifa yetu haya, walishatuibia Sana, Acha asote Kwanza, atalipwa, Sisi Tanzania si wadhurumaji mkuu, atalipwa kisheria, haki yake itazingatiwaDawa ya Deni ni kulipa kwa nini Hawamlipi Mzungu pesa zake? Kabudi anaziwinda pesa azitafune kiharamu lakini Mzungu kakomaa hataki mchezo kabsa
Duh, aisee hii miradi ikifeli yote mbona our president is fvcked multiple ways 😕Ndege - Kimeo
Stieglers - bwawa limeshaingia luba
Bado SGR
SGR nayo ikibuma basi mzee wa chato atapiga marktime time bila kuacha legacy yoyote ya maana
Hivi kwanini zilitolewa bilioni zote zile kununua ndege za gharama zisizovuka mipaka?? Wanakosaje vibali???Utetezi wa kitu gani ndugu? Kwanza sipo kwenye nafasi yoyote ya kutoa utetezi kwa jambo lolote. I speak my mind.
ATCL haina vibali vya kuruka kwenda Ulaya. Period. Hayo mengine yabaki tetesi tu.
Hapa ndo huwa naushangaaga upendo wa Mungu, Taifa moja nao ni ndugu, lakini kunammoja atafurahia mabaya ya ndugu/nchi yake mwenyewe,Duh, aisee hii miradi ikifeli yote mbona our president is fvcked multiple ways 😕
Hivi unanunuaje friji la milioni 5 halafu kumbe hata wiring hujafanya... au unanunua v8 halafu wese linakushinda... ni ujanja au ujinga??Acha kupotosha uma bas. Sio kwamba air Tanzania haiwez kwenda ulaya kwa ajiri ya mkulima. Sio kumiliki ndege ndo kuwa na uwezo wa kutua popote utakapo, kila kitu kina taratibu zake.
Leseni ya Rwandair sio sawa naya air Tanzania, Rwanda leseni yao inawaruhusu kutua viwanja vya ulaya sisi hiyo bado hatuna, na usizanie kupata leseni ya kutua ama kupita kwenye anga la ulaya ni kitu rahisi, inachukua mda.
Ata bus uwezi ipeleka tu unapo taka kwakuwa umepata abiria wa huko pasipo kuwa nakibari cha hiyo route
Kweli mkuu upendo wa Mungu ni wa ajabu,angalia MATAGA walivyofurahia Lissu alivyopigwa risasi.Hapa ndo huwa naushangaaga upendo wa Mungu, Taifa moja nao ni ndugu, lakini kunammoja atafurahia mabaya ya ndugu/nchi yake mwenyewe,
Mbali na Hayo huwa naaminigi kuwa Mungu lazima awe upande wa mazuri yatakayokuwa manufaa Kwa wengi!!
Hakuna mradi utakaoferi Tanzania, sema labda hautamalizika labda Kukiwepo na adha na majanga ya kidunia kama tuyaonayo leo, zaidi Sana hata atakaye kuja miaka mingi ijayo itaendelea kujengwa na hatimaye ushindi itapatikana
Mungu Ibariki Tanzania
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mimesoma comment 10 za awali bado sikumuona nikashangaaHuu uzi pasi comment ya huyu Bia yetu ni batili
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi kwanini zilitolewa bilioni zote zile kununua ndege za gharama zisizovuka mipaka?? Wanakosaje vibali???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuibadili ndege ya abiria kuwa ya mizigo ni process, kuna mambo kibao ya usalama wa ndege na vibali ambayo yote gharama ya fedha na muda.Wajinga wanapotoshwa na kukubali
Prophets of doom hawa!Kama hukujua, mkulima wa South Afroika bado anadai bilioni 40 zake na riba kubwa tu, katika hali isiyo kawaida, ametoa waranty nchi nyingi isipokuwa India ndio walisema hawata kamata hizi ndege.
Lakini pia, Air Tanzania zimepakiwa tu viwanjani isipokuwa bomberdier tatu zinafanya safari za ndani kwa shida sana kwakuwa hakuna abiria, [matajiei waishi kama mashetani].
Jumatano iliyopita MAGUFULI alituma ndege yake[ya Rais] kwenda madagaska kuchukua mitishamba, haikuwa bahati mbaya na si kwamba hakuna Bomberdier zaidi ya 8 zilizopaki, hapana ila zitakamatwa ndio maana akatoa ndege ambayo ina IMMUNITY kutokamatwa.
Jana ndege ya RWANDA, RWANDAIR imetua mwanza na imesaini kandarasi na kiwanda cha mwanza kubeba minofu na kuacha mapanki yaliwe na wanyonge, jiulize kwanini JIWE hana guts za kusema lazma samaki wabebwe na AIR TANZANIA kwa jinsi mnavyomjua alivyo ? ni kwasababu huko nje Ndege ikienda hairudi, na hii korona nakwambia mkulima atafugia hata MABATA huko ndani.
RWANDAIR YABEBA SAMAKI MWANZA KWENDA UBELGIJI
WAZIRI WA MAGUFULI AKAPELEKA NGENGA ZAKE PALE KUZINDUA UBEBAJI, watanzania hakuna wa kuhoji maana hofu kuu imejaa, Shirika la Ndege la Rwanda RwandAir, limezindua safari zake za ndege ya mizigo kutoka jijini Mwanza nchini Tanzania kwenda Brussels Ubelgiji kwa lengo la kusafirisha samaki kwenda katika soko barani Ulaya.
View attachment 1449006ya
AIR TANZANIA/Ndege ya Urais inatumika kubebea miti shamba, dawa ya kienyeji huku wenzetu wakibeba samaki kuuza ulaya