Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

TCRA inakabiri kesi za aina Gani?
Elimu haijanisaidia kupata hela ila imenitoa upumbavu wa kukurupuka na kuendeshwa na hisia bila facts. Harmonise anakurupuka kesi ipo TCRA ila si hicho anachokifikiri
 
Yeye na huyu hawara yake wote wanafiki wangekuwa na uchungu wangekatiza ziara yao siku Ile Ile wangerudi kuonyesha kimewauma
Tupo na Mobeto hapa tunampanga , haiwezekani brand yake iharibiwe kiboya boya, tunahitaji one billion cash kama refund ya kuchafua mtandaoni ....Kajala na kondeboy wajipange
 
Hapo inaonesha kabisa mtoto anaemuelewa mwana Tena anarecord kabisa alafu Kuna lijitu linasema eti huyo binti anadhalilishwa
 
Tupo na Mobeto hapa tunampanga , haiwezekani brand yake iharibiwe kiboya boya, tunahitaji one billion cash kama refund ya kuchafua mtandaoni ....Kajala na kondeboy wajipange
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe khaaaaaah
 
Private candidate ni mwanafunzi kama mwanafunzi mwingine.!
Katika shule huwa wanaingia darasan kama wengine na wanavaa uniform kama wengine.

Kitendo kibaya sana, bora haki ifuate mkondo.
 
Umeisoma vizuri sheria ya makosa ya kimtandao mkuu...kuposti picha ya mtu bila idhini ya muhusika tayari ni kosa na linastahili adhabu
Muhusika ni Harmonize au Kajala? kama ni Paula unauhakika hakuridhia? unayajuaje mambo yao ya chumban? kosa liko wapi mtu kuamua kumpost mpenz wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…